Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Lissu kawakoroga idara ya Propaganda ya CCM kiasi kwamba wanaweza kuruhusu Bange na Ngono za Bure kwenye mikutano yao

Kwa kweli mwisho wa CCM umeanza kuonekana kabisa

Huko visiwani ndio hawalali macho yamakuwa mekundu shati la kijani suruwali nyeusi wamegeuka Monsters
Visiwani huko tayari ccm ni tumpeleeke tumpeleeke
 
tatizo lenu mnasahau kwamba kuna mtu amewahadaa watatnzania kwa miaka 5
 
Beberu wake amsterdam nafikiri ndio atakuwa ikulu kwa kivuli chake!..

Yule hamna kitu wakuu
 
Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Utakuwa hujamsikiliza Lissu au hujamuelewa. Mpaka sasa ni ameshaongelea hayo; atabadli mfumo wa elimu ili uweze kuto elimu bora na si bora elimu, mikopo kwa kila mwanafunzi na malipo ya mkopo 3 % badala ya 15 % pia atatoa bima ya afya kwa kila mtanzania.
 
Yani ulichoandika Umenikumbusha kuhusu Mafarisayo waliokua hawamwelewi kabisa bwana Yesu wkt anahubiri Haki upendo na uzima wa milele🤣🤣
Km hujasikia sera za Lissu basi kuna tatizo mahali hasa utindio wa ubongo.

Sera za kuwaambia mama zetu wazae sana ndo umeyasikia vizuri au kumpa Lisu kazi ndogo ndogo😀😀
 
CCM haina mvuto kwakweli bila wasanii mtu utafuta kitu gani?
Wameenda kuiaibisha Klabu ya Simba pale Arusha wachezaji wameambulia kucheza peke yao walichoambulia ni tudem twa kimang'ati na konyagi

Wakati roho masikio yote ya WanaArusha yaliishia kwa LISSU
 
Tundu Lissu lazima tumchangie kwani kwa sasa hakusanyi kodi kama mwenzake wa ccm.
 
Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Kiherehere cha nini? Kampeni si imeanza tu? Mambo yote hayawezi kuongelewa kwa siku 2 tu.
 
Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Rubbish!
 
Watanzania kwa upumbavu bana toka umezaliwa mpaka sasa umekuwa jitu zima bado tu unataka tu usikie ahadi
 
Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?

Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???

GADAFI alikua jeuri, kiburi, mwenye ukwasi wa kutosha, majivuno, kejeli na dharau kuliko baba yako Jiwe. Bado anaendelea kutamba?
 
kama hamhusiki na hizo risasi huu ni muda muafaka muwaruhusu chadema wawalete wachunguzi wa kimataifa wachunguze jaribio la kuuawa kwa Lissu. bila hivyo hizo risasi zitaongelewa kwa miaka mingi.
 
Back
Top Bottom