Mzee nimekuambia kanisani hatuongelei jinai. Kanisani tunahubiri watu waache dhambi.
Hizo habari za jinai peleka mahakamani.

Usilazimishe akili yako dogo iwe kubwa.
 
Tangia muda mrefu, duniani kote, mfumo kristu ni chanzo Cha unyinyaji kwa watu wa chini kabisa, Tazama England ya zamani namna kanisa lilivyokataliwa hasa kanisa Katoliki, Tazama hata Marekani, China, Russia na nchi nyingine za ulimwengu wa kwanza ulivyoliona hili na hatua walizokazichukua, wamedhibitiwa vilivyo kabisa, papa amekuwa muamrisha kondom na ndoa za jinsia Moja wa Amerika na waitifaki wake. Fanya utafiti juu ya shughuli za uchumi wanazofanya watawa na namna wanapata ujira wao ni unyonyaji mtupu.
 
Wameumia sana kubaniwa wizi wao pale bandarini
Kupitisha na V8 na kusema ni ya kanisani huku wakiwapa mahawara zao

Wanajisifu kwa PhD na kutukana wengine ila sisi sio wizi kama wao
Escrow walipewa hela na wakazipokea bila aibu
Maaskofu ni makanjanja na huyo mama tibai ni mmoja wa wanufaika wa bandari

Hawa ndio walikuwa wanahujumu machine zote za bandari ili wasi trace mizigo yao

Ule wizi wa mafuta walio divert kutoka bandarini mpaka kwenye nyumba walioweka pipes za kuiba mafuta
Magufuli aliyakamata ila alinyamazishwa mdomo hakusema tena ni ya nani lakini yalikuwa ya hawa hawa wanaolia leo ooh mkataba mkataba

Semeni tu mirija inakatwa labda mtaachiwa muendeleze ujambazi wenu
Kila leo kujisifia mmesoma ila masomo yenu ni ya kutafuta mbinu za kuiba tu

Hizo hospitals hamtoi huduma bure
Kweli mmepewa za uso ila watu wapo kimya

Nchi yetu Tanzania
 
Unaandika vitu vingi bila hata context
 
Huyo Pasco ni mchumia tumbo anayeenda na upepo ingawaje mara zote teuzi huwa zinamkwepa.
 
Umezaliwa mwaka 2015 nini?

Hao Maaskofu walipiga pesa za umma za escrow alafu watu waliongea sana ila hawakuwahigi kutoa waraka kulaani tukio hilo na wala hawakusema sauti ya watu ni sauti ya Mungu
Sirikari ilikuwa imelala?
 
Toa ujinga wako
 
Ulitakiwa kusoma mkataba na waraka wa TEC ndiyo upange hoja yako yako. You did neither.
 
Hawezi kuwa na haki miliki hiyo.DPW anakwenda kumiliki eneo la asilimia nane tu ya bandari nzima ya Tanzania.

Mnalishwa matango pori na nyinyi mnayatafuna mazima mazima bila hata ya kuumiza vichwa vyenu.
8% ya Bandari nzima za Tanzania sawa eneo kiasi gani? And why all that? Bandari zote za Tanzania? Na bado mnatetea? Kwanini asichukue hata Bandari moja ya DSM peke yake?
 
Ninashauri viongozi wote wa serikali waliohusika kufanikisha na wanaotetea mkataba huu wa kinyonyaji kwenye taifa la Mungu,watengwe na kanisa hadi watakapotubu dhambi zao.
 
TEC wametimiza wajibu wao. "But you delight in sincerity of heart, and in secret you teach me wisdom" (Pslam 51: 6). Angalau ujumbe wao umefika kwa walengwa na walengwa walikuwa waumini wao na watu wote wenye mapenzi mema. Kama wewe huna mapenzi mema ina maana hukuwa mlengwa wa waraka wa TEC na uko "off-point".
 
8% ya Bandari nzima za Tanzania sawa eneo kiasi gani? And why all that? Bandari zote za Tanzania? Na bado mnatetea? Kwanini asichukue hata Bandari moja ya DSM peke yake?
Ni mageti machache ya TPA ukumbuke kuwa kuna mwekezaji mwingine hapo hapo bandarini anayekwenda kupewa eneo la kuwekeza.
 
Haya rekebisha sasa ule uongo wako pale juu wa kujitambulisha kama mkristo Mkatoliki ili twende sawa.
Mhu! Sijui hata kama ulishawahi kusoma theology na philosophy na ukajua maana yake. Kwa haya uliyoandika inaonekana reasoning yako ni shida kabisa!
 
Nani kasema nimeshindwa kujibu? Hata unaelewa mantiki yangu hapa?

Nani analeta propaganda humu? Kama wewe ndo mwana propaganda mimi sio mtu wa propaganda. Mimi ni mtu wa facts
kama nimtu wa fact toa jibu sio kulukaluka unalazimisha mtu aserch wakati suala umelianzisha wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…