Kuzuia nyongeza ya mishahara na kupanda madaraja kwa watumishi.

Maisha ya watumishi yamekuwa magumu kuliko awamu zingine.Waliopanda toka 2015 kabla hajaingia madarakani hawajapandishwa hadi leo.
Kura hizo anaenda kuzikosa,zimeenda kwa Lissu.
Kushindwa kuweka mazingira bora ya kuajiei vijana wengi na kuimarisha maisha ya familia zao.
 
Ukiniambia hawa wanaCCM damu wafuatao watakwenda kupigia kura Magufuli kwa moyo mkunjufu, utakuwa wewe mwenyewe unaonekana kioja:
1. Nape Nappy
2. Kamba Makamba wote wawili
3. Kinaina

Weka na wengine wenye 'principles' na sio wanazi wa kizembe kama akina Warioba, Butiku na watu wa aina yao wengi tu

Watakaolazimika kumpigia kura Magufuli, ni hao wanaofaidika moja kwa moja na uteuzi wanaoupata kama akina Popole, Bushiu, Bashite...n.k.

Huu mchezo wa huyu mtu umekwisha haraka sana kuliko nilivyotegemea itakuwa. Kazi iliyobaki sasa ni kuhakikisha kura hazivurugwi.
 
Kujazana upepo hamjambo
Yaali wamerogwa mpaka wampe Kura mamluki
Kazi mnayo endeleeni Kudanganyana
 
Ni kweli huku ground kuna wengine ni wabishi kisa toka mwanzo walikuwa upande ule ila kila siku dalili nzuri inajionyesha
 
Sasa LISSU anatakiwa aongee nao directly. He should appeal to them so they can vote for him.
 
Nakumbuka maneno ya mzee Warioba alipoulizwa, h8vi Tundu Lisu anaweza kuwa Rais.

Mzee Warioba hakusema ndiyo au hapana, ila alijibu, 'Tundu akiwa Rais, tujiandae kuishi kwa kufuata sheria na Katiba'.

Kila mara nayakumbuka maneno haya. Na ilikuwa ni mwakajana wakati Lisu aliposema kwamba kama CHADEMA wangemteua, alikuwa rayari kugombea nafasi ya Urais.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni kweli tupu
 
Hawa Wazee wanawashwawashwa,
Kun mtu anasafiru kila siku kwenda nje ya nchi kuliko anavyokwenda kwa mama yake.
Jakaya Kikwete na ukoo wake wakimpigia kura jiwe Basi jua dunia in wanafiki.
 
Shift, naona umeamua kuja na porojo za vijiweni. Watanzania tunachagua mtu ambaye ataleta maendeleao ya vitu, maendeleo ya vitu yanatumiwa na watu. Ili uweze kuendelea lazima wachache waumie. Wacha tuumie ili wajukuu zetu waje kula mema ya nchi hii. 5 MINGINE KWA JPM. CCM OYEEEEEEEEE
 

Ongezea na hili:
Watumishi wengi wa serikali na hususan ambao ni viongozi, pamoja na viongozi wa dini ambao kutokana na nyadhifa zao wanaogopa kujitokeza hadharani kumuunga mkono Lissu, ila mioyo yao ipo tayari kwa mabadiliko, watafanya yao kisiri siri ndani ya sanduku la kura.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…