Siri yangu
JF-Expert Member
- Jul 22, 2023
- 1,426
- 2,845
Ndio mkuu huyu na Mama Abdu ndugu yangu🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye mama abduli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio mkuu huyu na Mama Abdu ndugu yangu🤣🤣🤣🤣🤣Hapo kwenye mama abduli🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Afu usipende ligi na maaskofu utakufa kabla ya umri wakoTafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu
Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU
Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya
Mimi nlichoona:
Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba urekebishwe (kitu ambacho watanzania walio wengi ndio wanachotaka) tamko linataka huu mkataba uachwe kabisa, yani usiendelee hapa KANISA LIMEIBGILIA SERIKALI kutimiza wajibu wake maana wameipa amri serikali iachane mara moja na huu mkataba ikiwa serikali itauacha huu mkataba wa uwekezaji ni dhahiri kuwa ile kauli ya ALMARHUM SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU rahimallahu kuwa nchi hii KANISA LINA NGUVU KULIKO SERIKALI na hapo ndipo MFUMO KRISTO UNADHIHIRI kwa kuonesha nchi hii inaendeshwa na KANISA
Cha pili: Tamko linataka Bandari tuiendeshe wenyewe, kimsingi na kwa spidi ya sasa kama watanzania bado hatuwezi kuendesha bandari na kufikia viwango hitajika
Cha Tatu: ukiangalia namba 4, tamko linasema “ tukiweka ubia na makampuni yenye ubobezi wa kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani, na sio ubia kutoka nchi moja, tukiweka mikataba yenye tija”..
Hii inamaanisha bado tunahitaji uwekezaji.. sasa tamko linaposema sio uwekezaji wa nchi Moja, kwani Ticts ilikuwa ya nchi ngapi? Si walikuwa wachina pekee? , na tamko linaposema nchi mbali mbali duniani, Dubai(UAE) si ni mojawapo ya nchi zilizopo duniani kama ilivyokuwa China kuendesha Ticts kwa miaka 30?
Hili tamko nadhani lingesema vipengele vya mkataba viwekwe sawa.
Na linapokuja swala la ubobezi, Hata huko Europe na Marekani wanamtumia huyohuyo DP sasa sijui tamko linataka ubobezi gani?!
Kingine, tamko linaposema makampuni ya ndani binafsi ndo yaingie ubia na wawekezaji wa nje, tayari serikali imeshapoteza, wakati sekta kama hizi lazima serikali yenyewe iingie makubaliano na mwekezaji moja kwa moja ili kuwe na direct control, kuliko kupitia kwa kampuni binafsi
Mwisho bila kupepesa maneno, hili tamko halimtaki Mwarabu awekeze, ila kwa kusema “ kutoka sehemu mbali mbali duniani” ni dhahiri kwamba ingekuwa ni nchi ambayo haitoki ukanda wa mashariki ya kati kama Ulaya, basi hili tamko lisingetoka, kama ambavyo halikutoka kwenye mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege, na mikataka mingine mibovu. Nadhani baraza la MAASKOFU wanataka kutwambia kuwa itakuwa vizuri zaidi mwekezaji akitoka Vatican au Ulaya na iwe kampuni ya Wazungu Wakristo ila tu wamejificha nyuma ya kichaka wanachokijua wao,
Hapa kanisa limekumbuka kauli ya SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ila wamesahau ya
Kaizari aachiwe kaizari na ya Mungu apewe Mungu
Hebu turudi nyuma kwenye historia Kanisa ndani ya nchi hii linapata wapi Moral authority wakati kanisa hilo haohao TEC na CCT walisaini mkataba na serikali 1992 wa kula mabilioni ya PESA maarufu kwa jina la MoU
Mkataba wenye masharti magumu tu kuwa kulipo na hospitali za kanisa serikali isijenge za kwake ipeleke wafanyakazi hapo na mishahara ya hizo hospitali za kanisa itoke serikalini hii ni hatari sana
Serikali imeanza kujenga hospitali zake kila wilaya hili kwao limekuwa tatizo kubwa sana
Hebu tujikumbushe machache kuhusu KANISA NA KADHIA MBALIMBALI ZA TANZANIA
Tutakwenda hivi kwa amri ya Maaskofu hadi lini?
