Wasomi ndo wanasema sauti ya watu ni sauti ya Mungu kwenye jambo wasilolipenda ila mbona kwenye vyama vingi watu walipokataa hawakusema kuwa sauti ya watu ni sauti ya Mungu?
 
Mimi sio tu ni mkatoliki bali ni mmojawapo wa wanachama wa ushirika wa moyo mtakatifu wa Yesu.

Kuhusiana na mkataba hao maaskofu walielimishwa kwa kina siku walipokutana na wanasheria wa serikali, na wametumia demokrasia yao kukubali au kukataa, ni haki yao ya msingi.
 
Kwa nini wasihojiwe? Wao kina nani? Waliokula fedha za escrow hawakuwepo hawa kwani?
 
hicho walichokiongea ndicho kilichomo mioyoni mwa wananchi, wabunge wameshindwa kuwasemea wananchi, tec wametusemea. Mungu awabariki sana hawa jamaa. wabunge wajitathimini sasa, wanamwakilisha nani.
 
Kupingwa na kila kundi kunategemea na uelewa wetu wa jumla na namna tunavyoelimishwa.

Wajuzi wa sheria wameuelezea huo mkataba kila kipengele chake kina maana gani.
Kwahiyo Wajuzi wa sheria Wako ,wamekuambiaje ??.


Kwamba Hata hukumu ya Mahakama, ilipoweka bayana madhaifu makubwa ya Mkataba, na Bado mahakama yenyewe ikashangaa.

Weweee bado Kichwa yako haielewi??.


Ficha maujinga yako
 
kitu kimoja hauelewi ni kwamba, mtu hadi awe padri au askofu ni amesoma sana. humo kwenye tec kuna wanasheria, wanauchumi na kila aina ya wasomi. wao hawazoi zoi tu mtu maadamu anajua kuongea, wamesoma hao.
 
Labda akiwaona walivyovaa yale mavazi yao ya Misa anaona wanachojua ni Biblia tu. Sijui analichukuliaje Kanisa.
Kwani wana kipi cha kipekee? Walioshtakiwa Rwanda kwa kuhamasisha mauaji ya kimbali si hawa hawa? Waliokula fedha za escrow si hawa hawa?
 
kitu kimoja hauelewi ni kwamba, mtu hadi awe padri au askofu ni amesoma sana. humo kwenye tec kuna wanasheria, wanauchumi na kila aina ya wasomi. wao hawazoi zoi tu mtu maadamu anajua kuongea, wamesoma hao.
Huko kusoma sana ndo kuliwafanya wahamasishe mauaji ya kimbari Rwanda na kula pesa za escrow?
 
Kwahiyo Wajuzi wa sheria Wako ,wamekuambiaje ??.


Kwamba Hata hukumu ya Mahakama, ilipoweka bayana madhaifu makubwa ya Mkataba, na Bado mahakama yenyewe ikashangaa.

Weweee bado Kichwa yako haielewi??.


Ficha maujinga yako
Hukumu ya mahakama ina kurasa tisini, umezitazama zote kwa kina au ni ujanja ule ule wa kuja na vifungu vilivyo upande wako wewe?
 
Ha ha haaaa....sasa mjamaa hiki ulichoandika hapa ni nini? Kina uhusiano gani na Waraka?
 
Hata Profesa Shivji mliamini kumpinga ni sawa na kutenda dhambi, akaja kukosolewa mbele ya kamera za waandishi wa habari. Usitishwe na CV za watu, kuna masuala hawayajui.
That means wanaccm tu ndio wenye elimu hiyo? Unaweza kumbuka mikataba mibovu mingi san ilipitishwa na hili kundi unaloamini ndio wataalam?
 
kitu kimoja hauelewi ni kwamba, mtu hadi awe padri au askofu ni amesoma sana. humo kwenye tec kuna wanasheria, wanauchumi na kila aina ya wasomi. wao hawazoi zoi tu mtu maadamu anajua kuongea, wamesoma hao.
Kusoma sana haina maana kasomea sheria za kimataifa, hilo ulielewe. Ndio maana walipowaalika wanasheria wa serikali mwisho wa kikao wakakubaliana na hayo waliyoelezwa.

Naweza kuamini kwamba maaskofu wamekuja na tamko lao baada ya kumuona Dr Slaa akisumbuliwa na serikali hivyo ni kama wanalipa kisasi.
 
DP ilikataliwa USA mwaka 2006 Trump mwenye chuki zake akiwa bado sana.

FYI: Uongozi wa Rais Bush haukuwa na shida na dili lile tena alikuwa akitetea kuwa UAE ni mshirika wao muhimu Middle East apewe kuongeza kuaminiana.

DP alikataliwa na political figures tu na kwa wakati ule wa zama za ugaidi ulikuwa uamzi sahihi tu.

Uarabu ilikuwa ndiyo kifungashio cha magaidi.
 
hilo suala la kibiti, kule kulikuwa na genge la magaidi sote tunajua, genge lililokuwa linaua waislam, limeua mapango ya amboni waislam wengi, huko kibiti waliua sana, sote tunajua. sasa wewe kama mume wako aliuawa kibiti alikuwa ni gaidi, alistahili alichokipata. pia, kumbuka, magufuli alikuwa mkristo ila mkuu wa TISS alikuwa muislam, waziri mkuu muislam na wengine weengi waislam, hayo yote yalifanyika kwa maamuzi ya watu wote. vilevile, watu wanalalamika na DP WORLD kwasababu ya terms za mkataba, hawalalamikii kwasababu ni waarabu, au waislam kwasababu TICTS ilikuwa ya karamagi ambaye ni muislam pia, hiyo bandari kwa taarifa yako haijawahi kuendeshwa na mkristo na hakuna mkristo aliyelalamika.KARAMAGI alikuwa muislam, hata kama waliharibu sana lakini terms of contract hazikuwa mbaya kama hizi za dp world. unahamasisha waislam waseme, waseme nini sasa katika mazingira kama haya? samia amekuja kuvuruga amani ya nchi na kutugawa kidini, hatukuwa hivi kipindi cha kikwete, waarabu wameingia tu na nukri ya kuja kutuvuruga, hata kabla hawajaanza kazi tumeshatengana. samia amalizie tu basi amani ya nchi hii ili waarabu wapate anachotaka wakipate.
 
Mwambie akutajie waligawana za kwenye Sandarusi 😂😂

Zitto alinyimwa mgao na Rugemalira ndio akatengeneza Zengwe kwa kumshirikisha Tumbiri
ndivyo alivyokuambia Zito kuwa alinyimwa ??

By the way hao viongozi wa kanisa walichukuwa au hawakuchukuwa hizo pesa kwa unavyoona wewe ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…