Akili yako ni kibaba jombaa.., wew hapo ulipo unajuwa nin cha zamani kuhusu Nchi hii.
 
Mimi ni mkatoliki lakini kuna ushawishi mbaya sana miongoni mwa maaskofu wetu haswa tangu awamu ya sita iingie pale ikulu.

Watambue tu kwamba serikali ilikuwa na uwezo wa kuupitisha mchakato huu bila ya kuhitaji maoni ya mtu yoyote na hakuna ambaye angesema chochote lakini ni uungwana wa rais SSH anayeamini sana kwenye demokrasia ndio umewapa haki maaskofu kuja na waraka huu.

Huyo Kitina hakwepi lawama hata kidogo, alidhibitiwa na hayati JPM na hakufurukuta, asidhani SSH na upole wake ndio anakubaliana na kila masharti ya viongozi wa taasisi za kidini.
 
Kama wewe ndio unaandika mavi,onyesha huo ubaya/ubovu wa mkataba
 
KAFIRI unateseka sana
 
Umezaliwa mwaka 2015 nini?

Hao Maaskofu walipiga pesa za umma za escrow alafu watu waliongea sana ila hawakuwahigi kutoa waraka kulaani tukio hilo na wala hawakusema sauti ya watu ni sauti ya Mungu
Jibu swali acha umbumbumbu. Kama nimezaliwa 2015 nitakuwa naweza kutumia Computer kwa sasa?
Vipi Escrow ni nini? Nani aliianzisha?
 
Jibu swali acha umbumbumbu. Kama nimezaliwa 2015 nitakuwa naweza kutumia Computer kwa sasa?
Vipi Escrow ni nini? Nani aliianzisha?
Haya nakusaidia
Nenda sehemu ya search ya hapa JF andika neno escrow. Zitakuja nyuzi mbalimbali za kipindi hicho. Jisomee ujipe ufahamu.

Usisumbue watu hapa
 
Wazungu walituletea ukristo tofauti na ule ulioko kwao. Shida namba moja ya nchi hii ni ukatoliki ambao umejiwekea mfumo ati wao wako juu ya kila kitu. Tamko la wahuni tu lile
 
...Leo Waislamu tumeshindwa kusema, tumewaachia wakristo waseme Peke yao? Hii ni Imani dhaifu....!!
Andiko refu kweli asante Kwa kuchukua Muda wako lakini Acha uongo.
Nikukumbushe Jambo moja tu. Walioanza kutoa Waraka kuhusu Bandari si wakristo ni Waislamu. Baada ya kemeo zuri Sana mnalojaribu kupotosha la Mheshimiwa Mbowe kwamba Rais Samia angalia mkataba umesainiwa na Waziri Kwa idhini yako ya maandishi na Kwa ushauri wa Katibu wa wizara ninyi wote mkiwa Wazanzibar, tafsiri rahisi itakuwa mmeuza bandari za Tanganyika maana za kwenu Zanzibar hazimo, ghafla Shura ya Maimamu ikaibuka na tamko. Au hukuliona tukuwekee?
 
Haya mambo yako very complex. Humohumo kuna waumini wakatoliki walioshiriki kuupitisha na kuutetea sasa leo wanasomewa waraka kutoka kwa watu wanaoungama kwao!!!
Maaskofu wanaingiza siasa kanisani, hili ni suala la hatari sana na sidhani kama busara yao imeweza kuona mbali zaidi.

Sidhani kama JPM wangeweza kumfanyia huu ujinga wa kusoma waraka makanisani, na sidhani kama wamejiandaa kwa majibu watakayokuja nayo mashekhe watakapoamua kutokaa kimya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…