Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Tundu Lissu angekuwa chakula wala huwezi kumkinai maana kila hotuba anaongea mambo mapya siyo yule kila siku barabara tu mpaka anakinaisha.

Ni wakati wako mwana JamiiForums kumchagua Tundu Lissu kiongozi anayeweza kuchambua mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja siyo yule ambaye yeye maendeleo kwake ni barabara pekee hana nje ya hapo.

WAKATI NI WAKO, PIGA JIWE CHINI TUPATE MAENDELEO YA KWELI YA MTANZANIA
Tundu Lissu ni mtam kweli kweli
 
Ni yeye.
.
Ndio maana jiwe anambania Coverage ya media jiwe angekufa aisee.

Jamaa ana madini mengi sana kichwani ni very smart huchoki kumsikiliza.

Mungu Mbariki Lissu awe Rais wa Tanzania.

Ni yeye.
Ana madini na hayaishi. He is plenty of knowledges.
 
Tundu Lissu angekuwa chakula wala huwezi kumkinai maana kila hotuba anaongea mambo mapya siyo yule kila siku barabara tu mpaka anakinaisha.

Ni wakati wako mwana JamiiForums kumchagua Tundu Lissu kiongozi anayeweza kuchambua mambo yanayowagusa wananchi moja kwa moja siyo yule ambaye yeye maendeleo kwake ni barabara pekee hana nje ya hapo.

WAKATI NI WAKO, PIGA JIWE CHINI TUPATE MAENDELEO YA KWELI YA MTANZANIA
Yaa kumuongelea Mwl kama hakuwa Kiongozi Mzuri, yaa kuongelea Mwanzo wa Muungano na ubatili wake kama "kichaa" ndio anaongelea mambo mapya ??
Mpaka wazee wa saccos wanamuona kama hayawani fulani hivi au mtoto asiye na wazazi ndio huyo unayesema anajua maendeleo ya kweli ya Mtz au ndio mwenye kutaka kutuletea fujo
 
Wewe ndio umejiunga august 10 , 2020 kwa akainti nyingi uje kufunika hoja za Lissu?? Hebu kanye kwanza huko.
 
Rafiki yangu na kaka yangu Lissu, watanzania wameumia vya kutosha chini ya utawala wa zaidi ya nusu karne wa ccm na pegnine zaidi, katika utawala wa awamu hii. Wanahitaji Sera mbadala, faraja na ahueni ya maisha ambayo umekuwa ukiinadi vyema, lakini kuna kitu umekuwa ukijisahau katika kampeni zako.

Wakati ukielezea mambo makubwa ya kitaifa, ivute hadhara yako kwa kutaja kero mahususi ndani ya local area yao na toa ahadi ya kushughulika na hizo kero mahususi ndani ya jimbo husika huku ukiwashawishi wamchague mbunge atakaye kusaidia kutatua hizo kero mahususi.

Ongea kama Rais mtarajiwa kwa mambo ya kitaifa kwa ujumla, lakini pia ongea kama mbunge kwa kutaja kero za eneo husika. Hapo jamii itakuelewa na kukuamini kuwa unazijua kwa dhati kero zao na utaweza kuzitatua.

Mfano ulipokuwa Tabora wakati ukihutubia kulikuwa na shouting kutoka kwenye crowd kuhusu vipalata, nashukuru ulisikia na kuliongelea. Juzi bagamoyo wakawa wanashout kuhusu bandari, n.k. Hiyo ni mifano michache tu niliyokupa naomba we we binafsi na timu yako kwa ujumla mlifanyie kazi.

Sent from my TECNO F3 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom