Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Hizo sifa zote ulizowamwagia hao DP World hakuna mwenye tatizo nazo, tatizo ni huu mkataba wa kihuni hapa kwetu fullstop.
We umeuona huo mkataba?

au unabeba tu story km zile story za ibada za weekend ambazo hao watoa story hawaruhusu hata wana kondoo kuuliza maswali
 
Waroma wana msemo kwamba "𝑹𝒐𝒎𝒂 𝒍𝒖𝒄𝒖𝒕𝒂, 𝑪𝒂𝒖𝒔𝒂 𝑭𝒊𝒏𝒊𝒕𝒂" (𝑲𝒂𝒏𝒊𝒔𝒂 𝑳𝒊𝒌𝒊𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑳𝒊𝒎𝒆𝒎𝒂𝒍𝒊𝒛𝒂)

Najiuliza ni MWISHO wa DP world au Kuna excuses Tena ?

Naona na Kardinal wetu Rugambwa ameungana na wenzake kupinga mkataba
Soma pia


Britanicca
IMG_0602.jpeg
 
Waroma wana msemo kwamba "𝑹𝒐𝒎𝒂 𝒍𝒖𝒄𝒖𝒕𝒂, 𝑪𝒂𝒖𝒔𝒂 𝑭𝒊𝒏𝒊𝒕𝒂" (𝑲𝒂𝒏𝒊𝒔𝒂 𝑳𝒊𝒌𝒊𝒔𝒆𝒎𝒂 𝑳𝒊𝒎𝒆𝒎𝒂𝒍𝒊𝒛𝒂)

Najiuliza ni MWISHO wa DP world au Kuna excuses Tena ?

Naona na Kardinal wetu Rugambwa ameungana na wenzake kupinga mkataba

Britanicca
Nilikuwa nakuona una akili ila nimegundua kuwa wewe ni mjinga sana? Kwa hiyo unataka kusema kuwa Tanzania inaongozwa na Roma?

China nako Roma wakisema wamesema?
 
swala sio kuwekeza bandarini bali hoja hapa ni kuenea kwa dini nyingine na dini hiyo itawale humu tanzania
Na huu ndio UOGA WA WAKRISTO.
Wanaogopa akiwekeza mwarabu basi UISLAMU UTAZIDI TANZANIA hali ya kuwa WAARABU ni asilimia 15% tu ya WAISLAMU WOTE DUNIA.
Asilimia 85% YA WAISLAMU DUNIA SIO WAARABU.

Kwa hio Acheni uoga. Kuweni na confidence. UISLAMU ni Dini ya haki na inaongezeka Duniani kwa kasi kubwa sana.
Hata mfanye nini hakuna kitakacho zuia UISLAMU usiendelee. DINI YA KWELI lzm Iendelee na Dini za UONGO lzm zife pole pole mpk zitaisha kabisa.

Hio sio mimi na wewe bali NI AHADI YA MUNGU MUUMBA
 
Mi nadhani we utakuwa km sio mtoto wa askofu basi mmoja wa maaskofu ni partner wako.

Hapa sio jukwaa la wapenda nao. Hapa km huna hoja kaa pembeni soma hoja.
Wewe huna cha kuniambia mnalazimisha kataba BOVU nani analitaka hilo kataba BOVU nyie wezi wakubwa mliojificha kwenye kivuli cha udini PUMBAVU kabisa, unaambiwa mkataba MBOVU unaleta habari za udini nimeshakwambia sikuelimishi tena wewe Mbumbumbu
 
Back
Top Bottom