Siasa na dini zitenganishwe.
Hawa maaskofu WAKAMATWE kama MWABUKUSI na WENZAKE.
Haiwezekani wapinge maendeleo ya NCHI.

Hizi ni kauli za kichochezi.
 
Siasa na dini zitenganishwe.
Hawa maaskofu WAKAMATWE kama MWABUKUSI na WENZAKE.
Haiwezekani wapinge maendeleo ya NCHI.

Hizi ni kauli za kichoche
Wewe ndio PUNGUANI kabisa tena vua hilo jina la Jaji Mfawidhi unaziaibisha taaluma za watu
 
Maandishi yako yanaungana na kauli ya maaskofu ya kwamba mkataba huu utatugawa kama taifa. Hivyo kauli yako inaunga tamko la maaskofu.
 
Wewe bado kile kiswahili kwetu ni kawaida ndo maana nyie wabara kiswahili bado sana ..
Kuna maajabu gani pale ni ushamba wako tu?
 
Issue sio kuletwa issue ni Mkataba MBOVU mboni mnakaza mafuvu nyinyi mna mtindio wa UBONGO?
Mkataba mbovu upi?
Weka hapa hicho unachosema kibovu.

Hio kampuni imewekeza bandari zaidi ya 40 duniani.
Hivi we kwa akili yako ya kipadri kampuni yenye sifa mbaya itaweza kuwekeza nchi zaidi ya 40 tofauti duniani?

We najua unatetea kanisa hapa lkn kuwa ukijua Tanzania sio nchi ya upako.
Au Vatican.
Ni nchi yenye wananchi milion 60 na zaidi. Na wote wako chini ya serikali ya jamuhuri sio Kanisa.

Acheni serikali ifanye kazi yake bila kuingiza chuki zenu za kurithi zisizo na faida kwenu wala kwa watoto wenu.
 
Kwa hiyo hii inchi now inaendeshwa kiislamu??
Nchi inaongozwa Kwa Katiba na sheria zilizowekwa, aliyekwambia inaongozwa kiislamu Nani au ndivyo mnavyodanganyana kwenye Hilo Baraza lenu?
 
Hakuna kitu kibaya kwenye uongozi hata kazini usipokuwa na msimamo tu umefungua ‘pandora box’ ya kila mtu kukujaribu.

Maza hataki kuelewa somo achana na ushauri JK kwenye maswala ya kuendesha nchi, yeye ilibaki kidogo tu nchi iingie kwenye anarchy kama angeendelea.

Nyie watu hamkumuelewa Magufuli vile ndio mataifa yanaendeshwa hakuna demokrasia isiyo na mipaka wala siasa za majukwaani miaka mitano mfululizo.

Time will tell
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu

Kama mpaka sasa hivi haujui mkataba una matatizo basi wewe ndiye wa kurekebisha. Huu mkataba upo kila mahali na wataalamu wamesha chambua sasa unaongelea nini?
 
Maandishi yako yanaungana na kauli ya maaskofu ya kwamba mkataba huu utatugawa kama taifa. Hivyo kauli yako inaunga tamko la maaskofu.
Unless wewe ni mtusi au mhutu kiswahili nilichoandika hapo juu kiko wazi.

Mapadri na wachungaji ni fitna kubwa ktk hii nchi.
Wanapenda sana kujitia kiherehere kwenye maamuzi ya serikali.

Waislamu kwa upande mwingine huwezi kusikia wanaingilia kazi za serikali.

Sasa nani anaeleta udini hapa nchini?
 
Hili la kilimo na mashamba makubwa vijana wawe wanapitishwa jkt ambapo miundo mbinu hiyo IPO na baada ya hapo ndio wapewe mashamba Yao.
 
Hatulitambui kanisa , ila wapo watu wanaatambua kanisa maana ni wafuasi kwao ni fresh.

Mnapoelekea kila mtu atarudi kwao .!!
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Huo ni muhimili uliojikita pembeni, una wasomi kuliko wewe na unajitawala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…