rodrick alexander
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 16,784
- 23,312
kama taasisi ya urais inasaini mkataba mbovu nani alaumiwe?Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.
Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Labda mwanasheria wabaraza lakataNdo unavojiqminisha? Ninavyosema mwanasheria nguli namaanisha mwanasheria nguli kweli.
Vyuo vvyote nilivyosoma ndani na nje ya Tz nimefaulu tena kwa viwango vya juu kabisa
Hata machoko wanalipiwa Bwashee!Nakwambiaje. Mimi ni mwanasheria nguli na hapa nimekuja China kuonana na wateja wangu ambao ni Kampuni ya wachina iliyowekeza Tanzania hapo.
Kama nalipiwa hadi Ticket ya ndege kuja huku jua tu mimi sio mwenzako.
Vumilia tu! Wengine tumebarikiwa zaidi!!
Hujaelewa hata swali. Nadhani uwezo wako ni duni sana.Haya nakusaidia
Nenda sehemu ya search ya hapa JF andika neno escrow. Zitakuja nyuzi mbalimbali za kipindi hicho. Jisomee ujipe ufahamu.
Usisumbue watu hapa
Unakapoitwa mwanasheria nguli, kwa utopolo unaouweka humu, labda maana ya neno nguli litakuwa limebadilika maana na kuwa mtu mbabaishaji.Sio Mwanasheria tu. Mwanasheria nguli na makini. Kaa nalo hilo kichwani lako
Mwanasheria nguli unashindwa kuandika hata kwa Kiswahili:Umeona ulivyo mjinga? Kwanza sema umelizika na jibu la mwanasheria nguli?
Acha ujinga wewe dunia iongozwe na watu wanaofira watoto wadogo makanisani . Mbona mnapenda kujidhalilisha namna hii?Siku utakapogundua kuwa "Vatican " ndiyo inayoongoza dunia utashangaa.
Nadhani wametumia haki yao ya kutoa maoni kama wananchi wengine. Wao wamesimamia wanachokiamini.Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Mpumbavu Ni wewe mkuu.Hakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Na nyie toeni tamko. It's all about democracy bro. Hapana kupanic. Wewe hutaki mkataba ukiwa chumbani inasaidia Nini? Wenzako hawataki na wamekuja hadharani hii inasaidia taifaHakuna anaebisha kuwa mkataba wa DP World na Tanzania ni mbovu.
Wanaharakati wameweka bayana na sisi tusio wanasheria tumeelewa. Hilo ni jambo jema.
Shida inakuja pale Taasisi moja ya dini inajiona yenyewe ndio inaweza kuamua na kusemea taasisi zingine. That's stupidity!
Tanzania ni ya wote Christians, Muslims, Jews, Buddhists na hata wasio na dini rasmi za kigeni.
Iweje Taasisi moja idai yenyewe ndio ina mizizi kwenye kila kaya. Kwa hiyo mnatutisha sisi protestants na Waislamu eeh?
Mbona mnamwandama sana Rais na serikali, angekuwa ni muumini wenu mngefanya hivyo?
We are no longer under the yoke of Papacy regime.
Waprotestant tupo wengi tunaweza jisemea. Naomba mkae kwa kutulia.
Mkataba hatuutaki na utumwa wa kidini hatuutaki pia. Nimemaliza.
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app
Wanatetea maslahi ya Taifa wanasema wanawakilisha maoni ya walalahoi, wananchi wa kawaida sababu wanajichanganya na hawa wananchi kila siku tofauti na Rais/serikali ambayo haitaki, haijali, haisikilizi maoni ya wananchi wengi.
Waislamu, Waprotestanti, Wapentokosti, wasio na dini wafanye hivi hivi tupate mkataba mzuri tunusuru vizazi vyetu na pesa zetu.
Jibu basi, umeulizw Escrow ni nn unapuyanga!!Sio Mwanasheria tu. Mwanasheria nguli na makini. Kaa nalo hilo kichwani lako
Kuna jamaa mmoja anaitwa Pascal Mayalla ameleta uzi wake na akaupachika kwa jina Mpeni Mungu yaliyo ya Kimungu na Kaisari yaliyo ya Kaisari! Hiki kinachofanywa na Baraza la Maaskofu Katoliki, sio kuchanganya dini na siasa?
Huyu kijana akajinasibu kuwa yeye ni mkatoliki. Kwanza nataka nimwambie tu ukatoliki haupo katia kujitambulisha bali upo katika kufanya kwa vitendo.
Nipo hapa kuujibu uzi wake aliouleta kwa mbwembwe nyingi akitumia andiko moja na akashindwa kuelewa context ya hilo andiko.
Andiko linalosema ya kaisari mpatie kaisari na ya Mungu mpatieni Mungu ni suala la kulipa Kodi na wala siyo issue ya Bandari.
Sasa nitaanza kama ifuatavyo:-
Zab 24:1
Nchi na vyote viijazavyo ni mali ya BWANA, Dunia na wote wakaao ndani yake.
Biblia inatueleza kuwa kila kitu kilichopo duniani ni mali ya Bwana. Kama tunaongelea Vitu vya Mungu TEC wamefanya Utume wa kusimamia Mali za BWana.
Zab 11:3
Kama misingi ikiharibika, Mwenye haki atafanya nini?
Hapa ndipo kwenye akili na Hekima TEC ni watumishi wa Bwana wa Majeshi. Maana yake Mungu wetu ni Mungu mwenye haki na ni Mungu wa vita. Kwa hiyo Misingi ikiharibika mwenye haki lazima achukue hatua na kutimiza wajibu wake.
Mithali 3:19
Kwa hekima BWANA aliiweka misingi ya nchi; Kwa akili zake akazifanya mbingu imara.
Kwahiyo Kazi waliyoifanya TEC ni kazi ya Bwana.
YEYOTE ANAYETAKA KUWAPINGA WATUMISHI WA BWANA HAKIKA NI MPINGA KRISTO
Kwani wakati wanasaini mkataba hawakuusoma au walinogewa alikasusu huku wamefumbwa macho na bahasha ya khaki.Mkataba ni mbovu ila haifanyi taasisi ya Urais ivunjiwe heshima.
Sasa wanapodai wana mizizi kila kaya wanamtishia nani sasa?
Sent from my SM-A037F using JamiiForums mobile app