Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Ndio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.


Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
Mara ya mwisho umetia saini negotiations ni lini? Yaani mnakubaliana na kutia saini kabla hamjamaliza majadiliano na kuafikiana
 
This is all myths and lies.
Wala sina haja ya kuzichambua hata kidogo hizo hoja zako manake ni UONGO MTUPU uliowekwa na wapigaji wa hapa nchini wanaotaka kuendelea kuiba .
Wewe naamini una akili timamu na wala haijitaji kusoma sana kufahamu kuwa hakuna binaadamu mwenye akili timamu akaweka masharti ya namna hio . Akitegemea upande wa pili utakubali.
Hata mtoto mdogo anajua hilo.

Hio kampuni sio kampuni ya ujanja ujanja kama hizo za wachina.
Wachilia mbali kampuni ya uwekezaji We kwa akili yako kuna nchi yyt duniani inaweza kuweka Masharti ya namna hio kisha itegemee kuna kukubaliwa na nchi nyingine yyt duniani ?

Huo ni UONGO na UZUSHI na Hata mwendawazimu anajua kuwa Huo ni UZUSHI.

Kama huja bahatika kuona copy ya makubaliano Msikilize yule Mdosi alichokuwa anaongea na pia kaongeza chumvi nyingi sana lkn hajakufikia wewe.
Hakutaja hata moja ktk hizo point uliotaja hapo kwa namna ulioandika.

Yes kuna masharti magumu wameweka kulinda pesa wanazowekeza.
Usidhani kuna kampuni itawekeza millions of dollars kisha iweke masharti mepesi HASA KWA WAAFRIKA.

Sisi tuna kigeugeu sana na ndio maana nchi zetu tunabaki kusifia zina mali nyingi lkn tutaendelea kufa njaa mpk siku Yesu atakaporudi.

Mimi niwekeze pesa nyingi namna hio kisha mnambie mkataba huu uishe baada ya miaka 10 au 20 kisha mnifukuze? Hizo pesa lini ntazirudisha na faida lini ntapata?

Lzm ntaweka masharti ambayo yatanihakikishia usalama wa pesa ntakazo wekeza . Na hio ni jambo la kawaida kwa muwekezaji wa aina yyt.

Lkn Hicho ulichoandika hapo ni upotoshaji mtupu na ummah wenye weledi wanafahamu.
Sasa endeleeni kupotosha watu lkn Hakuna anaefaidika hapa zaidi ya hayo hayo majizi ya siku zote yanaojiita VIONGOZI WA KUPELEKA WATU MBINGUNI.
Toka uhuru wamekamatwa wezi wangapi? Nini kimeshindikana kuzuia huo wizi?
 
Toka uhuru wamekamatwa wezi wangapi? Nini kimeshindikana kuzuia huo wizi?
Wakati na elimu unabadili jamii sengobad
Leo wazungu wakitaka kuleta ule utumwa wao uliokuwa hapa wataweza?

Nimejaaliwa umri na Mungu wa kuanza kuona Nyerere anaapishwa kuwa Rais
Nimepanga foleni ya kununua Unga wanaokula Farasi ili na sisi tule .
Nimeishi wakati ule nyerere alipiga marufuku maduka yote binafsi akatuwekea maduka ya ushirika ya serikali . Sukari unaruhusiwa kununua robo kilo tu kwa siku na kibiriti cha njiti kimoja
Na tumewekwa Rumande kwa kosa la kunukia sabuni za kenya wakati huo nyerere kagombana na Kenya.
Na nimemwaga mafuta ya kupikia na sukari kwenye mashimo ya choo kuogopa migambo wakati wa uhujumu uchumi wa yule maluuni sokoine .

na mwananchi yyt aliyepinga kelele alikuwa anawekwa jela miaka isio na idadi bila kupitia mahakamani.

Leo vijana wanataka waruhusiwe kuoa wanamme wenzao na wako tayari kumtukana mpk Rais.


Kwahio Jibu lako ni WAKATI umebadilika.
Ule WIZI wa zamani jamii imechoka nao. Na japo bado upo lkn Mapambano pia yataendelea kwa kasi vile vile.
 
