Pac the Don
JF-Expert Member
- Feb 17, 2021
- 6,170
- 7,710
Hakuna mjadala, issue ni kuondoa vifungu vya hovyo kweny mkataba!! Acha kuumauma ulimi hapa!!tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Punguani ni wewe unayeshindwa kuoanisha ukweli kwamba JPM ndiye aliyeijenga SGR ili ichukue mzigo wa DPW kutoka huko Rwanda na Congo.Mjinga wee
SASA WANGEONGEA NINI, WAKATI JPM HATA HUO MKATABA USINGELETWA MEZANI KWAKE.
WANGEONGEA NN??.
PUNGUZA UPUNGUANI
Wewe acha kutisha watu Dp world wapo na watapewa bandari alafu tuone tutawashuhurikia kama tulivyo washighulikia watu fulani shubamit wewe
Udini ?? Au ??!!Roma imewakataa Waarabu
Usikute kumbe wewe hata kusoma na kuandika hujui!Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Ukila cha Mwarabu lazima ukilipie!Mzee Mgaya washauri hao ndugu zako warudishe hongo ya mwarabu.
Mi,ni mwislam,,,,,,enzi zile Baganza na Kakobe walikiwasha mchana peeee!!!Awamu ya 5 kulikuwa na jaribio la kuuza bandari urithi wetu?
Usisahau pia, Mwamakula alimpinga wazi Magu bila kujali ni mkristo mwenzie!
Huna HOJA upuuzwe!!!
Mchumba aliyeposwa Imegundulika ni mke wa mtu, mchumbiaji AMETAPELIWA!!¡!😃😃😳😳
Bakwata nao wapo wapi kwenye hili sakata la bandari?
"HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?"Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"
Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.
1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?
2. Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"
3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?
4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?
5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu
Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"
Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.
Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,
Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
Aahaaaaahutawaona hapa wameahidiwa na dpw misikiti minne minne kila mkoa. na futar kila mfungo.
Tanganyika haina dini.Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi
Jo nijuavyo maisha ni kupanda na kushuka,milima,mabonde,tambarare,kitonga n.k.Pia sijui kama katika kukua kwako uliwahi kuambiwa kua uyaone mwanangu🤔.Haikuwa na maana ya kuyaona magorofa,au mataa ya mjini ila uliambiwa kua uyaone yanayoambatana na maisha😂🤸🤸🏃🏃Ni kama vile mambo yanatendeka kwa haraka sana tena yakiwa yamebeba uzito mkubwa
Tumuombe Mungu wa mbinguni atujalie Hekima yake tuweze kuvuka kwa sababu ni dhahiri tamko la Baraza la Maaskofu Katoliki litazua Mjadala mpya
Jumaa Mubarak!
AahaaaaaPole!
Yaani wenye nchi wakristo halafu ndo mnalialia kwenye matamko na kumwomba Rais!
Waarabu wana historia chafu ndani ya nchi hii. Hata leo ukienda Sudan huko Darfur vikundi vya magaidi vya waarabu vinaendelea kuua waafrika ili kuwawezesha kutengeneza taifa la waislamu/waarabu pekee.Tafakuri Tunduizi kuhusu tamko la Maaskofu
Tamko la maaskofu linesema SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU mimi nawakumbusha tu ya KAIZARI AACHIWE KAIZARI na ya MUNGU APEWE MUNGU
Nimelisoma TAMKO LA MAASKOFU na mimi nimeona mambo haya
Mimi nlichoona:
Badala ya kutoa maoni kwamba mkataba urekebishwe (kitu ambacho watanzania walio wengi ndio wanachotaka) tamko linataka huu mkataba uachwe kabisa, yani usiendelee hapa KANISA LIMEIBGILIA SERIKALI kutimiza wajibu wake maana wameipa amri serikali iachane mara moja na huu mkataba ikiwa serikali itauacha huu mkataba wa uwekezaji ni dhahiri kuwa ile kauli ya ALMARHUM SHEIKH ILUNGA HASSAN KAPUNGU rahimallahu kuwa nchi hii KANISA LINA NGUVU KULIKO SERIKALI na hapo ndipo MFUMO KRISTO UNADHIHIRI kwa kuonesha nchi hii inaendeshwa na KANISA
Cha pili: Tamko linataka Bandari tuiendeshe wenyewe, kimsingi na kwa spidi ya sasa kama watanzania bado hatuwezi kuendesha bandari na kufikia viwango hitajika
Cha Tatu: ukiangalia namba 4, tamko linasema “ tukiweka ubia na makampuni yenye ubobezi wa kiteknolojia kutoka sehemu mbalimbali duniani, na sio ubia kutoka nchi moja, tukiweka mikataba yenye tija”..
Hii inamaanisha bado tunahitaji uwekezaji.. sasa tamko linaposema sio uwekezaji wa nchi Moja, kwani Ticts ilikuwa ya nchi ngapi? Si walikuwa wachina pekee? , na tamko linaposema nchi mbali mbali duniani, Dubai(UAE) si ni mojawapo ya nchi zilizopo duniani kama ilivyokuwa China kuendesha Ticts kwa miaka 30?
Hili tamko nadhani lingesema vipengele vya mkataba viwekwe sawa.
