Zawadi Ngoda
JF-Expert Member
- Aug 13, 2009
- 4,175
- 2,294
Sina mpango wa kulijua, ila kuna kipindi lilidekezwa sana mpaka kufikiri Tanzania bila hilo kanisa haitawaliki. Sasa hivi makanisa yapo mengi, wala wao hawana nafasi hiyo tena.Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
Na usitutishe! Kwa taarifa yako tatizo sio mama bali ni Watanzania ambao tumeshasema NO kwa kanisa hilo kudhani lina hati miliki ktk nchi hii.