Hujachangishwa lakini unateseeeka,Kuna mambo wanasiasa huwa wanasema utafikiri huwa wanaambia mbuzi na sio watu mwanasiasa unawaambia watu kuwa utafuta kodi halafu mwisho wa kuongea hayo unaanzisha kodi nyingine mpya kabisa ya kuchangia kampeni.
Tundu Lissu anaponda serikali ya CCM kwa ukusanyaji kodi mwingi ili tuweze kujenga nchi sababu anaona ni kama unyonyaji, sasa ningependa kumuuliza kama anaamini bila michango ya wanachama wake hawezi kufanya kampeni kwanini anaamin bila kodi za Wananchi anaweza kuijenga nchi?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Hujui tofauti?Kuna mambo wanasiasa huwa wanasema utafikiri huwa wanaambia mbuzi na sio watu mwanasiasa unawaambia watu kuwa utafuta kodi halafu mwisho wa kuongea hayo unaanzisha kodi nyingine mpya kabisa ya kuchangia kampeni.
Tundu Lissu anaponda serikali ya CCM kwa ukusanyaji kodi mwingi ili tuweze kujenga nchi sababu anaona ni kama unyonyaji, sasa ningependa kumuuliza kama anaamini bila michango ya wanachama wake hawezi kufanya kampeni kwanini anaamin bila kodi za Wananchi anaweza kuijenga nchi?
Sent from my JKM-LX1 using JamiiForums mobile app
Kwani pesa ya kutengeneza uwanja wa ndege chato mlipata wapi???Uliyoyaahidi ni mengi Sana sasa najiuliza pesa ya kutekeleza utaitoa wapi wakati vyanzo vya pesa vyote unavitoa kasoro ~umeahidi fidia na kuwarudisha kazini wafanyakazi hewa na vyeti feki wapatao 19k~nyongeza ya mishahara~Katiba mpya~uanzishaji wa majimbo~kulipa fidia waliobomolewa nyumba zao waliojenga maeneo ya wazi na hifadhi za barabara~kuanzisha mfumo mpya wa elimu~kufuta mikopo elimu ya juu~kuwapa chakula wanafunzi 1std+Advance~ NK:,tunataka kujua vyanzo vya mapato kwa sababu utaki wafanyabiashara walipe kodi, utaki sheria zisimamiwe,utaki watu wafanye kazi na kujituma,unataka kuua viwanda vya ndani kwa kuruhu kila bidhaa kuingia na kila mkulima kuuza mazao yake nchi yoyote na hakutokuwa na mageti ya ushuru, hivyo ata mimi nitabeba korosho zangu naenda kuuza Vietnam,ruksa kupitisha meno ya tembo,Mbao,silaha,na kila aina ya uchafu wewe utakuwa rais wa aina gani utatetea katiba ipi?, usemi kama utapambana na wala rushwa,wahujumu uchumi,wauza madawa ya kulevya,maghendo,wezi wa maliasili zetu kama madini,miti,wanyama vitaachwa vifanywe kama kipindi kile ili tu mwanachi awe na pesa mfukoni kweli wewe unataka kuwa rais wa nchi au rais wa chini.
Tulikisanya kodi.Kwani pesa ya kutengeneza uwanja wa ndege chato mlipata wapi???
Kama haeleweki Leo Chakubanga alikuwa anajibu nini?Huyu Lisu haeleweki.
Anakuwa kama mwanafunzi aliyekaririshwa majibu ya maswali.
Kila mkutano wake wa kampeni utamsikia akisema kuwa ilani yetu ya uchaguzi ni haki,uhuru,na maendwlwo.
Hivi ndio hoja tu mlizo nazo CHADEMA?
Sawa huenda ni mada za iilani.
Kwnini basi msizinyabulishe zaidi kwa kila kituo cha kampeni baada ya kingine,badala ya kurudia yale yale.
Wananchi wanayo mengi ya kuongelewa.
Angalau mngekuwa mnayatafiti kwa kila eneo na kuyaoanisha kwenye vipengele vya ilani zenu.
Vipi kuhusiana na biashara baada ya Corona,mipangilio mizuri ya miji yetu ili iwe sehemu nzuri za kuishi sawa na ilivyo vijijini,vipi kuhusu utunzaji wa mazinguira,mipango miji mizuri,ULIPWAJI MICHANGO KUTOKA MIFUKO YA HIFADHI YA JAMII KWA MUJIBU WA SHERIA KWA WAFANYAKAZI WASTAAFU KWA WAKATI PINDI WANAPOSTAAFU.
Wafanyabiashara kupeleka makusanyo ya VAT mara walipwapo madai yao na wateja badala ya kudaiwa pindi watoapo ankara za madai kwa wateja wao?
Natamani CCM wangeyaongelea haya katika ilani yao kwani hawa wapinzani ni wakaririshwaji tu.
Natamani kero ziendelee kutatuliwa ili tuendellee kuaminika mbele ya wananchi.
Tusiuache utalii ukadorora TZ.
Makazi mazuri na utunzaji wa mazingira ni kivutio kikubwa cha watalii kuja kupunzika kwetu.
Tuwe na viwanja vya kutosha na vizuri vya michezo kwa kila kitongoji,sio tu mahoteli ya kifahari au mbuga za wanyama.
Viwanja vya mazoezi ni zaidi ya hospitali au vituo vya afya kwani ni maeneo ya kuzuia maradhi badala ya kuingia gharama kubwa za tiba ktk nchi maskini kama yetu.
Pia inakuza akili ya kufikiri na kuchangamanisha jamii,achilia mbali kuepusha muda na gharama za ulevi na uhalifu.
Sasa kwani Lissu hatokusanya kodi?Tulikisanya kodi.
Atazitoa wapi wakati yeye ameruhusu wakulima na wafanyabiashara kupeleka bidhaa zao nje ya nchi bila kukaguliwa na mageti yote amesema atayatoa.Sasa kwani Lissu hatokusanya kodi??
Professor Magufuli promised the opposition will die out by 2020 (and worked so hard to achieve it).Atazitoa wapi wakati yeye ameruhusu wakulima na wafanyabiashara kupeleka bidhaa zao nje ya nchi bila kukaguliwa na mageti yote amesema atayatoa.