othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 6,850
- 11,033
Mh 🙄🙄 unakuaga na kaunafiki ww!!Sisi wengine baada ya kuusoma ule Waraka tuliuona umesheheni Ushauri kwa Serikali
Tukajua mengi yatashughulikiwa kimya kimya
Mungu wa mbinguni mbariki sana Rais Samia
Mnajipa umuhimu msio kuwa naoSisi wengine baada ya kuusoma ule Waraka tuliuona umesheheni Ushauri kwa Serikali
Tukajua mengi yatashughulikiwa kimya kimya
Mungu wa mbinguni mbariki sana Rais Samia
Wewe na jamii yako mtakuja kulishukuru Baraza la Maaskofu Tanzania siku mtakapo tulia na kujifunza Maarifa.Mnajipa umuhimu msio kuwa nao
Vipi na wengine wakizuia makontena ya tende kuja?Kwa kuwa wamemwaga mboga mwaga ugali. FUTA MOU hakuna kuwapa mishahara madaktari, hakuna msamaha Tena bandarini Kwa vifaa Tiba wakati tunalipishwa tukienda mahospitalini, billioni wanazopewa Kila bajeti zizuiwe.
watatia akili.
Kwani anayetoa misamaha ya kodi ni mwekezaji?TEC wanahaha mizigo yao itapitaje bandarini bila kodi
Hilo ni baraza langu, lakini kwa kitendo walicho kifanya hawakutumia busara hata kidogo.Ni mhimili wa Serikari usiojulikana.
Ndio maana unawaona hapo walipo.
Usije kuwabeza, wako vizuri kupita unavyo fahamu.