Mara ya mwisho umetia saini negotiations ni lini? Yaani mnakubaliana na kutia saini kabla hamjamaliza majadiliano na kuafikiana
Hakuna signature yyt imewekwa mpk leo hii.
Na bado majadiliano yanaendelea .
Kilichoanzishwa ni maandalizi tu ya awali.
Lkn ule mkataba wa kazi yenyewe rasmi bado haujapitishwa .
Na wanaosa sababisha kuchelewesha ni hawa WEZI walio ibia hili taifa kwa miaka isio na Idadi
WALAANIWE MPK MWISHO WA MAISHA YAO.
 
TEC wametoa msimamo wao kwa heshima, kwa maslahi ya watanzania, pia wametoa ombi kwa heshima kuwa Rais asikilize sauti za wanaopinga uwekezaji huu. Kimsingi mama yuko vizuri kwenye maeneo yote, isipokuwa hili la bandari. Lengo lake zuri ila kupoteza bandari ni ngumu kukubaliana nae, chako ni chako hata kama kinamapunufu bora huwe nacho!
 
Wagalatia bana mikataba ya Madini miaka 100 wanachimba wenyeji wanazdi kuwa masikini hawa Maskofu walikuwa wapi?
shida hamsomi, wamesema walisema kuhusu miaka ya 90 ubinafishaji huo ulipofanyika na hawakusikilizwa matokeo yake leo tunapigwa mahakamani za kimataifa za biashara.
 
Ndio maana bado inaitwa Negotiations.
Bado watu wanajadili na hakuna kilicho sainiwa mara ghafla MAPADRI wanakusanyana pamoja na kutoa hitimisho kuwa MKATABA HAUFAI.


Mkataba upi ULIO SAINIWA ambao umesha pitishwa na serikali USIOFAA?
 

Attachments

  • DA0EFD09-65D0-4A5C-874C-4BC4A54FC408.jpeg
    DA0EFD09-65D0-4A5C-874C-4BC4A54FC408.jpeg
    27.3 KB · Views: 1
  • 21BD6F6D-3472-419E-9C41-E8414A0529C5.jpeg
    21BD6F6D-3472-419E-9C41-E8414A0529C5.jpeg
    63 KB · Views: 1
  • 7F939E08-049E-477C-8EDA-706E7D5EAC28.jpeg
    7F939E08-049E-477C-8EDA-706E7D5EAC28.jpeg
    44.1 KB · Views: 1
Correct me if I'm wrong
As far I know this was the first stages of the actual contract which was signed but not the full contract of what we have been discussing here.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Kwa mtu aliyesoma tamko lote, hawezi andika ulichokiandika. Huwezi kuwa hujasoma mkataba, halafu uweze kuunukuu na kutaja vifungu vyenye Matatizo.

POST YAKO INAONYESHA WEWE HUJASOMA TAMKO ZIMA LA MAASKOFU.
 
Hakuna signature yyt imewekwa mpk leo hii.
Na bado majadiliano yanaendelea .
Kilichoanzishwa ni maandalizi tu ya awali.
Lkn ule mkataba wa kazi yenyewe rasmi bado haujapitishwa .
Na wanaosa sababisha kuchelewesha ni hawa WEZI walio ibia hili taifa kwa miaka isio na Idadi
WALAANIWE MPK MWISHO WA MAISHA YAO.
Nina wasiwasi na umri wako. Nahisi umezaliwa jana
 
Kwa mtu aliyesoma tamko lote, hawezi andika ulichokiandika. Huwezi kuwa hujasoma mkataba, halafu uweze kuunukuu na kutaja vifungu vyenye Matatizo.

POST YAKO INAONYESHA WEWE HUJASOMA TAMKO ZIMA LA MAASKOFU.
Kilichopelekwa bungeni na kujadiliwa na wajinga kupiga makofi kukipitisha ni nini?
 
Taja jambo ambalo wananchi walilolipinga awamu ya tano kisha serikali ikaendelea nalo. Ipo wazi serikali ya awamu ya tano iligombana sana na wanasiasa hasa wa upinzani na hii ni kutokana na sababu mbali mbali ikiwemo kupigania maslahi ya nchi dhidi ya uwekezaji mbovu.
 
Back
Top Bottom