Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mjinga wee, Mungu aliwatumia Manabii Toka enzi na enzi akiwatuma kuwaonya Wafalme .
Kwahio mchungaji SLAA na Tundu lissu wametumwa na Mungu sio. 🤣🤣
Hizi bange za kigoma mbaya sana.
Acha mdogo wangu.
Utaanza kuimba taarabu kwenye baa bure wakupige walevi.
 
BBT ni mpango wa kipekee kuwahi kutokea Tanzania ( pengine hata duniani) ulianzoshwa na amama Samia kwa kiwango kikubwa kupitia rasilmali mama ya Tanzania ambayo ni ardhi, kwa sasa kngo kikubwa unasimamiwa na Mheshimiwa Bashe, Waziri wa Kilimo: Jiponee na jisikilizie:

View: https://youtu.be/OTEEoNW2j0M

Naamini, baada ya bandari, huo ni mpango wa kwanza utaopigwa vita na kanisa katoliki. Sababu zipo wazi.

Nikishaandika kuhusu BBT, tunamsubiria, kufikia 2024 ,tunamrudia.
 
Bunge limesharidhia haturudi nyuma .endeleeni kutoa matamko ndio uhuru wa habari huo
Bunge la majizi ya kura hakuna kitu mtafanya. Wote tunajua bunge hili lilipatikana kwa uchaguzi wa kihayawani wa 2020. Watu kukaa kimya sio kuridhika na ule upuuzi uliofanyika. Ukitaka kujua bunge hilo halina uhalali, angalia sauti za wananchi zilivyo na nguvu.

Na kwa kukusaidia tu, msiposoma alama za nyakati kwa kujua hakuna anayewataka madarakani, subirini kutolewa kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hatuwezi kuwa na chama kinachozeekea madarakani kwa kupora chaguzi za nchi, na kuuendelea kuuza rasilimali za umma kwa ubabe. Hivyo vyombo vya dola navyo vimeshawachoka, wanasubiri wananchi tu walianzisha na wao wapate uhalali wa kuwapiga chini.
 
Waislamu baada ya kupambania uhuru na kumpa nafasi yule mchongameno. Vatican ikaja kwa kasi sana kutaka kutawala nchi hii
Ikakutana na wazee wakongwe waliopigania uhuru wa nchi hii wakakaa kimya.

Sasa wanaingiza influence zao polepole kwa kuwatumia hawa mapadri na wachungaji.
Serikali inatakiwa kupiga marufuku kabisa taasisi yyt ya kidini kutokuingilia masuala ya serikali kabisa.
Na atakaefanya kosa hilo akatwe makende .
Ndio labda watakuwa na adabu hawa waefeso wasiokuwa na akili
Tatizo ni kwamba miaka ya mchonga meno nchi nyingi za kiarabu nazo zilikuwa utumwani kwa hiyo hawakuwa na elimu au mali na hali ya kujipambanua nao kutoka kwenye ukoloni wasingeweza tawala Tanganyika.Nchi za kiarabu zilishiriki tu kama madalali wa kuuza waafrika utumwani
 
Kwahio mchungaji SLAA na Tundu lissu wametumwa na Mungu sio. 🤣🤣
Hizi bange za kigoma mbaya sana.
Acha mdogo wangu.
Utaanza kuimba taarabu kwenye baa bure wakupige walevi.
Unaona ulivyo bwege...

Kwa habari ya Lissu, Mbowe, hao wameongea kama watanzania walio Ndani ya vyama ,waloamua nawao kukutumia hili kama sehem ya Siasa .

Punguza ujingaaaa
 
Bunge la majizi ya kura hakuna kitu mtafanya. Wote tunajua bunge hili lilipatikana kwa uchaguzi wa kihayawani wa 2020. Watu kukaa kimya sio kuridhika na ule upuuzi uliofanyika. Ukitaka kujua bunge hilo halina uhalali, angalia sauti za wananchi zilivyo na nguvu.

Na kwa kukusaidia tu, msiposoma alama za nyakati kwa kujua hakuna anayewataka madarakani, subirini kutolewa kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hatuwezi kuwa na chama kinachozeekea madarakani kwa kupora chaguzi za nchi, na kuuendelea kuuza rasilimali za umma kwa ubabe. Hivyo vyombo vya dola navyo vimeshawachoka, wanasubiri wananchi tu walianzisha na wao wapate uhalali wa kuwapiga chini.
Wewe nimeshakushauri uhame tuu hii nchi maana utakufa kwa presha.
 
BBT ni mpango wa kipekee kuwahi kutokea Tanzania ( pengine hata duniani) ulianzoshwa na amama Samia kwa kiwango kikubwa kupitia rasilmali mama ya Tanzania ambayo ni ardhi, kwa sasa kngo kikubwa unasimamiwa na Mheshimiwa Bashe, Waziri wa Kilimo: Jiponee na jisikilizie:

View: https://youtu.be/OTEEoNW2j0M

Naamini, baada ya bandari, huo ni mpango wa kwanza utaopigwa vita na kanisa katoliki. Sababu zipo wazi.

Nikikumbuka ule utapeli wa siasa ni kilimo, kilimo cha kufa na kupona, kilimo kwanza na bado wakulima wanazidi kuwa masikini, nacheka sana nikisikia utapeli ule ule kwa jina tofauti.
 
Siasa na dini zitenganishwe.
Hawa maaskofu WAKAMATWE kama MWABUKUSI na WENZAKE.
Haiwezekani wapinge maendeleo ya NCHI.

Hizi ni kauli za kichochezi.
Wewe nikuma nini?? Au unajitoa ufaham.

ROSATAM wameanza uchimbaji wa Uranium Tanzania, kwann hawapingwi??.

Kuna kampuni ngapi zimeweke, nchin??.

LIMKTABAAAAA LIBOVU NDO HATULITAKI.
 
Maaskofu wakiwaambia nyie kondoo msije na chupi kwenye ibada mkatekeleza usidhani kila mtanzania atatapeliwa kirahisi km kondoo namna hio.

Mimi nakushauri tu. Sio kila akisemacho padri, mchungaji au askofu ukibebe mazima. Utakuja kupata ujauzito mapema kabla hujaolewa. Halafu ukienda kuuliza kwa hao hao kina baba askofu watakwambia "pepo mbaya alipita, sasa toa laki 3 tukusamehe madhambi"

Chunga sana hao viumbe.
Ni hatari kwa afya na kwa taifa letu.
Ona hii takataka inachoandika NONSENSE
 
Back
Top Bottom