Au unataka tena nianze kukuita Shetwani ndio ujibu swali?
Je, walipatiwa hizo fedha za escrow wahusika?
Ulitaka maana ya neno escrow umepewa. Sasa unataka kuambiwa sakata zima hapa?

Sasa kukusaidia ndo nakuelekeza go to post 23 na fuata maelekezo. Utapata sakata lote la escrow maana JF ni kisima
 
Baada ya kupewa jibu umehamisha goli tena?

Nataka kukuthibitishia tu mimi sio hao wajjnga unaodhani ni wajinga. Ni vile tu hatutumii actual id zetu humu. Mimi ni kipanga kweli. Ukoo wenu wote mnaweza msinifikie
Wewe utakuwa kibanga na si kipanga.
 
Mungu yupi huyo? baba, Mama, Mwana au Roho?

Mmechelewa jamvini, karamu imeshaliwa.

Hivi mnangoja mkataba wa kibiashara uanikwe kama IGA?

Hakuna biashara ya Kimataifa duniani ikaendeshwa hivyo.
Mungu wa kweli. Jina lake anaitwa JEHOVA.
Wa kwenu anitwa nani? au hana jina?
 
Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au ndiyo macho mnayo llakini hayaoni?
 
Ulitaka maana ya neno escrow umepewa. Sasa unataka kuambiwa sakata zima hapa?

Sasa kukusaidia ndo nakuelekeza go to post 23 na fuata maelekezo. Utapata sakata lote la escrow maana JF ni kisima
Jibu swali. Je, wahusika walipata pesa zao?
A. Ndio
B. Hapana
C. Sijui
 
Matapeli ni matapeli tu !
 
Sijasomaa ilaa Kusema Mbona swissport wanaendesha Uwanja wa Dar kujustify waarabu wapewe bandari ni Unaziii...!!
 
Mjumbe wa kamati ya kitongoji anajiita mwanasheria! Kibaka huyo.
Nakwambiaje. Mimi ni mwanasheria nguli na hapa nimekuja China kuonana na wateja wangu ambao ni Kampuni ya wachina iliyowekeza Tanzania hapo.

Kama nalipiwa hadi Ticket ya ndege kuja huku jua tu mimi sio mwenzako.


Vumilia tu! Wengine tumebarikiwa zaidi!!
 
Yohana 17:3 Na uzima wa milele ndio huu, Wakujue wewe, Mungu wa pekee wa kweli, na Yesu Kristo uliyemtuma.

Hivi huwa hamuelewi mnachokisoma au ndiyo macho mnayo llakini hayaoni?
Biblia haisomwi kama Msahafu bibi.
Soma sura yote.

22 Nami utukufu ule ulionipa nimewapa wao; ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja. 23 Mimi ndani yao, nawe ndani yangu, ili wawe wamekamilika katika umoja; ili ulimwengu ujue ya kuwa ndiwe uliyenituma, ukawapenda wao kama ulivyonipenda mimi.
 
Hapa umetetea mkataba wa DP World au umetetea uislamu? Nani anawadanganya waisilamu au wakristo kuwa kizazi hiki kinaamini sana kwenye hizi dini zenu? Kwa sasa dini ya kweli ni pesa, hizo dini zenu ziko kimazoea zaidi, ndio maana kizazi hiki hakifuati sana mafundisho ya dini, bali kinaamini kwenye digital.

Ni hivi, mkataba wa bandari haufai, hao TEC wamesema waziwazi kuwa mkataba huo haufai, kama unaona kwa kusema hivyo wanauoinga uislamu huo ni mtazamo wako.
 
Umelipiwa tiketi ya tatumzuka.Iangalie vizuri.
 
Matapeli ni matapeli tu !
Chambua hoja kwa hoja... !! Kila mtu anajua kuwa matapeli ni matapeli tu, je! Rugemalira kwa hoja nilizokuwekea, bado unamuweka kwenye kundi la matapeli? Kama jibu ni ndiyo, weka hoja za kuhalalisha jibu lako. Binafsi nimekuwekea hoja za jibu langu, kwamba yeye siyo tapeli..!! Nje ya hapo ni blah blah za kulishwa maneno tu na kuacha kutumia akili yako vizuri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…