YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO
Hata kwa huu upuuzi???Unahisi kichwa chako umepewa kubebea masikio pekee??? Kazi kuu ya kichwa ni kufikiri!!!!!!! Kwa kutumia akili yako unahisi Mungu ana dini?????

Kuhusu mkataba wa bandari ni kutumia akili ya kawaida kuwa "waliomiliki ugali wanapambana wasinyang'anywe ugali wao"!!!!! Maslahi!!!!!!!!!!!!


'We are all children of God': Pope says homosexuality not a ...


25 Jan 2023 — In an interview with the AP, Pope Francis calls on bishops to welcome the LGBTQ community.

Breaking News, World News and Video from Al Jazeera › news › homosexuality-no
...



Bishop of Oxford says church should marry gay couples


3 Nov 2022Bishop of Oxford says church should marry gay couples ... Mpho Tutu van Furth is an Anglican priest in the Diocese of Washington DC.

BBC - Homepage › news › uk-england-oxfordshir...
 
Rudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?
Biblia haisomwi kama Kitabu cha Madrasa bibi yangu. Wewe jikite kusoma masahafu. Huku kuna kanuni za usomaji wa Bible. Ukiwa umejaa majini kwenye kichwa biblia huwezi kuisoma. Labda tukuombee mapepo ya arabuni yakutoke.

Yohana 14:9​

Neno: Bibilia Takatifu​

9 Yesu akamjibu, “Filipo, imekuwaje hunifahamu baada ya mimi kuwa pamoja nanyi muda wote huu? Mtu ye yote ambaye ameniona mimi, amemwona Baba. Sasa inakuwaje unasema, ‘Tuonyeshe Baba’?
 
Hawa jamaa wameharibiwa na baadhi ya viongozi wao wanaodhalilisha vijana wa kiume kinyume na maumbile kwenye maeneo yao ya ibada na sera zao za kukubali ushoga.

Wanapoteza credibility. Hawana nguvu ile waliyokua nayo (moral authority) ya kuwakosoa wengine au kudai uzalendo.
 
Tatizo nyie vijana wa madrasa hamsomi.
Homosexuality is a sin but not a crime
Soma vizuri taarifa usikurupuke
 
Ungejua ungefuta hii. Mpango, Chongolo, Wambura ni miongoni mwa watakaosomewa huo walaka jumapili tena hata CDF mstaafu Mabeyo yeye ni mwenyekiti wa jumuiya zote za kikatoliki Tanzania naye atasomewa ndio maana TEC wanajiamini
Asisahau pia hivi karibuni aliambatana na Maaskofu wa Tanzania kule Vatican! Aijue nafasi ya Mabeyo katika kanisa kabla wakati na baada ya Kuwa CDF. wajinga hawajifunzi
 
Unamwambia biblia haisomwi kama vitabu vya madrasa wakati huo huo unamwambia asome YOHANA sura ya kwanza!

Una uhakika gani akiisoma atoisoma kama vitabu vya madrasa na mwisho wa siku kushindwa kuupata ujumbe uliokusudiwa?

Acheni ujanja ujanja nyie matapeli wa kigalatia biblia inasomwa kama vitabu vingine vinavyosomwa.

Kama yesu mwenyewe anasema nimetumwa simply ametumwa na haitabadilika.
 



Kama hawana uwezo si zije nyingine zenye uwezo zilizopo uvunguni, wakatolic wasingekuwa na Miradi Tanzania wewe usingekuwa unajua kusoma na kuandika.
 
Rudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?
Bibi umekimbia nataka nami nianze kukuuliza kuhusu Quran
Naomba ujibu swali hili

 
Ukiwambia toa majibu/ufafanuzi wa hivyo vipengele vinavyolalamikiwa utasikia mtu eeh! Nyie mnachukia uislam, ujinga mtupu.
 
Kwahiyo wewe Idd umekuja kumuwakilisha bibi yako?
Wewe ni answali Suni, Shia au Bakwata?
 
TEC mimi kama Mroma sijawaelewa kabisa.Ila ni kama wana nguvu,wakimwaga sumu huko kwenye vigango waumini wanawaunga mkono!
 
Jibu swali acha umbumbumbu. Kama nimezaliwa 2015 nitakuwa naweza kutumia Computer kwa sasa?
Vipi Escrow ni nini? Nani aliianzisha?
Are you serious eti hujui kwamba Maaskofu walilamba hela za escrow kupitia benki ya kanisa!
 
Kanisa usimama na wananchi, wanasiasa kikinuka wanawahi kupanda ndege ulaya, kanisa ndio ubakia na kuhangaika na wakimbizi.
 
Kwahiyo wewe Idd umekuja kumuwakilisha bibi yako?
Wewe ni answali Suni, Shia au Bakwata?
Binti jibu hoja acha kuropokaropoka hovyo.

Unapomwbia mtu biblia haisomwi kama vitabu vya madrasa na wakati huo huo unamuwekea mistali yako asome unafkiri ataelewaje ujumbe wake?

Ungekuwa na akili timamu ulitakiwa kwanza umfundishe jinsi ya kusoma na kuilewa biblia kisha ndo umpe vi mistali vyako mbuzi asome.

Sawa binti?

Nje ya mada,hivi binti ushaolewa au bado?
 
"Jambo la kushangaza ni kuwa mpaka sasa hakuna hata msemaji mmoja, awe mwanasiasa au kiongozi wa Kanisa aliyetoa hoja za kiuchumi na utendaji za kupinga makubaliano hayo."


Kama unaaamini hiki ulichoandika basi andiko lako lote lina nia ya kupotosha.Hoja za TLS,SHIVJI na NSHALA hazina uzito kwako.Hawa ni wataalamu wa sheria lakini kwa makusudi mmeamua kufumbia macho hoja zao.Badala yake mnatafuta unafuu kwa kutumia propaganda za kijinga kupitia wajinga kama kitenge na zembwela.


Jambo lolote la heri huenda kwa mashauriano.Kwa sababu mmeamua kuziba masikio inatuaminisha kuwa Kuna nia ovu nyuma ya mkataba huu.
 
YESU NI MUNGU
Yaani we ndo kiazi kweli kweli.
Yesu ndo Mungu wako!
Mungu anakamatwa na watu wanampiga mpk wanamsulubu!

Mungu Yesu si alizaliwa na binadamu? Huyo ndo Mungu wako!

Mungu Yesu mwenye ukoo, huyo ndo Mungu kweli!

Mungu aliyeshindwa kujitetea msalabani akalia kuomba msaada ndo huyo!

Huna akili wewe!!
 
Waraka umesomwa kanisani kwa waumini wao, kama wewe sio wao subiri nawe tamko la viongozi wako... hii kukaza fuvu na kushadadia ya jirani ni upumbavu wako tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…