Umeandika Ujinga.

Watu hawapingi Uwezo wa DP world.

Watu wanapinga LIMKATABA, wambieni hao bwana zenu DPW na wake zao walokula hela.

Sisi HATUTAKI limkatabaa Bovuuu la kishenzi namna hii.


Na kwakua hawasikii, Tumeamua Rasimi, BANDARI NI LAZIMA IBAKI MIKONONI MWA WATANZANIA WENYEWE.
 
Eti TEC wanejaa wasoni!!! Wasomi wa kitu gani? Elimu ya dini labda. Elimu dunia ni zero. They know nothing. At least most of them are Form six leavers.
 

Ni nani mhandisi wa hii karakana ya uzushi na uongo?
 
Umeandika Ujinga.

Watu hawapingi Uwezo wa DP world.

Watu wanapinga LIMKATABA, wambieni hao bwana zenu DPW na wake zao walokula hela.

Sisi HATUTAKI limkatabaa Bovuuu la kishenzi namna hii.


Na kwakua hawasikii, Tumeamua Rasimi, BANDARI NI LAZIMA IBAKI MIKONONI MWA WATANZANIA WENYEWE.
 
Mtajiita majina ya kila aina mwaka huu. Mara mimi ni Shemasi Rugambwa, mara mimi ni Mkatoliki!! Inatuhusu ni sisi?

Rekebisheni kwanza kasoro za kwenye huo mkataba ili tuongee lugha moja. Hakuna anayepinga uwekezaji. Ila Wananchi wanapinga kasoro za huo mkataba.
 
Tunazungumzia limkataba libovu la Bandari acha kuchengesha mada😕
 
Hii thread ndo inachochea udini na unazi wa kidini haswaa.

Je TEC walitoa waraka wao kwa msingi wa imani au facts za mkataba.

Mama Samia anaporidhika kuubadili mjadala huu uonekane wa kidini anajua kabisa anaipasua nchi.

Kwa nini wskosoaji wabandikwe majina ya Uhaini, Udini, Usaliti na kadhalika?

CCM imeshajichokea na sasa inaimarisha mlango wake wa kutoka madarakani.
 

Kuukubali mkataba mbovu ni kujifunga, utumwa mbaya zaidi wa kujitakia kwa vizazi vyetu vingi vijavyo, wazalendo, wenye uchungu na nchi na rasilimali zake muhimu wapaze sauti.

Ikibidi wajenge magereza kutufunga Watanzania milioni 55 tunaopinga vigezo, vipengele vya huu mkataba.
 
Kama hujui hiyo ni Cartel kama Cartels nyinginezo tu huko duniani. Ndo mana walikula hela zako za escrow na hawakutoa tamko pamoja na kelele za wstu wengi na wala hawakusema kuwa sauti ya wengi ni sauti ya Mungu
 
Kanisa limeongea ni Mungu ameongea JUMA JUMA, funga bakuli lako.View attachment 2722321
HIlo kanisa la wazinzi ni la kwako, makanisa ni mengi tuliyo nayo, wao wako kwenye katiba ipi. Hilo ni kundi la wahuni wapigaji. Hivi wanafikiri wana upukee kuliko makanisa mengine? Wamepitwa na wakati hao washenzi, ni watu wabaguzi waliangamiza roho za warundi na warwanda, mashetani hayo
 
Reactions: Tui
Eti TEC wanejaa wasoni!!! Wasomi wa kitu gani? Elimu ya dini labda. Elimu dunia ni zero. They know nothing. At least most of them are Form six leavers.
Noana sasa umedhihirisha uongo wako! Mkatoliki halali hawezi kutumia lugha ya kitoto kama hii kwa Maaskofu wake. Wewe ni wale wale tu wapewa misaada ya tende wakati wa mfungo.

Hapo ulipo inawezekana hata kitu kinachoitwa Falsafa hukijui! Teolojia hujawahi hata kuisikia! Zaidi unafahamu kuhusu elimu ya majini tu.
 
Tuwekee na waraka wa TEC kusema sauti ya watu ni sauti ya Mungu kwenye pesa za escrow ambazo walizila na wakapiga kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…