Baada ya Tawi la kanisa (CHADEMA) kushindwa sasa wameamua kujitokeza wenyewe bila aibu kuonesha pingamizi zao ni huonekana sehemu ya mkataba kuwa ina maslai kwa Waislam(Japo wanazunguka waita Waarabu)
Ila ni kawaida yao licha ya MoU walizoingiaga na serikali sambamba na kupokea ruzuku
Shame!! Afu wanapendaga kujifanya watakatifu na kuamasisah upendo
 
Wewe ni mpumbavu wa mwisho km wewe huna uwezo wa kuendesha familia yako usidhani hakuna mwenye uwezo wa kuendesha

Km rais hana uwezo wa kuendesha nchi akae pembeni wenye uwezo wapo wengi tu
Wapumbavu hao jamaa zenu
Kwahiyo walishindwa kujitutumua kama hivi kutoa tamko kuhusu tuhuma za USHOGA ambazo ziligusa KANISA kabisa(Ref Ripoti ya Mwakyembe)
Ila wameweza kujaza maelezo meeengi kuhusu mambo ya mikataba????
Jambo zuri ila uzarendo wao ungeaza ktk kuokoa Kizazi cha sasa na kijacho
 
Umenena vyema
 
Nawakubali sana maaskofu kwa msimamo wo thabiti wa kutetea rasilimali za taifa. Wako tofauti na wenzetu wa BAKWATA waochumiatumbo. BAKWATA siku zote hujikomba kwa CCM kwa sababu Samia ni muislamu mwenzao. Ovyo sana.
 
Tunaomba na BAKWATA watoe tamko kupinga mkataba huu wa kikizamani na wa kibeberu
 
Dr. Slaa, Dr Nshala, Mdude (wote zaidi ya masaa 89 mahabusu kinyume na sheria) Walioandamana juzi kupinga Bandar(Haki yao) Mbowe Miezi 6 Mahabusu (Kesi ya mchongo ikafutwa kwa kukubali Kwenda IKULU). HAWA WOTE WAMEUMIZWA NA AWAMU YA NGAPI?

Mwezi wa nne 2023 maiti zimeokotwa kule Tanga. Vijana watano Dar wamepotea Tangu Novemba 2022, Kuna mfanyabiashara wa madini Kule Mtwara aliuwawa mwaka 2022. Matukio haya yote yametokea awamu ya ngapi?

Mwili wa ASKOFU Boniphace KWANGU uliokotwa ziwani Victoria Novemba 28, 2022 ilikuwa awamu wa ngapi?

June 24, 2023 IGP aliunda Tume kuchunguza kifo cha Mandela Petro Mkoani Simiyu ilikuwa awamu ya ngapi

ENOS MISALABA mkoani Geita aliuwawa na watu March 27, 2023 ilikuwa awamu ya ngapi?

Watu wanne wote BODABODA waliuwawa kwa pamoja na watu wasiojulikana May 26, 2023 katika kijiji cha NYAMIKOMA mkoani Mara ilikuwa awamu ya ngapi?

Ndugai Ndugai Ndugai.

Raisi anasema STUPID wanatukanwa wezi wa awamu ya sita imeisha hiyo.
Rais anasema Kuleni kwa urefu wa kamba zenu kwenye BARAZA LA MAWAZIRI awamu ya sita.

Raisi anasema mkiendelea kuiandama serikali yangu Nitatumia sheria za ndani KU-BAR kwenye mkutano wa mawakili 2022 Arusha awamu ya sita.

Kinachokusumbua wewe ni MAHABA NIUE na CHUKI BINAFISI KWA MTU FLANI

Soma RIPOTI YA MTO MARA , EXCHANGE RATE to stand on 19/08/2023. na BOT USD Reserve as of 15/08/2023. Ukoleze Mahaba yako Kwa mama upate usingizi.
Bure kabisa.
 
ChoiceVariable nilikuambia mambo ya wasiojulikana ukakataa.
Facts hizi hapa
 
Unaijua Roma au unapiga kelele tu
 
Ona ulivyo TAHIRA.


Watu hatupingi uwekezaji.

Tunapinga Mkataba, hao DP W, waje tukae mezani,. Tuje na Win Win business, uwekezaji uendelee.


Pumbavu.
Wewe tukana tu ndio akili zako ziliposishia.
👉Mama Samia ushauri si lazima kuufata uwekezaji muhimu kuufanya hivi karibuni ni kwa manufaa yetu sote waTANZANIA. TEC watake wasitake mama ataruhusu uwekezaji.
 
Mama Abdul chunga sana!
Huo mkataba na DPW ni kaa la moto. Waambie wajomba zako kuwa Wanao "RUN DUNIA" wameu dump into TRASH BIN. So huna budi kuutapika.

Mama una fail wapi? Hivi ni kweli uliusoma ukauelewa huu mkataba au wazee wa mishentown waliku HIPNOTAIZI ukajikuta unakubali tu without reasoning??
 
Ona ulivyo TAHIRA.


Watu hatupingi uwekezaji.

Tunapinga Mkataba, hao DP W, waje tukae mezani,. Tuje na Win Win business, uwekezaji uendelee.


Pumbavu.
Mwanzoni watu walikua wanapinga uwekezaji kwa kivuli cha mkataba ila sasa dhamira kuu inaonekana wazi ukweli usemwe tu kinachopingwa kiuhalisia ni uwekezaji na si mkataba na TEC wamethibitisha hilo leo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…