Mwande na Mndewa
JF-Expert Member
- Feb 26, 2021
- 1,117
- 3,153
Makambo Ezali minene
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio mchungaji SLAA na Tundu lissu wametumwa na Mungu sio. 🤣🤣Mjinga wee, Mungu aliwatumia Manabii Toka enzi na enzi akiwatuma kuwaonya Wafalme .
BBT ni mpango wa kipekee kuwahi kutokea Tanzania ( pengine hata duniani) ulianzoshwa na amama Samia kwa kiwango kikubwa kupitia rasilmali mama ya Tanzania ambayo ni ardhi, kwa sasa kngo kikubwa unasimamiwa na Mheshimiwa Bashe, Waziri wa Kilimo: Jiponee na jisikilizie:
View: https://youtu.be/OTEEoNW2j0M
Naamini, baada ya bandari, huo ni mpango wa kwanza utaopigwa vita na kanisa katoliki. Sababu zipo wazi.
Bunge la majizi ya kura hakuna kitu mtafanya. Wote tunajua bunge hili lilipatikana kwa uchaguzi wa kihayawani wa 2020. Watu kukaa kimya sio kuridhika na ule upuuzi uliofanyika. Ukitaka kujua bunge hilo halina uhalali, angalia sauti za wananchi zilivyo na nguvu.Bunge limesharidhia haturudi nyuma .endeleeni kutoa matamko ndio uhuru wa habari huo
Tatizo ni kwamba miaka ya mchonga meno nchi nyingi za kiarabu nazo zilikuwa utumwani kwa hiyo hawakuwa na elimu au mali na hali ya kujipambanua nao kutoka kwenye ukoloni wasingeweza tawala Tanganyika.Nchi za kiarabu zilishiriki tu kama madalali wa kuuza waafrika utumwaniWaislamu baada ya kupambania uhuru na kumpa nafasi yule mchongameno. Vatican ikaja kwa kasi sana kutaka kutawala nchi hii
Ikakutana na wazee wakongwe waliopigania uhuru wa nchi hii wakakaa kimya.
Sasa wanaingiza influence zao polepole kwa kuwatumia hawa mapadri na wachungaji.
Serikali inatakiwa kupiga marufuku kabisa taasisi yyt ya kidini kutokuingilia masuala ya serikali kabisa.
Na atakaefanya kosa hilo akatwe makende .
Ndio labda watakuwa na adabu hawa waefeso wasiokuwa na akili
Unaona ulivyo bwege...Kwahio mchungaji SLAA na Tundu lissu wametumwa na Mungu sio. 🤣🤣
Hizi bange za kigoma mbaya sana.
Acha mdogo wangu.
Utaanza kuimba taarabu kwenye baa bure wakupige walevi.
IdiotHuenda una homa mzee, kapime!
Halafu yupo wapi Leo?Marehemu samwel sitta alidiss hizo nyaraka kiaskofu sijui madudu gani
Wewe nimeshakushauri uhame tuu hii nchi maana utakufa kwa presha.Bunge la majizi ya kura hakuna kitu mtafanya. Wote tunajua bunge hili lilipatikana kwa uchaguzi wa kihayawani wa 2020. Watu kukaa kimya sio kuridhika na ule upuuzi uliofanyika. Ukitaka kujua bunge hilo halina uhalali, angalia sauti za wananchi zilivyo na nguvu.
Na kwa kukusaidia tu, msiposoma alama za nyakati kwa kujua hakuna anayewataka madarakani, subirini kutolewa kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Hatuwezi kuwa na chama kinachozeekea madarakani kwa kupora chaguzi za nchi, na kuuendelea kuuza rasilimali za umma kwa ubabe. Hivyo vyombo vya dola navyo vimeshawachoka, wanasubiri wananchi tu walianzisha na wao wapate uhalali wa kuwapiga chini.
BBT ni mpango wa kipekee kuwahi kutokea Tanzania ( pengine hata duniani) ulianzoshwa na amama Samia kwa kiwango kikubwa kupitia rasilmali mama ya Tanzania ambayo ni ardhi, kwa sasa kngo kikubwa unasimamiwa na Mheshimiwa Bashe, Waziri wa Kilimo: Jiponee na jisikilizie:
View: https://youtu.be/OTEEoNW2j0M
Naamini, baada ya bandari, huo ni mpango wa kwanza utaopigwa vita na kanisa katoliki. Sababu zipo wazi.
Wewe nikuma nini?? Au unajitoa ufaham.Siasa na dini zitenganishwe.
Hawa maaskofu WAKAMATWE kama MWABUKUSI na WENZAKE.
Haiwezekani wapinge maendeleo ya NCHI.
Hizi ni kauli za kichochezi.
Kapime hakika, utanishukuru.Idiot
Labda pressure ndio itahama nchi, lakini majizi ya kura mtajua hamjui.Wewe nimeshakushauri uhame tuu hii nchi maana utakufa kwa presha.
Sibishani na Mapunga-ZezeKapime hakika, utanishukuru.
Umerogwa weweHuu ugali wa Viongozi (BANDARI) Yeyote atakayejaribu kuusogelea lazima akumbane na mkono wa chuma. Mods mpo hapa embu rekebisheni apo ni Baraza.View attachment 2720868
TEC kufunguliwa kesi ya uhaini?Huu ugali wa Viongozi (BANDARI) Yeyote atakayejaribu kuusogelea lazima akumbane na mkono wa chuma. Mods mpo hapa embu rekebisheni apo ni Baraza.View attachment 2720868
Limenilevya vipi mkuu!? Nimewasaidia watu kuelewa ufupisho wa hayo maneno. Au wewe umeelewaje mkuu!??Mbona kama hili tamko la maaskofu limekulevyaa.
Kesi ya uhaini inawahusu😆Hawawezi kuwafanyia Ivo.
Ona hii takataka inachoandika NONSENSEMaaskofu wakiwaambia nyie kondoo msije na chupi kwenye ibada mkatekeleza usidhani kila mtanzania atatapeliwa kirahisi km kondoo namna hio.
Mimi nakushauri tu. Sio kila akisemacho padri, mchungaji au askofu ukibebe mazima. Utakuja kupata ujauzito mapema kabla hujaolewa. Halafu ukienda kuuliza kwa hao hao kina baba askofu watakwambia "pepo mbaya alipita, sasa toa laki 3 tukusamehe madhambi"
Chunga sana hao viumbe.
Ni hatari kwa afya na kwa taifa letu.