Mtasubiri sn!Nimeshangazwa na upole wa balaza la Maaskofu wa Katoliki
Hii haikupaswa kuwa ombi bali ni amri afute mkataba mbovu kwa kupewa muda tuseme siku 10 tu au vinginevyo aachie madaraka
Kwahiyo haitaki tukashirikiana kwa pamoja na wenye utaalamu ili taratibu watuachie sisi tukiwa na ujuzi badala ya kuwaachia mpaka mkataba unaisha bila kuwa na ujuzi.Tafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu
Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU
Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya
Mimi nlichoona:
Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba urekebishwe (kitu ambacho watanzania walio wengi ndio wanachotaka) tamko linataka huu mkataba uachwe kabisa, yani usiendelee hapa KANISA LIMEIBGILIA SERIKALI kutimiza wajibu wake maana wameipa amri serikali iachane mara moja na huu mkataba ikiwa serikali itauacha huu mkataba wa uwekezaji ni dhahiri kuwa ile kauli ya ALMARHUM SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU rahimallahu kuwa nchi hii KANISA LINA NGUVU KULIKO SERIKALI na hapo ndipo MFUMO KRISTO UNADHIHIRI kwa kuonesha nchi hii inaendeshwa na KANISA
Cha pili: Tamko linataka Bandari tuiendeshe wenyewe, kimsingi na kwa spidi ya sasa kama watanzania bado hatuwezi kuendesha bandari na kufikia viwango hitajika
Cha Tatu: ukiangalia namba 4, tamko linasema “ tukiweka ubia na makampuni yenye ubobezi wa kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani, na sio ubia kutoka nchi moja, tukiweka mikataba yenye tija”..
Hii inamaanisha bado tunahitaji uwekezaji.. sasa tamko linaposema sio uwekezaji wa nchi Moja, kwani Ticts ilikuwa ya nchi ngapi? Si walikuwa wachina pekee? , na tamko linaposema nchi mbali mbali duniani, Dubai(UAE) si ni mojawapo ya nchi zilizopo duniani kama ilivyokuwa China kuendesha Ticts kwa miaka 30?
Hili tamko nadhani lingesema vipengele vya mkataba viwekwe sawa.
Na linapokuja swala la ubobezi, Hata huko Europe na Marekani wanamtumia huyohuyo DP sasa sijui tamko linataka ubobezi gani?!
Kingine, tamko linaposema makampuni ya ndani binafsi ndo yaingie ubia na wawekezaji wa nje, tayari serikali imeshapoteza, wakati sekta kama hizi lazima serikali yenyewe iingie makubaliano na mwekezaji moja kwa moja ili kuwe na direct control, kuliko kupitia kwa kampuni binafsi
Mwisho bila kupepesa maneno, hili tamko halimtaki Mwarabu awekeze, ila kwa kusema “ kutoka sehemu mbali mbali duniani” ni dhahiri kwamba ingekuwa ni nchi ambayo haitoki ukanda wa mashariki ya kati kama Ulaya, basi hili tamko lisingetoka, kama ambavyo halikutoka kwenye mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege, na mikataka mingine mibovu. Nadhani baraza la MAASKOFU wanataka kutwambia kuwa itakuwa vizuri zaidi mwekezaji akitoka Vatican au Ulaya na iwe kampuni ya Wazungu Wakristo ila tu wamejificha nyuma ya kichaka wanachokijua wao,
Hapa kanisa limekumbuka kauli ya SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ila wamesahau ya
Kaizari aachiwe kaizari na ya Mungu apewe Mungu
Hebu turudi nyuma kwenye historia Kanisa ndani ya nchi hii linapata wapi Moral authority wakati kanisa hilo haohao TEC na CCT walisaini mkataba na serikali 1992 wa kula mabilioni ya PESA maarufu kwa jina la MoU
Mkataba wenye masharti magumu tu kuwa kulipo na hospitali za kanisa serikali isijenge za kwake ipeleke wafanyakazi hapo na mishahara ya hizo hospitali za kanisa itoke serikalini hii ni hatari sana
Serikali imeanza kujenga hospitali zake kila wilaya hili kwao limekuwa tatizo kubwa sana
Hebu tujikumbushe machache kuhusu KANISA NA KADHIA MBALIMBALI ZA TANZANIA
Tutakwenda hivi kwa amri ya Maaskofu hadi lini?
Maaskofu hawaitaki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa inawaweka Waislam juu, historia hii ikafutwa.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakuitaka East African Muslim Welfare Society (EAMWS) matokeo yake ikapigwa marufuku kwa amri ya serikali mwaka wa 1968 kwa kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu cha Waislam.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakupenda kuona Waislam wanaelimika zikafanywa kila aina ya mbinu kuhakikisha kuwa watoto wa Waislam hawapati elimu ya sekondari wala Chuo Kikuu.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakutaka Organisation of Islamic Conference (OIC) ijenge Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 na kweli chuo hakikujengwa.
