Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
Sina mpango wa kulijua, ila kuna kipindi lilidekezwa sana mpaka kufikiri Tanzania bila hilo kanisa haitawaliki. Sasa hivi makanisa yapo mengi, wala wao hawana nafasi hiyo tena.
Na usitutishe! Kwa taarifa yako tatizo sio mama bali ni Watanzania ambao tumeshasema NO kwa kanisa hilo kudhani lina hati miliki ktk nchi hii.
 
Mama Samia masikio mbona umeyatia pamba mama?kipi usichokielewa tunavuja damu kwa kudaiwa madeni tusiyojua yataisha lini wewe tena unaleta jinamizi lingine haya unayafanya kwa manufaa ya nani na kwa nini?

Ukweli kila mtu aliye timamu baada ya kuona ile clip wanasheria wetu wakibanwa na mabeberu na kuulizwa maswali yenye ”jokes” za kijinga na hukumu ya juzi dhidi ya Tanesco kutakiwa kulipa a lot of billions kwa mikataba iliyovunjwa na serikali hizi hizi za CCM hawezi kushindwa kuelewa pia ubaya wa huu mkataba wa DP World.

Maskini baadhi yetu Watanzania tuliokosa elimu tunavutia upande wa mama kwa sababu ambazo in really life hazitubebi hata kwa bahati mbaya kwenye circle ya wanaofaidika.ukweli kama ilivyosemwa kwenye huu waraka hao wanaoonekana kuunga sana mkono wamepewa maisha na raisi ukiwa na akili timamu lazima ujue kwamba Chalamila hawezi kusema mkataba fulani ni mbovu sababu ataenda nje ya anachokitaka mkuu wake wa kazi same to Nape,sijui Msukuma au yeyote yule.
 
Ni kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa

Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya

Jumaa Mubarak!
WAZEE WA DAR NI BENDERA FUATA UPEPO WA BAHARI WANAKURUPUSHWA NA CCM
 
Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi
Chief umeona hivyo vipengele kwenye huo mkataba, wewe ukiwa na shamba lako unaweza kukubali mkataba kao huo, mfano kipengele hiki.
14.2. Ibaraya 4: inayohusu wigo wa Mahusiano na Utekelezaji unaoitaka Serikali ya Tanzania kuwajibika kuijulisha Dubai kila fursa ya uwekezaji inapojitokeza.Hiiinakinzana na baadhi ya sheria za nchi yetu, kwa mfanosheria ya ushindani na ile ya manunuzi.
Wqgalatia bana nikuulize kitu mkataba kati ya serikali na Barick kuchimba dhahabu miaka 100 wananchi walishirikishwa ? Hawa maskofu walitoa tamko wewe baada ya miaka 100 na maskofu wako mtakuwa hai?
 
Teh teh teh
Ahsante kwa kunipa cheo changu stahiki.
Mimi kweli nimesoma madrasa na ntaendelea na elmu hii mpk mwisho.

Tatizo nyie waefeso mkishapata kondoo kadhaa wa kuwadanganya tayari mnajiona wasomi.
Pita pale magomeni jioni utakuta kondoo kibao wanatolewa mapepo kwa shs elf 50.
We unakwenda kuomba kwa mchungaji au padri akusaidie kupata kazi au upate ujauzito wakati kazi hutafuti wala hospital hujaenda! Halafu uko tayari kumpa elf 50!
Hio ndio kuelimika ?
Umesema kweli tupu. Utapeli mtupu wa kuombea kwa kulipa fedha. Kuna tapeli mwingine alidanganya watu wakijiua kwa kutetea dini yao eti watakwenda peponi na kupewa wanawake 70 wa kugegeda! Kama siyo wendawazimu ni nini?
 
Kipindi cha Nyerere taasisi ya ukatoliki nchini haikuwahi kuipinga wala kuikosoa Serikali, Kipindi cha Mkapa hakuwahi kukosolewa na wakatoliki na kipindi cha Magufuli hakuwahi kukosolewa na wakatoliki.
Pia Kanisa katoliki halikuwahi kukosoa serikali pale viongozi wa kisiasa wa madhehebu mengine waliposhikiliwa na kuwekwa Gerezani, Leo mkatoliki Dr Slaa kakamatwa naona TEC wamejitokeza.

Kanisa katoliki japo katika hili mnaweza kuwa sahihi kukosoa lakini jitafakarini jinsi mlivyo WABINAFSI
 
Wapi umewahi niona naunga mkono mambo ya dini kuingilia mambo ya serikali?

..tamko la maaskofu halina mambo yoyote yale ya kidini.

..maaskofu wameupinga mkataba kwa hoja za ki-sekyula, hawajanukuu maandiko.

..kwa msingi huo waungwe mkono au wapingwe kama watoa maoni wengine wowote.

..tatizo kuna genge la Rais Samia linataka kutisha watu wasiupinge mkataba wa Dp kwa kuwaita wadini, wahaini, wabaguzi, etc.
 
Mtaishia kutoa matamko tu serilkali inaendelea na mchakato wake wa kuleta maendeleo kwa wananchi.
Rais mwenyewe juzi kakiri hajui kwanini mpaka leo tu maskini ukilinganisha na Nchi ASIA ambazo miongo kadhaa nyuma tulikuwa wote maskini lakini wenzetu leo mambo yamenyooka, unadhani kugawa rasilimali za Nchi ndio kuleta maendeleo, naamini ipo siku tutakutana tena hapa tukijadili faida au hasara za hichi munachoita uwekezaji.
 
Rais mwenyewe juzi kakiri hajui kwanini mpaka leo tu maskini ukilinganisha na Nchi ASIA ambazo miongo kadhaa nyuma tulikuwa wote maskini lakini wenzetu leo mambo yamenyooka, unadhani kugawa rasilimali za Nchi ndio kuleta maendeleo, naamini ipo siku tutakutana tena hapa tukijadili faida au hasara za hichi munachoita uwekezaji.
Tanzania tumepata uhuru mwaka 1961 Rais alikuwa Samia? Lazima ashange yeye ana miaka ya urais mitatu anataka kuweka nchi sawa nyie na Maskofu mnaleta udini wenu wazungu wanachota madini kila siku mpo kimya mmeufyata.
 
Umesema kweli tupu. Utapeli mtupu wa kuombea kwa kulipa fedha. Kuna tapeli mwingine alidanganya watu wakijiua kwa kutetea dini yao eti watakwenda peponi na kupewa wanawake 70 wa kugegeda! Kama siyo wendawazimu ni nini?
Hasa wale wenye macho mdiliko wakitajiwa wanawake wa kugegeda akili hamna tena.
Wanaingia wazima.
🤣🤣
 
Back
Top Bottom