kahtaan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2009
- 18,760
- 11,343
Teh teh tehAngalia ulivyo chizi.
Kwani mijadala yote humu inahusu kitu gani?
Uchafu ulioweka hapo juu unahusu jambo gani?
Halafu unazungumzia IQ, mlevi kama wewe anacho chochote kichwani cha kuonyesha juu ya IQ?
Ni hivi 'mlevi', ukitaka tukabiliane humu humu kama vichaa, nipo tayari kabisa kukukabili.
Ninakufahamu sana historia yako toka huko nyuma, kwa hiyo ukija na ulevi wako wa siku zote, nitakufuata huko huko kama mlevi tuyamalize.
Umenieleewa?
Naona umekosa hoja sasa unaanza mipasho.
Ni hii ndio kawaida ya wagalatia. Mkikosa hoja lazima muhamie kwenye mipasho km waimba mchiriku.
Historia yangu ipi ya nyuma unaijua wewe mtoto uliesomea shule za kata?
Mimi naweza kuwa baba yako ki umri. Leo ghafla unadai unajua Historia yangu?
Dah....
Haya kalamu. Endelea kuandika utumbo upate faraja.
Hoja huna tena .
Ahsanta