Patriot
JF-Expert Member
- Feb 11, 2008
- 5,705
- 4,703
Ufahamu mdogo wa mgombea! Nje ya sheria ni mbumbumbu!Ndugu zangu,
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Lissu hadi anaendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.View attachment 1556855
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ufahamu mdogo wa mgombea! Nje ya sheria ni mbumbumbu!Ndugu zangu,
Mambo yanazidi kuwa magumu kwa Lissu hadi anaendelea kutoa ahadi zisizotekelezeka.View attachment 1556855
Tatizo CCM,CDM au ACT wataweka vyama vingine vya ziada kupunguza wingi wa kura. Tunatakiwa kwenda kwenye vyama vikuu viwili tu..mimi nataka pawe na ushindani wa wagombea watatu[act,cdm,ccm], au three-way race.
..kura zikigawanyika namna hiyo vyama vya siasa vitaheshimiana na tutapata utawala unaoheshimu haki na demokrasia.
Umeonyesha rangi yako halisi ya utanzania,uvivu.bibi yangu ambaye hakuliona darasa hana hata wasaa wa kuuliza swali.je wewe mvivu ambaye uliuona mwanga kidogo unashindwa pia kupitia ilani ya chama na iko humu.kimsingi Lissu ameshaeleza yote sera yao ya elimu,bima ya afya kwa wananchi wote,kupitia kodi na tozo mbalimbali,soko huru la mazao linalomnufaisha mkulima mkulima hatakopwa.alishaeleza kuhusu utalii,madini.nk.ACHA UFINYU WA MAWAZO MKUU.na leo saa 3 usiku ITV DAKIKA 45 Lissu atakuwa hewani.kaangalie uondoe tongotongo za ujinga unaokusumbua.Badilisha namna yako ya kufikiri.Nisamehe! Tatizo munaweka wagombea wenye IQ ndogo!
Nisamehe tena; Miaka ile ya akina Lissu kusoma sekondari, aliyesoma HGL, HKL, na the likes walikuwa ni watu walioshindwa kuielewa sayansi. Hawakuwa na kisingizio cha kukosa waalimu wazuri kama ilivyo sasa hivi. Hivyo, nikimuona eti ni mwanasheria, aliyesoma masomo ya aina hiyo, najua brain power yake ndogo!! Hawezi fikiria mambo makubwa na ndo maana kila siku utasikia risasi 16! Wauaji anawajua Magufuli! Matibabu yangu... bhla! Bhla!
Bahati mbaya, Jopo lote la uongozi wa juu la CHADEMA lina watu wa aina hii. Ni wale ambao hata ukiwauliza mbolea ni nini, hawana majibu vichwani. Ukiwauliza mbinu gani tuitumie kuondokana na ukame watasema tumeeleza kwenye ilani ya chama, maana hawakumbuki waliandikiwa nini. Watu wa aina hii ndo akina Mkumbo ambaye pia alikuwa huko huko kabla ya kuhama. Midomo na maneno meeengi kama insha za daarasa la 6.
Kabisa.Tegemeo halisi la WafanyakaziMungu mbariki shujaa Lissu..tunamwamini na tunamkubali.
Hujitambui HujielewiTegemeo la wafanyakazi anajua shida za wafanyakazi huyo? Aliajiliwa ofisi gani.
Tope umebeba ww kichwani mwako na matakoni mwako..shenzi kbsaaaNaendelea kuamini kweli akili ni nywele kila mtu na zake. Mnamo ona huyu mtu ni mbeba maono endeleeni tu kwani mna nywele zenu bana. Mimi zangu siyo za kuona maono bali naona ni mbeba tope chafu. Japo najua wengi wetu tu ao ona maono ni wale wale wafanyakazi hewa wa mtu yuleee. So mwageni mate na matusi lakini werevu tunaelewa ushabiki wenu ni tope.
Nothing lasts longer , Lissu akidhulumiwa hakutakuwa na mswalie mtumeYaan mnaendelea kujidanganya Lissu kushida, labda twiter na JF,
Hatuwezi mpa inchi kibaraka wa wazungu, ilishindikana kwa Lowasa na mafuliko ije kuwa huyu kibara, jana nimeona kwa macho yangu mkutano wake ,utadhani yupo wilayani kumbe yupo mkoani, mahudhulio tu yanatoa picha
Hata uchumi wa kati umepeperuka midomoni mwao .Imefikia hatua inakuwa ngumu kuzungumzia ujenzi wa uwanja wa ndege Chato,sijui tatizo ni nini