Na linapokuja swala la ubobezi, Hata huko Europe na Marekani wanamtumia huyohuyo DP sasa sijui tamko linataka ubobezi gani?!
Kingine, tamko linaposema makampuni ya ndani binafsi ndo yaingie ubia na wawekezaji wa nje, tayari serikali imeshapoteza, wakati sekta kama hizi lazima serikali yenyewe iingie makubaliano na mwekezaji moja kwa moja ili kuwe na direct control, kuliko kupitia kwa kampuni binafsi
Mwisho bila kupepesa maneno, hili tamko halimtaki Mwarabu awekeze, ila kwa kusema “ kutoka sehemu mbali mbali duniani” ni dhahiri kwamba ingekuwa ni nchi ambayo haitoki ukanda wa mashariki ya kati kama Ulaya, basi hili tamko lisingetoka, kama ambavyo halikutoka kwenye mikataba mibovu ya madini, ununuzi wa ndege, na mikataka mingine mibovu. Nadhani baraza la MAASKOFU wanataka kutwambia kuwa itakuwa vizuri zaidi mwekezaji akitoka Vatican au Ulaya na iwe kampuni ya Wazungu Wakristo ila tu wamejificha nyuma ya kichaka wanachokijua wao,
Hapa kanisa limekumbuka kauli ya SAUTI YA WENGI NI SAUTI YA MUNGU ila wamesahau ya
Kaizari aachiwe kaizari na ya Mungu apewe Mungu
Hebu turudi nyuma kwenye historia Kanisa ndani ya nchi hii linapata wapi Moral authority wakati kanisa hilo haohao TEC na CCT walisaini mkataba na serikali 1992 wa kula mabilioni ya PESA maarufu kwa jina la MoU
Mkataba wenye masharti magumu tu kuwa kulipo na hospitali za kanisa serikali isijenge za kwake ipeleke wafanyakazi hapo na mishahara ya hizo hospitali za kanisa itoke serikalini hii ni hatari sana
Serikali imeanza kujenga hospitali zake kila wilaya hili kwao limekuwa tatizo kubwa sana
Hebu tujikumbushe machache kuhusu KANISA NA KADHIA MBALIMBALI ZA TANZANIA
Tutakwenda hivi kwa amri ya Maaskofu hadi lini?
Maaskofu hawaitaki historia ya kupigania uhuru wa Tanganyika kwa kuwa inawaweka Waislam juu, historia hii ikafutwa.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakuitaka East African Muslim Welfare Society (EAMWS) matokeo yake ikapigwa marufuku kwa amri ya serikali mwaka wa 1968 kwa kuwa ilikuwa inajenga Chuo Kikuu cha Waislam.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakupenda kuona Waislam wanaelimika zikafanywa kila aina ya mbinu kuhakikisha kuwa watoto wa Waislam hawapati elimu ya sekondari wala Chuo Kikuu.
Ushahidi upo.
Maaskofu hawakutaka Organisation of Islamic Conference (OIC) ijenge Chuo Kikuu Tanzania katika miaka ya 1970 na kweli chuo hakikujengwa.
Chuo kikapelekwa kujengwa Mbale, Uganda.
Maaskofu wakakataa Zanzibar kujiunga na OIC na haikujiunga.
Ushahidi upo.
Maaskofu wamekataa kuzirejesha Mahakama za Kadhi zilizovunjwa mwaka wa 1963 na mahakama hakika hazikurejeshwa.
Ushahidi upo.
Yapo mengi lakini tutafakari haya kwa sasa.
Tanzania hii itaendeshwa kwa matakwa ya Maaskofu hadi lini?
JE NCHI HII BAADA YA KUSAINI MoU mwaka 1992 na makanisa ndio makanisa yamepata idhini ya kuiendesha Tanzania?
Na huu ndio MFUMO KRISTO UNAVYOENDESHA TANZANIA
WATANZANIA WENZANGU
Nawaasa tuiache serikali ifanye kazi yake ina vyombo vyake na wataaalamu wake tuliheshimu bunge na serikali katika kutekeleza miradi ya maendeleo kwa Watanzania
Sisi Watanzania WAZALENDO wenye nchi hii tunasema
Kazi iendeleeeeeeee
Sent from my SM-A045F using JamiiForums mobile app
Rugambwa wa mwanzoTabora 🤣🤣
Aahaaaa,na aliwanyooshaUsilolijua: Walishirikiana na kijana wao wa Lupaso kumuweka Mseminari Yohana ila akawageuka.
Kuna mapadri waliondolewa hapa nchini kwa mgongo wa kwenda kusoma nje ya nchi ili waukwepe mkono wa Yohana. Kijana wao wa Seminari alivuka mpaka pale alipomtishia Muhashamu fulani maarufu kutoka jimbo la nyanda za juu kusini.
Walimuweka kwa njia ya hila na Yohana alipoanza kuanzisha taharuki, wenyewe wakakaa kimya kwasababu walidhani hatawagusa. Bwana bwanaa, hata wao walibatizwa ubatizo mzito. Kipindi cha UVIKO uvumilivu ukawashinda wakaanza kumshambulia hadharani.