Kwani kumsaidia machinga ulikuwa ni lazima uwatoze ela?
 
Hivi tangu Kampeni za Urais zianze umeshamsikia Mhe. Tundu Lissu akizungumzia Ushoga?
Je, katika Ilani ya Uchaguzi ya CHADEMA 2020 Ni kifungu kipi kinatetea Ushoga ewe pimbi?
Usikimbilie kutokwa mapovu na kuweweseka, kama kitu hujui uliza ujibiwe. Sasa wewe fala hujui kitu unakuja kidomodomo mbele kuita watu pimbi.
 
Wafanya biashara kutoka Tanzania wanaenda Kampala kununua mizigo hiyo hiyo iliyopitia bandari ya Dar es Salaam halafu inalipiwa ushuru ikiingizwa Tanzania na bado wafanyabiashara wanatengeneza faida pamoja na kulipia gharama za usafirishaji toka Kampala mpaka Dar.
 

Hivi naona kila siku zinapozidi kukaribia tarehe 28.kama vile Lisu anaongeza charge na wapinzani wake betri zinazidi kupungua nguvu
 
Umelisoma swali vizuri??? Nimekwambia jibu swali langu mpuuzi wa lumumba wewe???
Hivi karibuni Lissu alipozungumza na waandishi wa habari kabla ya kurudisha fomu alithibitisha kutetea ushoga kwa kisingizio kuwa katiba ya Tanzania inatambua haki ya faragha hivyo kinachofanyika ndani ya vyumba sio jukumu la serikali kujua.
 
Kuna mtu kaja makusudi kuharibu uzi huu.
Nadhani ukishindanisha hoja unaweza kuwa msaada kwa unayemtetea au kumtakia ushindi.
Badala yake mtu ameamua makusudi kuingiza hoja inayoharibu kabisa uzi huu.

Anyway, kila la heri kwa atakayeaminiwa na wananchi. Tusichezeane rafu tu wakati wa mchezo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…