Maaskofu hawaitaki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa inawaweka Waislam juu, historia hii ikafutwa.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakuitaka East African Muslim Welfare Society (EAMWS) matokeo yake ikapigwa marufuku kwa amri ya serikali mwaka wa 1968 kwa kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu cha Waislam.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakupenda kuona Waislam wanaelimika zikafanywa kila aina ya mbinu kuhakikisha kuwa watoto wa Waislam hawapati elimu ya sekondari wala Chuo Kikuu.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakutaka Organisation of Islamic Conference (OIC) ijenge Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 na kweli chuo hakikujengwa.
Chuo kikapelekwa kujengwa Mbale, Uganda.
Maaskofu wakakataa Zanzibar kujiunga na OIC na haikujiunga.
Ushahidi upo.
Maaskofu wamekataa kuzirejesha Mahakama za Kadhi zilizovunjwa mwaka wa 1963 na mahakama hakika hazikurejeshwa.
Ushahidi upo.
Yapo mengi lakini tutafakari haya kwa sasa.
Tanzania hii itaendeshwa kwa matakwa ya Maaskofu hadi lini?
JE NCHI HII BAADA YA KUSAINI MoU mwaka 1992 na makanisa ndio makanisa yamepata idhini ya kuiendesha Tanzania?
Na huu ndio MFUMO KRISTO UNAVYOENDESHA TANZANIA
WATANZANIA WENZANGU
Nawaasa tuiache serikali ifanye kazi yake ina vyombo vyake na wataaalamu wake tuliheshimu bunge na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa Watanzania
Sisi Watanzania WAZALENDO wenye nchi hii tunasema
Kazi iendeleeeeeeee
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
That's JF forum problem.Mbona unarudia kuniquote mara mbili mbili?
Cardinal rugambwa Yuko wapi!?Halafu yupo wapi Leo?
Andiko la maaskofu limeandikwa na wasomi wa falsafa wana data kamili na wamefanya utafiti wa kutosha HALITAPINGWA kwa mipasho na sentence za kuungaungaTafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu

na hao waislam wanaokuwa marais ni waroma? Ungehoji kwa nini marais ni waroma na waislam tu ungeelewekaRoma mythology ndiyo inayovunja democracy hapa Tanzania,ndiyo inayotupa marais wa kiroma kila wakati na ambaye siyo mroma anaonekana hafai,
We need to change this attitudes! Quickly as soon as possible!
Naona we unajaza hoja za maana sana hapa. 🤣Wewe Mbumbumbu unajaza server za Jf tu
Wanaijua diplomacy, hiyo ni amri in a soft way! Maana wao hawahitaji kauli Kali maana wanazo nguvuNimeshangazwa na upole wa balaza la Maaskofu wa Katoliki
Hii haikupaswa kuwa ombi bali ni amri afute mkataba mbovu kwa kupewa muda tuseme siku 10 tu au vinginevyo aachie madaraka
Ona hii Mbumbumbu inaongea mashudu🤣🤣🤣 huyo ukimyima mchanga wa upako yuko radhi akupe chochote asije kikosa mchanga wa kumpeleka mbinguni.
Sasa hata sijui huko mbinguni kuna biashara gani.
Yes of course sio wewe Mbumbumbu unajaza mashudu tu humuNaona we unajaza hoja za maana sana hapa. 🤣
hao DP World wanachoshupaza shingo ina maana hawaoni kuwa wamekatiwa kuwekeza waondoke wakawekeze nchi nyingine? Wanang'ang'ania nini wakati wamekataliwa?DP WORLD WAPO NJIANI [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hameni tu nchi
Lile la shura ya maimamu hukuliona la kijinga lakini.Hilo tamko ni ujinga tu. Sasa naelewa kwa nini China hizi dini wanazipiga pini