Kumbe wewe ni Kenge , kengee Tena like limama la makenge.


Jingaa kabisaaa ,pumbavu la mwishoo.


JPM aliwakataa Wachina, ndo awakubali DP world?


Kujenga SGR alijenga kwaajili ya DP world ?? Hilo bichwa sibora umwage huo ubongo
Mnapokosa hoja mnakimbilia matus. Unamjua vizuri JPM na nia zake kwa taifa hili?.

Tafuta mtu anayefanya kazi kwenye taasisi nyeti za nchi hii muulize mengi kuhusu DPW na JPM atakueleza kwa kina.

JPM kuwakataa Bagamoyo ni suala tofauti kabisa na hili la uwekezaji wa bandari ya Dar.
 
Baraza lenyewe la mchongo. Mbona wakati wa magufuli hawakuwahi kutoka tamko lolote au wapo kwaajili ya kukosoa uongozi wa kiislamu Tu?
Hivi Wewe Ndugu unaifahamu kweli RC?!!?!
 
Huku mitaani kila mtanzania hajakubali hili saga liwe hivi.

Kila Mtanzania anataka uwekezaji ila sio mkwa kataba kama hili.

Lakini kwa nini mbambikie watu kesi? Kwa nini msikubali kukosolewa?

Madeleka mnatesa bure. Dubai sio state kwa mujibu wa Montevidio convetion.
 
Wapi umewahi niona naunga mkono mambo ya dini kuingilia mambo ya serikali?
Kwahiyo ikitokea shehe, al-hadj (mf. Mzee Mwinyi) au mchungaji amekuwa mbunge au Rais itakuwa dini imeingilia serikali?
 
Tamko hilo limetolewa leo na Padri Kitime


View: https://www.youtube.com/watch?v=XjLy02Y9DwA

Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo

Katoliki ndiyo imezaa CCM na bakwata hawa jamaa wakishasema NO ni NO kwelikweli

Hawa maaskofu mapunguwani kweli wanaleta ushabiki wa kidini kwenye mambo ya msingi. Mama shikilia hapo hapo DP world washaanza kuwekeza haturudi nyuma.
 
Wewe Mleta mada ungesema awamu ya 5 wao wameamua kusema leo awamu ya 6 tatizo liko wapi?
Kama inauma chomoa yote!
 
..kama Samia hataki kukosolewa basi aunde genge lake la watu wasiojulikana.

..vinginevyo aache watu wapambane kwa hoja na vijembe ktk majukwaa mbalimbali.
 
Hoja ya TEC kuhusu DP World pamoja na suala la kushikiliwa Dr Slaa na wenzake linaweza kuwa na Mashiko lakini nachelea kusema kwamba TEC wajitafakari kwa namna wanavyoonyesha ubaguzi wa wazi. Nina uhakika haya yangetokea kipindi ma Magufuli wasingetoa tamko lolote lile.

Kuna mambo mengi tena makubwa yametokea wakati wa utawala wa Magufuli, Mkapa na Nyerere lakini KANISA KATOLIKI LILIKAA KIMYA hata pale taasisi zingine za dini zilipopaza sauti kukosoa serikali wao TEC(RC) walikaa kimya.
Mbaya zaidi sikuwahi kuwasikia TEC wakipaza sauti pale wanasiasa wa madhehebu mengine waliposhikiliwa na vyombo vya dola kama vile Maalim Sef na Mbowe, lakini sasa kashikiliwa Mkatoliki Dr Slaa ndio wanapaza sauti.

Ninaikosoa TEC kama chombo lakini huku nje mara nyingi waumini wa dini zote tupo pamoja katika masuala nyeti kwa nchi yetu hata hili la DP WORLD tupo pamoja ILA TEC ACHENI UNAFIKI WA KUBAGUA WATU, TETEENI UONEVU AU UKANDAMIZWAJI WOWOTE PASIPO KUANGALIA HUYU NI WA DHEHEBU LAKO AU LINGINE
 
Reactions: Ame
Kinachojadiliwa Kutokana na post na hayo unayoyaleta unahisi vinalandana kweli au umetanguliza mihemko Hadi unaandika yanayokufurukuta Kwa moto...
Bro hebu come down uandike fact...
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Hao maaskofu hawakai kwenye vijiwe vya kahawa kama wewe. Wewe ni mmoja wa mashabiki toka vijiwe vya kahawa.
 
Acha uongo ndugu. Una heshima kubwa ndani ya jukwaa hili. Katika kipindi cha miaka 5 ya awamu ya JPM TEC walitoa WATÀKAO mara mbili 2017 na 2019 mara zote waliishambulia serikali ya Magufuli kuhusu demokrasia.
HESHIMA YAKO MKUU punguza hisia weka uhalisia wewe ni mchambuzi mzuri sana.
 
Choko la Al Qaeda kukurukupa kote huko hadi kutoka mapangoni hata hoja moja tu ya msingi huna zaidi ya chuki?
 
Kwani magufuli alitaka kugawa bandari kwa muda usio julikana? Maana kama mnataka kuchanganya mambo hapa
 
Soma comments utajua hao wananchi wengi wamewapata vipi, uandishi wako unanuka dhulma na rushwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…