Fallback
JF-Expert Member
- Aug 12, 2023
- 3,686
- 6,958
Sirudii tena kuelewesha BOGUSMkataba mbovu upi?
Weka hapa hicho unachosema kibovu.
Hio kampuni imewekeza bandari zaidi ya 40 duniani.
Hivi we kwa akili yako ya kipadri kampuni yenye sifa mbaya itaweza kuwekeza nchi zaidi ya 40 tofauti duniani?
We najua unatetea kanisa hapa lkn kuwa ukijua Tanzania sio nchi ya upako.
Au Vatican.
Ni nchi yenye wananchi milion 60 na zaidi. Na wote wako chini ya serikali ya jamuhuri sio Kanisa.
Acheni serikali ifanye kazi yake bila kuingiza chuki zenu za kurithi zisizo na faida kwenu wala kwa watoto wenu.