Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mkataba mbovu upi?
Weka hapa hicho unachosema kibovu.

Hio kampuni imewekeza bandari zaidi ya 40 duniani.
Hivi we kwa akili yako ya kipadri kampuni yenye sifa mbaya itaweza kuwekeza nchi zaidi ya 40 tofauti duniani?

We najua unatetea kanisa hapa lkn kuwa ukijua Tanzania sio nchi ya upako.
Au Vatican.
Ni nchi yenye wananchi milion 60 na zaidi. Na wote wako chini ya serikali ya jamuhuri sio Kanisa.

Acheni serikali ifanye kazi yake bila kuingiza chuki zenu za kurithi zisizo na faida kwenu wala kwa watoto wenu.
Sirudii tena kuelewesha BOGUS
 
Unless wewe ni mtusi au mhutu kiswahili nilichoandika hapo juu kiko wazi.

Mapadri na wachungaji ni fitna kubwa ktk hii nchi.
Wanapenda sana kujitia kiherehere kwenye maamuzi ya serikali.

Waislamu kwa upande mwingine huwezi kusikia wanaingilia kazi za serikali.

Sasa nani anaeleta udini hapa nchini?
Hapo ndipo kwenye hoja kuu. Mgawanyo
 
Wewe pambania Dini iliyotoa kiongozi aliyeratibu rushwa Hadi presidential jet kuzuiliwa na watoa rushwa!! Urais umeghoshiwa
Asiee ongeza nyama kwenye hii story presidential jet kuzuiliwa??!!! Hapa umekatisha uhondo
 
Kwa wale wanaopata shida kuelewa kifupi cha baadhi ya maneno kwa utambulisho wa maaskofu kirefu cha ufupisho huo ni Kama ifuatavyo:

1. O.F.M Cap (Order of Friars Minor Capuchin) - Shirika la Ndugu wadogo Wafransisko Wakapuchini.

2. ALCP/OSS (Apostolic Life Community of Priests in opus Spiritus Sancti) - Shirika la Kitume la kazi ya Roho Mtakatifu.

3. CSSp (Congregatio Sancti Spiritus) - Shirika la Roho Mtakatifu

4. OSA (Order of Saint Augustine) -Shirika la Mtakatifu Augustino.
 
Nichoamini ni kuwa hao maaskofu wametumia diplomasia sana kutoa huo msimamo wao lakini ukapuuzwa. Hawa maaskofu hawapendi kabisa kuja hadharani kutoa msimamo kama waliotoa leo lakini inaonekana kuna watu watakuwa walishupaza shingo. Kwa asieijua TEC ina wataalamu wa kutosha na huwa haikurupuki na watakuwa wamefanya utafiti wa kutosha na kutafuta taarifa za kutosha kuhusiana na huo mkataba halafu wakalinganisha faida zake na hasara zake mwisho ndio wakaja na hilo hitimisho la kuukataa huo mkataba.
Hili liko wazi

TEC Huwa sio ya maonyesho na kamera

Maana yake wamepuuzwa, wameamua Sasa na wao kuita waandishi.

Tunaelekea patamu

Kwa Sasa mafundisho yote Kila JPL yatakua ni Mkataba .


Kwa ufupi, Waislam ni wachache , kama wataitaka vita hii, basi wakiristo tupo tayari.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hapa naona SGR , na hizo bandari zingine ziwe za DPW na wanahisa wenzao wa Bongo Akina Nepe, febuari, Abdul, Patel,kikwao , kitulo, tuli na mumewe
 
Laiti ungejua kati ya wasomi kweny dini ni hao jamaa, iwe sheria, uchumi na mamb mengine!!
Hawa watu nchi yao inaitwa Vatican City ni nchi tajiri duniani kote usiwachezee hata huku Roma wanaogopa na hawaingilii siasa za nchi yeyote ila wanapoona waumini wao wanafanyiwa Ufirauni
 
TEC ni chombo kikubwa sana. Kuja na tamko kama hili la kiujumla bila kuwa na takwimu na mwisho kuja na conclusion ya kutotidhia. Kusema kuwa Wananchi wengi hawaungi mkono, kwa takwimu zipi? Asilimia ngapi inapinga na ipi inakubali?
Hebu tuchukulie hoja ya kuwa lazima wengi wasikilizwe..vipi kuhusu hoja ya Kuanzishwa kwa vyama vingi ambapo wengi walipinga lakini serikali ikaridhia.
Wewe unahisi, Mkataba Huu, watanzania wanautaka??


Kama Wana CCM wenyewe, hawautaki, vipi kuhusu Watanzania??.
 
Back
Top Bottom