CAPO DELGADO
JF-Expert Member
- Aug 31, 2020
- 8,542
- 18,340
Ni YEYE.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hakuna mwanasiasa wa upinzani yupo hapo alipo kwa kunadi vyema sera za upinzani bali kwa kupiga porojo...
| Madini yetu KUWEKWA rehani, SIYO POROJO? Umesikia kwa nani mwingine maneno hayo? | |||||||
Uzuri wake uko wapi?Lissu ni mgombea mzuri, sema labda ahujumiwe na vyombo vya dola na vya maamuzi .
Uzuri wa jiwe uko wapi.?Uzuri wake uko wapi?
Haki ya kikatiba ipoHali ya maisha ni mbaya Sana. Hatuhitaji vitu tena,tunahitaji HAKI
Acha kupindisha maneno. Video iko wazi kabisa,Lissu amesema reli imekufa. Huyo mama anayeongea hapo ni mkazi wa New York au?Lissu yuko sahihi. Hiyo reli sio effective. Ni kama imekufa tu. Ni juzi tu Mamlaka ya Reli ndo walienda huko kuweka kambi na kujaribu kuifufua Ila ikinyesha mvua tu tunarudi kulekule.
Hata treni za huko ni tiamajitiamaji leo ipo kesho haipo wala sio ya uhakika.
Kama wewe sio mkazi wa huko huwezi jua shubiri tunayopitia wakazi wa huko kwenye hiyo miondombinu chakavu
Leo tunampima Lissu. Jibu hoja kwanza halafu anzisha uzi wa kujadili wagombea wengine. Usititoe kwenye reliNi vizuri pia mkatoa majibu na kwenye Jiwe kujimilikisha ekari 25,000 kagera huko, Ujenzi wa uwanja wa ndege chato kwa kampuni ya ndugu yake
Kwanza Lissu ni democrat , pili ni mfuasi wa katiba ya wananchi . Haamini ktk utawala wa mkono wa chuma. Tatu anaamini ktk diplomacy.Uzuri wake uko wapi?
Katiba ipi? Hamtaamini matokeo. Na mkiyagusa, The Hague"Haki ya kikatiba ipo
Haki ya kikatiba ni sawa na Uhuru wa vyombo vya habari ,Uhuru wa watu kutoa maoni yao,yote tumepokonywa tuna jambo letu 28 OctoberHaki ya kikatiba ipo
Hivi haya sio maoni?Haki ya kikatiba ni sawa na Uhuru wa vyombo vya habari ,Uhuru wa watu kutoa maoni yao,yote tumepokonywa tuna jambo letu 28 October