FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
Rudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?Kwahiyo unahama tena?
Nimekuuliza kwanini YESU ALISULUBIWA?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?Kwahiyo unahama tena?
Nimekuuliza kwanini YESU ALISULUBIWA?
Hata kwa huu upuuzi???Unahisi kichwa chako umepewa kubebea masikio pekee??? Kazi kuu ya kichwa ni kufikiri!!!!!!! Kwa kutumia akili yako unahisi Mungu ana dini?????YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO
Biblia haisomwi kama Kitabu cha Madrasa bibi yangu. Wewe jikite kusoma masahafu. Huku kuna kanuni za usomaji wa Bible. Ukiwa umejaa majini kwenye kichwa biblia huwezi kuisoma. Labda tukuombee mapepo ya arabuni yakutoke.Rudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?
Tatizo nyie vijana wa madrasa hamsomi.Hata kwa huu upuuzi???Unahisi kichwa chako umepewa kubebea masikio pekee??? Kazi kuu ya kichwa ni kufikiri!!!!!!! Kwa kutumia akili yako unahisi Mungu ana dini?????
Kuhusu mkataba wa bandari ni kutumia akili ya kawaida kuwa "waliomiliki ugali wanapambana wasinyang'anywe ugali wao"!!!!! Maslahi!!!!!!!!!!!!
'We are all children of God': Pope says homosexuality not a ...
25 Jan 2023 — In an interview with the AP, Pope Francis calls on bishops to welcome the LGBTQ community.
Breaking News, World News and Video from Al Jazeera › news › homosexuality-no...
Bishop of Oxford says church should marry gay couples
3 Nov 2022 — Bishop of Oxford says church should marry gay couples ... Mpho Tutu van Furth is an Anglican priest in the Diocese of Washington DC.
BBC - Homepage › news › uk-england-oxfordshir...
Asisahau pia hivi karibuni aliambatana na Maaskofu wa Tanzania kule Vatican! Aijue nafasi ya Mabeyo katika kanisa kabla wakati na baada ya Kuwa CDF. wajinga hawajifunziUngejua ungefuta hii. Mpango, Chongolo, Wambura ni miongoni mwa watakaosomewa huo walaka jumapili tena hata CDF mstaafu Mabeyo yeye ni mwenyekiti wa jumuiya zote za kikatoliki Tanzania naye atasomewa ndio maana TEC wanajiamini
Unamwambia biblia haisomwi kama vitabu vya madrasa wakati huo huo unamwambia asome YOHANA sura ya kwanza!Usirudie tena kuja na elimu yako ya madrasa kuanza kulipinga neno la Mwenyezi Mungu.
Biblia haisomwi kama unavyosoma vitabu vya madrasa. Biblia ni NENO LA MUNGU lenye uvuvio wa kiroho.
Soma YOHANA Sura ya Kwanza
1 Hapo mwanzo kulikuwako Neno, naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
2 Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
3 Vyote vilifanyika kwa huyo; wala pasipo yeye hakikufanyika chochote kilichofanyika.
4 Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu.
5 Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza.
Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Bibi umekimbia nataka nami nianze kukuuliza kuhusu QuranRudi post za nyuma useme jina la Mungu ni nani? Unakimbia?
Ukiwambia toa majibu/ufafanuzi wa hivyo vipengele vinavyolalamikiwa utasikia mtu eeh! Nyie mnachukia uislam, ujinga mtupu.Hapo ndio Huwa mnajichanganya nyie wasomi wa Kiislamu. Sina mashaka hata kidogo kuwa wewe umesoma, lakini dini Bado ina ku drag mad! Umezungumza mambo mengi lakini unakosa tools of analysis.kwanini? Unachanganya hoja.
Kwanza hakuna mtu hata mmoja anaye kataa uwekezaji !
Pili, aliyeikataa Do world, wote wanakataa vipengele vilivyomo kwenye Mkataba.
Sasa kama DP World ni waislamu au Methodist mnajua nyie.
Sisi watanganyika hatutaki kuchukua mayai yote kwenye kikapu kimoja.
Bandari zote za baharini na kwenye maziwa yote apewe mtu mmoja!!! Hiyo akili?? Au matope?
Kwahiyo wewe Idd umekuja kumuwakilisha bibi yako?Unamwambia biblia haisomwi kama vitabu vya madrasa wakati huo huo unamwambia asome YOHANA sura ya kwanza!
Una uhakika gani akiisoma atoisoma kama vitabu vya madrasa na mwisho wa siku kushindwa kuupata ujumbe uliokusudiwa?
Acheni ujanja ujanja nyie matapeli wa kigalatia biblia inasomwa kama vitabu vingine vinavyosomwa.
Kama yesu mwenyewe anasema nimetumwa simply ametumwa na haitabadilika.
Are you serious eti hujui kwamba Maaskofu walilamba hela za escrow kupitia benki ya kanisa!Jibu swali acha umbumbumbu. Kama nimezaliwa 2015 nitakuwa naweza kutumia Computer kwa sasa?
Vipi Escrow ni nini? Nani aliianzisha?
Mwenzako nimemuuliza Escrow ni nini? Nakuuliza na wewe escrow ni nini?Are you serious eti hujui kwamba Maaskofu walilamba hela za escrow kupitia benki ya kanisa!
Binti jibu hoja acha kuropokaropoka hovyo.Kwahiyo wewe Idd umekuja kumuwakilisha bibi yako?
Wewe ni answali Suni, Shia au Bakwata?
Twende taratibu, tutaelewana tu!!!!!!!!!!!!!!! Umeelewa nini hapa?????Homosexuality is a sin but not a crime
Soma vizuri taarifa usikurupuke
Yaani we ndo kiazi kweli kweli.YESU NI MUNGU