Nimeuliza swali nipewe elimu l.

Unaweza kunijibu tafadhali kama hutojali?
πŸ‘‰ Kwa nini hoja ya TEC iwe kuufuta mkataba wote na sio kurekebishwa kwa vifungu?
Madaraka ya serikali yanatoka kwa wananchi, wananchi kama hawataki jambo halina maslahi kwa umma ni kwa nini serikali inang'ang'ania jambo hilo? Nini kimejificha?
 
Kuondolewa kwa TICTS bandarinj ni maumivu makali sana kwa kanisa Katokiki kwa sababu walizoea kupitisha vitu bure kwa sababu ya Karamagi kuwa mmiliki wa TICTS. Alianza Kadinali Pengo kuongea mwanzoni kabisa akashughulikiwa akapumzika lakini sasa TEC wamekuja kama taasisi wanafanya yale yale wanayofanya wanasiasa. TEC mlikuwa wapi wakati wa uchaguzi wa 2020? Hamkuwa na cha kusema kama kweli mnatetea watanzania ?

TEC hawana mamlaka ya kuwasemea watanzania na hawajawahi kuwa wasemaji wa watanzania. Wao ni wasemaji wa waumini wao na wabaki wakisema mamho yao huko makanisani na hakuna mahali waliombwa kuwasemea watanzania.

TEC hawa ndiyo ambao miongozi mwao akina Kilaini walipokea rushwa kutoka pesa walizoibiwa watanzania kwenye sakata la ESCROW. TEC hawa ndiyo waliokuwa wanageuza madhabahu ya makanisa yao kufanya siasa na kujisafisha kwa bwana yule wakati nchi inavuja damu na machozi.

TEC wamelidharau bunge na kuliona halina maana yoyote na hili linapaswa kushughulikiwa na bunge kwa ukali sana ikibidi huyu Katibu wa TEC aitwe kuhojiwa na kamati ya bunge kwa sababu ameacha kazi yake ya upadre sasa anaingia kwenye siasa na upinzani dhidi ya serikali .

TEC wanadhani wao ndiyo wenye hati miliki ya kuongoza hii nchi. Hawakusema uozo wa TICTS wakati wa Mkap na Magufuli kwa kuwa ni wakatoliki wenzao. Hawakuona madudu ya TICTS kwa sababu Karamagi ni mkatoliki mwenzao na zaidi wananufaika na uwepo wa TICTS bandarini kwa kuwa wanapitisha mizigo bure. Ujio wa DO World unakwenda kufunga hii mianya na huu ujinga hautakuwepo tena.

TEC wana mamlaka gani ya kusema mkataba uvunjwe? Au kwa sababu DP World ni waarabu ba waislamu ? TEC waonywe na wambiwe wakome kudhani Tanzania ni nchi ya kidini au kikatoliki. Wakome kudhani wanaweza kulidharau bunge na kama watakata siasa wavue kanzu waache kugawa sakramenti waje majukwaani kufanya siasa.

Katibu wa TEC alikuwa mmoja ya waalikwa kwenye mkutano wa wanasiasa wanaopinga uwekezaji bandarini. Leo anakuja anapanuapanua mdomo kuwa watanzania sijui wamesema hivi mara vile.

Ifike mahaki TEC waambiwe WAKOME hii tabia na kama wanadhani wanaweza kudharau viongozi wa nchi kisa siyo wakatoliki basi wajiandae vizuri sana kwa sababu hiyo vita hawatakaa waishinde na TEC ni wahujumu wa juhudi za serikali kuboresha bandari.

:Nb,Bado tunasubiri matamko toka...!πŸ‘†πŸ‘†
ILI MANENO YA WENGI NI MANENO YA MUNGU YATIMIE.
NAAMINI KATIKA USAWA!
 
Naona TEC wamewavuruga kweli kweli. Ni mwendo wa kuweweseka tu.
 
Kwani mwenye TICTS si mkonae wenyewe?
Hili swali ulishawah kusikia majibu yake?
Your browser is not able to display this video.
 
Mkuu,Kanisa Catholic lina watu wenye akili kuliko unavyoweza kufikiri, ukiona limekaa na kuandaa Waraka kama ule ujue ni watu wenye vichwa vizuri wametumia akili zao na uchunguzi wa kutosha.

Kanisa Catholic haliwezi kujibiwa na watu wajinga wajinga kama wewe na wengine wengi ambao tumeona wakijaribu jaribu kupanua midomo. Mnapoteza muda, na mnaendelea kudhihirisha Upumbavu wenu!
 
Kwa hiyo uongozi wa waisramu ni kugawa tu
Mbona Kikwete hujamtaja, au Ticks imeanza jana?
Kama waisramu kuongoza Tanzania mmeshindwa, waachie wanajua
 
Sasa kwa nini mnahangaika kuwajibu? Mngewapuuza tu kama ni hivyo.
Serekali yetu haitaweza kupoteza muda wake kujibu mambo ya aina hii, ni sisi wafurukutwa wa kitaa tunakula NAO sahani moja,
WELCOME DP WORLD, FAST AND SECURE CORGOS SAFETY,KUTAKUWA HANA MAMBO YA UMEIBIWA CONTROL BOX,MARA RADIO AND SO SO!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…