Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wamesikilizwa na nani?Hao sio size yako mkuu, wamesikilizwa, Pole sana
Waarabu wana historia chafu ndani ya nchi hii. Hata leo ukienda Sudan huko Darfur vikundi vya magaidi vya waarabu vinaendelea kuua waafrika ili kuwawezesha kutengeneza taifa la waislamu/waarabu pekee.
Huu mkataba ufutwe haraka. Hata kwa kulipa gharama sisi watanganyika tumeridhia.
Ndio wanauza bandari na kumbambika watu uhaini?Roma mythology ndiyo inayovunja democracy hapa Tanzania,ndiyo inayotupa marais wa kiroma kila wakati na ambaye siyo mroma anaonekana hafai,
We need to change this attitudes! Quickly as soon as possible!
wewe mwenyewe na ufia dini wako wote umekimbilia kwenda kuishi ughaibuni kwenye taifa linaloruhusu haki za mashog. unadhani hatukujui ndg kahtaan?.Wamesikilizwa na nani?
Serikali ya Tanzania ifanye maamuzi kwa kusikiliza KANISA? Kesho mkipitisha sheria za wanamme kuoana km huko Vatican watanzania tuwasilize tu au !
We si unafahamu kuwa PAPA wa VATICAN karuhusu Ndoa za Jinsia moja?
Sasa leo serikali yetu ikianza kusikiliza Kanisa kweli tutakuwa salama hapa Nchini?
Kwani wao waliposema inchi haitatawalika walikua na maana gani? Uliwahoji?Duh ndio mmfika huku mkuu. Kisa tu waarabu. Mmwage Damu kwa ajili ya Dini😳😳😳😳
Ukristo upi sasa.Kwan nyie akina salama leku mnateseka sana niwambie kitu hii nchi ni ya kikristo na maasikofu ndo wenye sauti ya mwisho kama hamtaki fanyeni mnavojua halafu kama mama hataondoka akiendesha gari bila hata msaidizi
Kwani tatizo kuishi nchi zinazo ruhusu ushoga?wewe mwenyewe na ufia dini wako wote umekimbilia kwenda kuishi ughaibuni kwenye taifa linaloruhusu haki za mashog. unadhani hatukujui ndg kahtaan?.
Ulitakaje mfano.Safi sana, inakuwaje tuuzwe huku tunajiona?
Jinyonge mkuu. Wamekosoa mkataba hawajokosoa uislamu.Baada ya Tawi la kanisa (CHADEMA) kushindwa sasa wameamua kujitokeza wenyewe bila aibu kuonesha pingamizi zao ni huonekana sehemu ya mkataba kuwa ina maslai kwa Waislam(Japo wanazunguka waita Waarabu)
Ila ni kawaida yao licha ya MoU walizoingiaga na serikali sambamba na kupokea ruzuku
Shame!! Afu wanapendaga kujifanya watakatifu na kuamasisah upendo
Unajilisha fikra zako hasi halafu unajifariji. Taabu kwelikweli.Mwanzoni watu walikua wanapinga uwekezaji kwa kivuli cha mkataba ila sasa dhamira kuu inaonekana wazi ukweli usemwe tu kinachopingwa kiuhalisia ni uwekezaji na si mkataba na TEC wamethibitisha hilo leo.
Tamka la TEK limeiokoa mahakama kutoka kwenye kifungo cha ccmUjinga mtupu, yaan Hadi mahakama inashangaaa ,mahakama inakubali madhaifu makubwa ya Mkataba
Alafu lijinga limoja ma wahuni wenzio kisa ni wavaa visuruali vifupi, ndio uone Mkataba uko sawa ?.
Hata hukum ya Mahakama, sote tunajua ni Kwa sababu ya maelezo na kwakufanya Ivo ndo kabisaaaaa imezidisha motoo.
Masheikh hawana kiherehere cha kuingilia kazi za serikali.Vp mashekhe zetu nao wanasemaje uko tunasubilia no tamko lao na Roma tumeskia
Mataifa yote yalioangamia yalianza kupuuza kauli km hizi.Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"
Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.
1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?
2. Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"
3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?
4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?
5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu
Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"
Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.
Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,
Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
Punguza hasiraUsikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu