Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Kumbe wewe ni Kenge , kengee Tena like limama la makenge.

Jingaa kabisaaa ,pumbavu la mwishoo.

JPM aliwakataa Wachina, ndo awakubali DP world?

Kujenga SGR alijenga kwaajili ya DP world ?? Hilo bichwa sibora umwage huo ubongo
Mnapokosa hoja mnakimbilia matus. Unamjua vizuri JPM na nia zake kwa taifa hili?.

Tafuta mtu anayefanya kazi kwenye taasisi nyeti za nchi hii muulize mengi kuhusu DPW na JPM atakueleza kwa kina.

JPM kuwakataa Bagamoyo ni suala tofauti kabisa na hili la uwekezaji wa bandari ya Dar.
 
Baraza lenyewe la mchongo. Mbona wakati wa magufuli hawakuwahi kutoka tamko lolote au wapo kwaajili ya kukosoa uongozi wa kiislamu Tu?
Hivi Wewe Ndugu unaifahamu kweli RC?!!?!
 
Huku mitaani kila mtanzania hajakubali hili saga liwe hivi.

Kila Mtanzania anataka uwekezaji ila sio mkwa kataba kama hili.

Lakini kwa nini mbambikie watu kesi? Kwa nini msikubali kukosolewa?

Madeleka mnatesa bure. Dubai sio state kwa mujibu wa Montevidio convetion.
 
Wapi umewahi niona naunga mkono mambo ya dini kuingilia mambo ya serikali?
Kwahiyo ikitokea shehe, al-hadj (mf. Mzee Mwinyi) au mchungaji amekuwa mbunge au Rais itakuwa dini imeingilia serikali?
 
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitime

View: https://www.youtube.com/watch?v=XjLy02Y9DwA

Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo

Katoliki ndiyo imezaa CCM na bakwata hawa jamaa wakishasema NO ni NO kwelikweli

Hawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
 
Wewe Mleta mada ungesema awamu ya 5 wao wameamua kusema leo awamu ya 6 tatizo liko wapi?
Kama inauma chomoa yote!
 
..kama Samia hataki kukosolewa basi aunde genge lake la watu wasiojulikana.

..vinginevyo aache watu wapambane kwa hoja na vijembe ktk majukwaa mbalimbali.
 
Hoja ya TEC kuhusu DP World pamoja na suala la kushikiliwa Dr Slaa na wenzake linaweza kuwa na Mashiko lakini nachelea kusema kwamba TEC wajitafakari kwa namna wanavyoonyesha ubaguzi wa wazi. Nina uhakika haya yangetokea kipindi ma Magufuli wasingetoa tamko lolote lile.

Kuna mambo mengi tena makubwa yametokea wakati wa utawala wa Magufuli, Mkapa na Nyerere lakini KANISA KATOLIKI LILIKAA KIMYA hata pale taasisi zingine za dini zilipopaza sauti kukosoa serikali wao TEC(RC) walikaa kimya.
Mbaya zaidi sikuwahi kuwasikia TEC wakipaza sauti pale wanasiasa wa madhehebu mengine waliposhikiliwa na vyombo vya dola kama vile Maalim Sef na Mbowe, lakini sasa kashikiliwa Mkatoliki Dr Slaa ndio wanapaza sauti.

Ninaikosoa TEC kama chombo lakini huku nje mara nyingi waumini wa dini zote tupo pamoja katika masuala nyeti kwa nchi yetu hata hili la DP WORLD tupo pamoja ILA TEC ACHENI UNAFIKI WA KUBAGUA WATU, TETEENI UONEVU AU UKANDAMIZWAJI WOWOTE PASIPO KUANGALIA HUYU NI WA DHEHEBU LAKO AU LINGINE
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Tuhuma za uongooo , nmesoma kuanzia La kwanza mpaka. Chuo Kikuu na waislam.

Sema ukweli ni kwamba, waislam wengi ni Mbumbumbu kichwani.

Angalia mikoa ambayo angalau Ina idadi Kadhaa ya waisalm,, ndio inaongoza kufanya vibaya mitihani..

Ndo mikoa ambayo Masheikh ubwabwa wanataka kuoa watoto wa miaka 14.

Ndo mikoa ambayo watoto wa kike hawatakiwi Kusoma.

msisingiziee TEC, ukweli ni Kwamba, ukiona Muislam kasoma kafika juuu Sana kielim, basi ujue huyo amejitutumua Sanaa[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kinachojadiliwa Kutokana na post na hayo unayoyaleta unahisi vinalandana kweli au umetanguliza mihemko Hadi unaandika yanayokufurukuta Kwa moto...
Bro hebu come down uandike fact...
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hao maaskofu hawakai kwenye vijiwe vya kahawa kama wewe. Wewe ni mmoja wa mashabiki toka vijiwe vya kahawa.
 
Usilolijua: Walishirikiana na kijana wao wa Lupaso kumuweka Mseminari Yohana ila akawageuka.

Kuna mapadri waliondolewa hapa nchini kwa mgongo wa kwenda kusoma nje ya nchi ili waukwepe mkono wa Yohana. Kijana wao wa Seminari alivuka mpaka pale alipomtishia Muhashamu fulani maarufu kutoka jimbo la nyanda za juu kusini.

Walimuweka kwa njia ya hila na Yohana alipoanza kuanzisha taharuki, wenyewe wakakaa kimya kwasababu walidhani hatawagusa. Bwana bwanaa, hata wao walibatizwa ubatizo mzito. Kipindi cha UVIKO uvumilivu ukawashinda wakaanza kumshambulia hadharani.
Acha uongo ndugu. Una heshima kubwa ndani ya jukwaa hili. Katika kipindi cha miaka 5 ya awamu ya JPM TEC walitoa WATÀKAO mara mbili 2017 na 2019 mara zote waliishambulia serikali ya Magufuli kuhusu demokrasia.
HESHIMA YAKO MKUU punguza hisia weka uhalisia wewe ni mchambuzi mzuri sana.
 
Waswahili wanasema "asifiae mvua imemnyea"
We unaonekana ulishainamishwa na kina baba askofu. Sasa unadhani wote wako hivyo.
Teh teh teh.
Hio ndio shida ya kutaka utajiri fasta. Ukiambiwa inama nikutoe pepo mchafu na nikutajirishe fasta unaitia tu "tawile baba askofu".
Choko la Al Qaeda kukurukupa kote huko hadi kutoka mapangoni hata hoja moja tu ya msingi huna zaidi ya chuki?
 
Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"

Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.

1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?

2.
Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"

3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?

4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?

5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu

Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"

Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.

Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,

Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
Kwani magufuli alitaka kugawa bandari kwa muda usio julikana? Maana kama mnataka kuchanganya mambo hapa
 
Soma comments utajua hao wananchi wengi wamewapata vipi, uandishi wako unanuka dhulma na rushwa
 
Back
Top Bottom