Dini ya ukweli haiwezi kufunga macho na masikio wakati jamii inayoizunguka inaangamia kwa ajili ya viongozi walikosa uaminifu, uadilifu, uchungu kwebye rasilimali za Taifa.

Ikiwakimya hakuna haja ya kuwa na dini kabisa.
Na ndiyo maana serikali huwaogopa sana viongozi wa dini.Wao hawarembi mwandiko kwenye waraka wa msiba.Ni nyundo bin nyundo tu!
 
Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.

Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?

Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Ungejua ungefuta hii. Mpango, Chongolo, Wambura ni miongoni mwa watakaosomewa huo walaka jumapili tena hata CDF mstaafu Mabeyo yeye ni mwenyekiti wa jumuiya zote za kikatoliki Tanzania naye atasomewa ndio maana TEC wanajiamini
 

Matendo Ya Mitume 7:51

Neno: Bibilia Takatifu​

51 “Ninyi watu wenye shingo ngumu! Wenye mioyo ya kipagani! Mmekuwa viziwi kwa neno la Mungu wala hamchoki kumpinga Roho Mta katifu! Kama walivyofanya baba zetu nanyi leo mnafanya vivyo hivyo.
 
Huu ndio waraka wa kutoka kule kwa elimu ahera?
 
Sheikh acha kuweweseka. Wapita njia wakikuona, watahisi umechanganyikiwa.
 
6 Hapana hata mmoja aliye kama wewe, Ee Bwana; wewe ndiwe uliye mkuu, na jina lako ni kuu katika uweza.
7 Ni nani asiyekucha wewe, Ee mfalme wa mataifa? Maana hii ni sifa yako wewe; kwa kuwa miongoni mwa wenye hekima wote wa mataifa, na katika hali yao ya enzi yote pia, hapana hata mmoja kama wewe.
 
Wabinafishie tako laki wew au mke wako
 
Mimi ni mprotestant.


Acha uongo, TEC hawajasema wanamsemea Kila Mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…