Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Lkn kanisa lina ukwasi wa kutosha badala ya kuusoma kwa week sita wangeudurufu huo waraka kila mtu apewe awe nao nyumbani muada wote anaupitia.
 
Sisi wengine baada ya kuusoma ule Waraka tuliuona umesheheni Ushauri kwa Serikali

Tukajua mengi yatashughulikiwa kimya kimya

Mungu wa mbinguni mbariki sana Rais Samia
 
Mnajipa umuhimu msio kuwa nao
Wewe na jamii yako mtakuja kulishukuru Baraza la Maaskofu Tanzania siku mtakapo tulia na kujifunza Maarifa.

Walichosema Baraza kilisemwa mwanzo kabisa na Shura ya Maimamu Tanzania.
Shura ya Maimamu imejaa Wasomi wa Kiislamu. Na walishauri kama walivyo shauri Baraza la Maaskofu.

Tatizo baadhi yenu mmetopea katika Ujinga.
Raisi wa kwanza JK. Nyerere aliwahi kusema maadui wa nchi hii ni
UJINGA
MARADHI na
UMASKINI.
Kuna Mtume mmoja wa Mwenyezi Mungu siku ya kwanza kukutana na Malaika aliambiwa SOMA ewe NABII.
 
Kwa kuwa wamemwaga mboga mwaga ugali. FUTA MOU hakuna kuwapa mishahara madaktari, hakuna msamaha Tena bandarini Kwa vifaa Tiba wakati tunalipishwa tukienda mahospitalini, billioni wanazopewa Kila bajeti zizuiwe.

watatia akili.
Vipi na wengine wakizuia makontena ya tende kuja?
 
Ni mhimili wa Serikari usiojulikana.
Ndio maana unawaona hapo walipo.

Usije kuwabeza, wako vizuri kupita unavyo fahamu.
Hilo ni baraza langu, lakini kwa kitendo walicho kifanya hawakutumia busara hata kidogo.
Wamekosea sana, bora wangewahi kutoa tamko Kabla ya bunge afadhali.
 
Wakati mjadala wa BANDARI UKIWA UNAENDELEA NA MENGI YAKIZUNGUMZWA....

Hebu tuyasikilize na haya MAANA TUSIJEKUTA badala ya maoni ya wengi ni maoni Mungu tukaishia kuwa kuingia kwenye Mkenge MASS DECEPTION

Karibu kwa mapovu!!!

Ni muhimu sana tukasikiliza maana kuna mengi sana ya kujifunza
 

Attachments

  • VID-20230910-WA0169.mp4
    30.8 MB
Lazima tukubaliane yakuwa waraka wa Baraza la Maaskofu ulituingia sanaaaaaa

Yaani ulituingia kama penetensia, lazima tukubaliane yakuwa Mafunzo na matamko ya Maasikofu sisi wakatoliki huwa yanatuingia sanaaa moyoni kwa mantiki hii yanapoingia kwa maelekezo fulani uwa tunakuwa watii.

Kwa mantiki hii tunaitaji tamko kutoka kwa Baraza la Maaskofu ili tuweze futa yaliyokuwa yameisha ingia mioyoni mwetu.

Paspo tamko sisi wakiristu na wakatoliki wenye misimamo mikali tutaanzisha dhehebu letu.

Yaani dhehebu la wakatoliki wasio yumbishwa yaani wakatoliki wenye msimamo mkali sanaaa.
 
Back
Top Bottom