Akihutubia umati wa watu Moshi, amesema CHADEMA ikiingia Ikulu itafanya kazi na mapolisi wetu hawa hawa. Amesema mtoto umleavyo ndivyo akuavyo. CCM na rais Magufuli wamewalea polisi katika kutotenda haki, na si kuwa ndivyo walivyoumbwa, la hasha!
Wamelelewa kwa miaka 5 katika kutotenda haki, kuonea watu, kubambika kesi watu etc. Akasema Chadema ikiingia Ikulu, IKULU itatenda na HAKI na hivyo chochote kilicho chini yake kitatenda HAKI maana mtoto umleavyo ndivyo akuavyo! Polisi wamelelewa na Magufuli kutotenda haki.