Chuo kikapelekwa kujengwa Mbale, Uganda.
Maaskofu wakakataa Zanzibar kujiunga na OIC na haikujiunga.
Ushahidi upo.
Maaskofu wamekataa kuzirejesha Mahakama za Kadhi zilizovunjwa mwaka wa 1963 na mahakama hakika hazikurejeshwa.
Ushahidi upo.
Yapo mengi lakini tutafakari haya kwa sasa.
Tanzania hii itaendeshwa kwa matakwa ya Maaskofu hadi lini?
JE NCHI HII BAADA YA KUSAINI MoU mwaka 1992 na makanisa ndio makanisa yamepata idhini ya kuiendesha Tanzania?
Na huu ndio MFUMO KRISTO UNAVYOENDESHA TANZANIA
WATANZANIA WENZANGU
Nawaasa tuiache serikali ifanye kazi yake ina vyombo vyake na wataaalamu wake tuliheshimu bunge na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa Watanzania
Sisi Watanzania WAZALENDO wenye nchi hii tunasema
Kazi iendeleeeeeeee
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Jifunze kwanza maana ya ujamaaRaisi anahangaikia watanzania wengi saana. Na vikundi vya dini na imani ni vingi saana. Raisi wangu samia chapa kazi uwekezajiii huuu utakapoleta faida kwa watanzania, watakao nufaika ni hata hao maasikofu.
Njoo na hoja waliondika hapo uwezo mdogo tena ni zaidi ya mmoja ndo tatizo la elimu za kupewa na copy& kupaste machapisho.Pole sana
Nitajie kiongozi wako mweny elimu ya kumzidi lipumba 😅hata uchukue baraza zima la maaskofu bado.Nitajie sheikh au maalim wa msikiti mwenye phd hapa tanzania
Wengine walienda mbali mabinti zao wataolewa na waarabu wachanganye rangi za wajukuu
Ujamaa ni kutoa huduma kwa wote bila kujali vikundi vya imaniiJifunze kwanza maana ya ujamaa
Ulitaka tufanyeje? Tubebe bunduki tum - pyuu pyuu.?Hizo ni porojo kama porojo zingine,hizo mnazoita waraka zilipuuzwa na Jiwe na hamkumfanya kitu na huu wa Sasa lazima upuuzwe.
Hakuna mzozo wa kidini hapa. Ni wananchi wanasemaNi Serikali ya kijinga ndio inaweza itumbukiza Nchi kwenye mzozo wa Kidini Kwa Kufuata maelekezo ya the so called Maaskofu na malaghai wengine.
Pongezi nyingi kwa maaskofu kwa kuanika uovyo wa mkataba. Wameonesha namna tunavyopigwa kwa uzembe, ujinga au upumbavu wetu, hususan wanasheria wa serikali katika muktadha huu. Huo ndio ueledi wa kujibu hoja kwa hoja.Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitime
Kwa Mujibu wa Padri kitime ,TEC imeamua kusimama na wananchi kwenye suala la bandar...
Anataka wapewe waarabu mazima awe analetewa ng'ombe msikitini siku ya Eid el adhaKwahiyo haitaki tukashirikiana kwa pamoja na wenye utaalamu ili taratibu watuachie sisi tukiwa na ujuzi badala ya kuwaachia mpaka mkataba unaisha bila kuwa na ujuzi.
Hao maaskofu wataishi milele?[emoji2957][emoji2957]Afu usipende ligi na maaskofu utakufa kabla ya umri wako
Lipumba ni Kiongozi wa dini?Nitajie kiongozi wako mweny elimu ya kumzidi lipumba [emoji28]hata uchukue baraza zima la maaskofu bado.
Na hata hiyo elimu ya lipumba bado tunamkosoa hatuogopi kima.!!
Wewe Mbumbumbu huna utakachokifanya utabakia kua Mbumbumbu tuSubiri tu ndio utajua, kama maharage ni mboga au vipi
Hawana lolote tofaoti na kutafuta mizigo yao ipite bila kodi mtanzania gani mwenye uwezo wa kuwekeza kwenye gati 1 tu thamani ya tirioni 1?kama sio upumbafu niniAndiko la maaskofu limeandikwa na wasomi wa falsafa wana data kamili na wamefanya utafiti wa kutosha HALITAPINGWA kwa mipasho na sentence za kuungaunga
Sent using Jamii Forums mobile app
Toa majawabu ulipo kubwa wakati huo ili majibu nayo yawe yenye uwajibikaji🤔Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"
Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.
1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?
2. Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"
3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?
4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?
5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu
Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"
Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.
Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,
Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
TEC wanafanya nini? na walikuwa wapi wakti ndugu zetu wanatupwa kwenye viroba kila sikuTEC hawaigawi nchi kwa matamko yao bali watu wenye uchu ndio walioigawa nchi kwa mabeberu.