kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
We umeuona huo mkataba?Hizo sifa zote ulizowamwagia hao DP World hakuna mwenye tatizo nazo, tatizo ni huu mkataba wa kihuni hapa kwetu fullstop.
au unabeba tu story km zile story za ibada za weekend ambazo hao watoa story hawaruhusu hata wana kondoo kuuliza maswali