Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sema "mimi" nitamnyima kura ..au mwenzetu una kadi za wapiga kura wote mwanza.
Soma ilani ya CHADEMA bora kama bado hujapata point!Sera ya mgombea urais wa CHADEMA kusema ataboresha maisha ya watanzania halafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na CCM ya Magufuli aache kabisa.
Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi?
Lissu acha kupotosha watu na jana Mwanza umekosea sana kuponda ujenzi wa daraja la Furahisha na meli mpya ziwa Victoria na wana Mwanza tutakuonesha kazi kwa kukunyima kura zote October.
Kijana acha kujipotezea muda wako, unawezaje kuzuia mafuriko kwa kutumia mikono?Sera ya mgombea urais wa CHADEMA kusema ataboresha maisha ya watanzania halafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na CCM ya Magufuli aache kabisa.
Kama ni masikini wa kutupwa hizo hela wanazokuchangia wanatoa wapi?
Lissu acha kupotosha watu na jana Mwanza umekosea sana kuponda ujenzi wa daraja la Furahisha na meli mpya ziwa Victoria na wana Mwanza tutakuonesha kazi kwa kukunyima kura zote October.
Tetemeko kagera,waziri mkuu alipoomba tumchangie ulisema maneno hayo?Kama imekuuma kula wembe!Mimi CDM nitaichangia kwa hali na mali!Kuomba omba ni tabia za kiswahili mwambieni Lisu aache
CCM haina mvuto kwakweli bila wasanii mtu utafuta kitu gani?Lissu kawakoroga idara ya Propaganda ya CCM kiasi kwamba wanaweza kuruhusu Bange na Ngono za Bure kwenye mikutano yao
Kwa kweli mwisho wa CCM umeanza kuonekana kabisa
Huko visiwani ndio hawalali macho yamakuwa mekundu shati la kijani suruwali nyeusi wamegeuka Monsters
Ndio maana kwenye zile form wanazopewa kuna form ya matumizi ya kampeni n.k hapo panajazwa gharama zote zilizotumika kwenye kampeni n.k Pesa chama zilichangisha plus za kwake.Hela ambazo Mbowe alikuwa anawakata wabunge kila mwezi na ruzuku ya chama zimeenda wapi?
Jana kachemka sana ,hafai kabisaSera ya mgombea urais wa CHADEMA kusema ataboresha maisha ya watanzania halafu mwisho wa mkutano anaanza kuwaomba wamchangie hela hao hao anaosema ni masikini wameharibiwa maisha na CCM ya Magufuli aache kabisa.