Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
WamelaaniwaMasikio yako hayana tofauti na Censorship za TB.C, yanachuja taarifa zisizopendezwa nayo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
WamelaaniwaMasikio yako hayana tofauti na Censorship za TB.C, yanachuja taarifa zisizopendezwa nayo.
Hao hata kusoma hawajihangaishikasome ilani,
Mkilaumu sana kwa kushindwa kulenga shabaha hasa weweHayo ndiyo anatakiwa aseme jamani hivi kampeni yote iatkuwa kusimulia alvyopigwa tu?
Wana masikio lkn hawaoniUnaonekana hata aumfutilii rais lisu, kila siku anamwaga sera za kuwatoa watanzania utumwani.
Visiwani huko tayari ccm ni tumpeleeke tumpeleekeLissu kawakoroga idara ya Propaganda ya CCM kiasi kwamba wanaweza kuruhusu Bange na Ngono za Bure kwenye mikutano yao
Kwa kweli mwisho wa CCM umeanza kuonekana kabisa
Huko visiwani ndio hawalali macho yamakuwa mekundu shati la kijani suruwali nyeusi wamegeuka Monsters
Hapo ndiyo mwisho wa akili zake.Ungejenga tu hoja hata kama CCM inakulipa mzee
Utakuwa hujamsikiliza Lissu au hujamuelewa. Mpaka sasa ni ameshaongelea hayo; atabadli mfumo wa elimu ili uweze kuto elimu bora na si bora elimu, mikopo kwa kila mwanafunzi na malipo ya mkopo 3 % badala ya 15 % pia atatoa bima ya afya kwa kila mtanzania.Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?
Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Wameenda kuiaibisha Klabu ya Simba pale Arusha wachezaji wameambulia kucheza peke yao walichoambulia ni tudem twa kimang'ati na konyagiCCM haina mvuto kwakweli bila wasanii mtu utafuta kitu gani?
Hakika hakuna mtz asiyetaka Uhuru haki na maendeleo....Sioni kama kuna mtu anayefikiria sawasawa anayeweza kumnyima kura Tundu Lissu!!
Kiherehere cha nini? Kampeni si imeanza tu? Mambo yote hayawezi kuongelewa kwa siku 2 tu.Lissu!
Tumesikia kwa miaka 3 iliyopita juu ya mkasa uliokupata. Ni kweli ulipigwa risasi, ni kweli umesoma sheria, nk. lakini sisi wapiga kura tuambie unachotaka kutufanyia kama Watanzania. Yaonekana huna mpango wowote wa elimu, afya, kilimo, sayansi na hata husemi lolote juu ya uchumi. Tuambie mipango yako ni ipi?
Hayo ndo utakuwa mtaji wa kura dhidi ya wapinzani wako akina Membe Rungwe, Magufuli, nk. Kuendelea kusimulia risasi, haituhusu na haina manufaa nasisi huku vijijini. Kama ni kuponyoka kifo, huku tunafiwa kila siku kwa huduma duni. Sema utatusaidiaje???
Rubbish!Lissu!

mtaji wa CCM ndio hawa watu.Hao hata kusoma hawajihangaishi
Lissu!