Hata kuukubali ushoga walishirikiana nao sio...?
Maana kwetu Tanzania nalo ni jambo chafu vipi Kwa kiongozi WA maskofu..
 
..kama Samia hataki kukosolewa au kupingwa arudishe genge la wasiojulikana kama wakati wa utawala wa Magufuli.
 
Mama Abduli asituvurugie Taifa letu, uwekezaji wowote wenye TIJA ni lazima uwe na BARAKA za wananchi wote. Kwanini zitumike HILA, UBABE na NGUVU kulazimisha DP World wapewe bandari MILELE? Kuna siri gani? Viongozi wameahidiwa vitu gani?
Analivurugaje taifa? Kwa hiyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa sababu wananchi wengi walikataa mfumo wa vyama vingi?
 
Kuanzia kesho wataanza kujitokeza wale mamruki punguani wa hedi mwaipopo,manzinge waanze kuropoka ulojo mixa tende
 
Nakoleza wino...Sipendi udini, Sipendi udini, Sipendi udini....
 
Lini tulikubaliana kwamba tulipita kwenye tanuri la moto? Tuanzie hapo kwanza?
 
Serikali haina budi kushirikiana na viongozi wa dini hata kama hawaipendi hiyo dini, bila ya kujali madhehebu. Hili suala tusipokuwa waangalifu litagawa hata dini kutakuwa na dini za aina mbili zinazounga mkono na zinapinga. Kwa hiyo kila sekta na dhamana katika nchi zitakuwa pande mbili
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Kama hawajausoma mkataba hivyo vipengele walivyovifanyia ufafanuzi wamevitoa kwenye ilani ya ccm? Mkiitwa wapumbavu mkubali tu kwani ndio Hali yenu halisi! Uthibitisho ni hiyo hoja yako hapo juu.
 
Nakoleza wino...Sipendi udini, Sipendi udini, Sipendi udini....
Iambie serikali ya ccm inayofanya vituko kiasi cha kusababisha haya, bila TEc kushinikiza jamaa bado wangekuwa ndani kwa uhaini.
 
Mwarabu fake ametapeliwa na wahuni kishika uchumba!!!

Bandari zetu ni URITHI wetu hazitauzwa, kubinafsishwa Wala kugawiwa Bure Kwa wageni.

Kataa wahuni.
TICTS alikuwepo pale bandari kwa miaka 22, yule alikuwa ni hawara au?. Acheni roho za kibaguzi za kishenzi hizi.
 
Analivurugaje taifa? Kwa hiyo turudi kwenye mfumo wa chama kimoja kwa sababu wananchi wengi walikataa mfumo wa vyama vingi?
Kwa akili zako finyu unaamini ni kweli wananchi wengi waliukataa mfumo wa vyama vingi? Zile zilikua ni HILA na GHILIBA tu za Nyerere, hakukua na ukweli wowote.
 
Aibu imemshika yule Mzee aliyetangulixwa na TEC kunyea debe na uzee wake.

Pili Mimi sio Muislamu ila Huwa nafurahia Uongozi wa Waislamu hawana unafiki Wala sio roho mbaya kama nyie makatili.
Mkuu
Kuna mengine kaa kimya yaani chutama.

Aibu
 
Kwa akili zako finyu unaamini ni kweli wananchi wengi waliukataa mfumo wa vyama vingi? Zile zilikua ni HILA na GHILIBA tu za Nyerere, hakukua na ukweli wowote.
Kwa nini usiamini?

Tena ile tume ilihoji watu alafu huwaamini, wewe hawa maaskofu wamehoji watu wote hadi kusema wengi hawataki?

Nyie watu machizi sana
 
Hawa wanapoteza muda wao, bunge linalowakilisha wananchi moja kwa moja limeshauridhia huo mkataba, mahakama imegonga nyundo na kuuhalalisha kabisa.

Unaposema maoni ya watu yasikilizwe, kuna chombo cha juu chenye kuwakilisha maoni ya wananchi kuliko bunge?.


Ni masuala ya muda tu, yatakaa sawa.
 
Kwa nini usiamini?

Tena ile tume ilihoji watu alafu huwaamini, wewe hawa maaskofu wamehoji watu wote hadi kusema wengi hawataki?

Nyie watu machizi sana
Tume ipi wewe? Unaongelea hizi tume za MFUKONI mwa Rais? Black man wake up.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…