Uchaguzi 2020 Ahadi na Sera za Tundu Lissu katika Uchaguzi Mkuu 2020
Kwamaneno mengine wanasema anakera kwakinyakyusa tunasema 'He is hammering on the nail' in other words he is telling the truth and the true pains
 
Lissu yuko sahihi. Hiyo reli sio effective. Ni kama imekufa tu. Ni juzi tu Mamlaka ya Reli ndo walienda huko kuweka kambi na kujaribu kuifufua Ila ikinyesha mvua tu tunarudi kulekule.

Hata treni za huko ni tiamajitiamaji leo ipo kesho haipo wala sio ya uhakika.

Kama wewe sio mkazi wa huko huwezi jua shubiri tunayopitia wakazi wa huko kwenye hiyo miondombinu chakavu
 
Ni vizuri pia mkatoa majibu na kwenye Jiwe kujimilikisha ekari 25,000 kagera huko, Ujenzi wa uwanja wa ndege chato kwa kampuni ya ndugu yake

Lissu tumeshampima tayari. Ndani ya mwezi mmoja wa kampeni yake ajira 13,000 za walimu zilizozuiliwa kwa miaka 5 zimetoka, wakulima wa pamba wamepelekea hela ili walipwe, wamachinga wameambiwa vitambulisho sio lazima na watumishi wameanza kulipwa madeni na malimbikizo yao.

Lissu tayari tumeshampima na tunajua na tumejua anafaa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania
 
Lissu yuko sahihi. Hiyo reli sio effective. Ni kama imekufa tu. Ni juzi tu Mamlaka ya Reli ndo walienda huko kuweka kambi na kujaribu kuifufua Ila ikinyesha mvua tu tunarudi kulekule.

Hata treni za huko ni tiamajitiamaji leo ipo kesho haipo wala sio ya uhakika.

Kama wewe sio mkazi wa huko huwezi jua shubiri tunayopitia wakazi wa huko kwenye hiyo miondombinu chakavu
Acha kupindisha maneno. Video iko wazi kabisa,Lissu amesema reli imekufa. Huyo mama anayeongea hapo ni mkazi wa New York au?
 
Ni vizuri pia mkatoa majibu na kwenye Jiwe kujimilikisha ekari 25,000 kagera huko, Ujenzi wa uwanja wa ndege chato kwa kampuni ya ndugu yake
Leo tunampima Lissu. Jibu hoja kwanza halafu anzisha uzi wa kujadili wagombea wengine. Usititoe kwenye reli
 
Tatizo la Lisu ni muongo sana hata huwezi jua muda gani anaongea ukweli.
Ameshazusha Mambo mengi ambayo kwa watu wasio wafia vyama wanamuona Kama tapeli tuu
 
Back
Top Bottom