Sasa wanatoka mapangoni hawa ndio wako nyuma ya fujo zote hizi ni hatari sana kwa Taifa hili nakuhakikisha subiri majibu ya Mashekh maana kuna wako walikuwa naunga mkono Bandari na wako wanapinga ila kila muda wakaanza kuhisi hili sio suala la Bandari ila limekaa kidini zaidi na wao watarudi na msimamo ni wazi tuko katika hatari lazima kitu kifanyike hawa watu hatari.
 
Eti kwa sababu bosi wenu mstaafu Dr Slaa yuko mbaroni, ndio nanyi mnakurupuka kwa majibu haya. Kwani siri, watanzania walifahamu kuwa nyie ndio mnaowasukuma akina Dr Slaa kusema hovyo.
Kwa taarifa yenu, nyie fanyeni kazi ya kuhubiri kanisani huku kwingine hakuwafai. TEC haiingozi Tanzania na wala msijidanganye kudhani kuwa nyie ndio mnaoongoza Tanzania.
 
Hawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
 
Hawa ni wasomi wa hali ya juu sana, hawakurupukagi
Msidanganyike, kwaqni kama wana wanasheria zitakuwa za Kanisa, kama theology ni ya kanisa. Wap na wapi na bandari. Sio kila aitwaye Dr huko TEC anaujuzi wa bandari. Na hakuna hata mmoja aliyesomea maswala ya bandari kati ya hao wote kwenye List ya watu 32 na ushehe. Kaeni pembeni na acheni wataalamu wafanye kazi.
 
Unamsikiliza shivji aliyependekeza nchi ianzishe mabaraza ya ardhi ambayo yamegeuka kero nchi nzima kwa rushwa na kukuza migogoro?
mzee umebeba jina la kiumbe mwenye uwezo mkubwa wa kufikiri na kujenga hoja, lakini nasikitika unalidhalilisha.

Leo tuziseme mahakama hazifai kuwepo kwa vile tu wapo mahakimu wala rushwa?
 
Huwezi kusikia hata siku moja baraza la mashehe au maimamu wanaingia maamuzi ya serikali.
Ila kila mara utaskia hawa wanaovaa kofia ndefu km wapishi wa viti moto kiherehere cha kutaka kuingilia mambo yasiowahusu.
Serikali ianze na huyo mchungaji SLAA . Huyo akishanyongwa wengine wakafyata milia yao.

Mi nashauri wao waendelee kudanganya kondoo wapige hela za bure km kawaida.
Serikali waachane nayo kabisa.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Unamfahamu Dr. Kitima ama unamsikia? Ulikuwepo siku ameshiriki mjadala na akina Rostam na Jenerali Ulimwengu? Kama hukuangalia hio scene, ipo youtube. Iangalie urudi ku comment
 
Ukikaa kimya utaficha ujinga wako ndugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…