Huu udini huu.

Kuna siku zitapigwa haki ya nani.

Hapa niko nasubiri tamko la Sheikh Kipozeo & Co 😁

Poor Tanzania!

Kutoka kwenye umoja na mshikamano mpaka kupambana kwa udini waziwazi hivi. This is extremely sad!
Udini unaletwa na hao mapadri na wachingaji kuingilia kazi za serikali.
Huo mkataba wa bandari ungeletwa na Vatican au Any European country usingesikia padri wala askofu yyt anasema kitu.
Tatizo umeletwa na DUBAI ambao kwa bahati mbaya kitimoto kwao haramu na fungu la 10 hawataki. Na ibada zao sio weekend tu.

Ndio maana umeona makanisa yamechachamaa kupinga .

Mikataba mingapi inafanywa na mataifa ya kigalatia humu nchini? Umeshasikia mashehe wamesema kitu?

Wenzetu wa pande za Vatican wana roho mbaya sana. Wako tayari wananchi wafe njaa lkn Chakula asilete muislamu.
 
Ukisoma maelezo ya Baraza Kuu la Maaskofu Tanzania hadi raha, Kiswahili kizuri na chenye mpangilio unasoma mstari kwa mstari aya kwa aya kila kitu kimepangiliwa na kunyooka …
Hao ni wasomi kwelikweli.
 
Sasa hapo serikali lazima ipate shida maana Issue ya dini ikishaingilia mambo nyeti kama haya ni hatari

Kama Kenya tu watu waliamua kufa na njaa kwa kumwamini mtu mmoja leo taasisi kubwa hii imeamua kutoa tamko la kutounga serikali unadhani hali itakuwaje
 
Uh
Mpaka nimetetemeka.

Hoja nzito, na walioanzisha ukosoaji wametwikwa uhaini.

Nguvu kubwa anayotumia Samia kutaka mkataba huu inaligharimu Taifa

Je maaskofu nao ni wahaini?
 
HII NCHI YETU IPO KWENYE UPANDE WA VATICAN!!! ndio maana wanafanya rotation ya Marais Ili wazanzibar wapate nao rais nje ya hapo RC INAHUSIKA
 
Huo mkataba wa bandari ungeletwa na Vatican au Any European country usingesikia padri wala askofu yyt anasema kitu.
Issue sio kuletwa issue ni Mkataba MBOVU mboni mnakaza mafuvu nyinyi mna mtindio wa UBONGO?
 
Samia kama unapita hapa nakushauri hawa Katoliki hawajawahi kushindwa pambano lolote,tafakari tafakari tafakari
 
Kwa kweli kanisa limetuwakilisha vizuri sana Watanzania kuliko serikali yetu.
Wewe nani hata usiwasilize unaowaongoza?!
Kanisa tunaomba msiishie tu kutoa maoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…