Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Angalia ulivyo chizi.
Kwani mijadala yote humu inahusu kitu gani?

Uchafu ulioweka hapo juu unahusu jambo gani?

Halafu unazungumzia IQ, mlevi kama wewe anacho chochote kichwani cha kuonyesha juu ya IQ?

Ni hivi 'mlevi', ukitaka tukabiliane humu humu kama vichaa, nipo tayari kabisa kukukabili.
Ninakufahamu sana historia yako toka huko nyuma, kwa hiyo ukija na ulevi wako wa siku zote, nitakufuata huko huko kama mlevi tuyamalize.

Umenieleewa?
Teh teh teh
Naona umekosa hoja sasa unaanza mipasho.
Ni hii ndio kawaida ya wagalatia. Mkikosa hoja lazima muhamie kwenye mipasho km waimba mchiriku.
Historia yangu ipi ya nyuma unaijua wewe mtoto uliesomea shule za kata?
Mimi naweza kuwa baba yako ki umri. Leo ghafla unadai unajua Historia yangu?
Dah....
Haya kalamu. Endelea kuandika utumbo upate faraja.
Hoja huna tena .

Ahsanta
 
Sina mambo ya 'Teh teh', na watu wa aina yako hata siku moja. Mtu umejaa sumu moyoni mwako, siku zote kazi ni kugawa watu kwenye mafungu kutafuta mitafaruku tu.

Ninakukujua sana historia yako humu humu JF.
Hata siku moja siwezi kuwa na baba wa kipuuzi kama ulivyo wewe.

Huna hadhi yoyote ya kuwa baba kwa yeyote.

Hata siku moja siwezi kuwa na baba wa kipuuzi kama wewe
 
Sina mambo ya 'Teh teh', na watu wa aina yako hata siku moja. Mtu umejaa sumu moyoni mwako, siku zote kazi ni kugawa watu kwenye mafungu kutafuta mitafaruku tu.

Ninakukujua sana historia yako humu humu JF.
Wewe km sio mpenda ukweli lzm unichukie.
We kwa akili yako mimi nina chuki na WAKRISTO. na wengi wa namna yako wamo humu wanaodhani hivyo lkn ukweli ni kuwa Sina tatizo na wakristo haya kidogo.
Shida yangu kubwa ni UKRISTO unavyotumika kuonea watu na kudhulumu haki za watu hapo nchini kwa kutumia andiko la Biblia.

MAPADRI, WACHUNGAJI NA MAASKOFU wanatumia andiko km walivyotumia andiko Wakoloni Kunyanyasa na kuwatumia Raia wa nchi kwa maslahi yao binafsi.
Mfano hai tazama huo waraka wao mbuzi.
Wanadai hio ni sauti ya WANANCHI .
Lini Maskofu waliomba ushauri kwa wananchi mpk kufikia kutoa kauli hio?
Juzi mmoja ktk hao hao viongozi wenu pale uwanja wa taifa kaenda kuwauzia wananchi MCHANGA. alidai kapewa na Yesu.
Wananchi wengi hawana elimu wanapigwa kila siku.
We ulitaka tunyamaze tu sio.

Basi kwa dhana hio lzm utanichukia sana kijana.
 
Bahati nzuri Katiba hii iliandikwa na Mwl Nyerere na Pius Msekwa, sio ya Rais Samia. Badala ya lawama kwenda kwa watu hao na CCM hasira na mbwbwe zinaelekezwa kwa Samia.
Nyerere huyo huyo alishawahi kusema.. nanukuu.. KATIBA HII AKIPATIKANA RAHISI MWENDAWAZIMU ATAKUWA DIKTETA MBAYA SANA .. mwisho wa kunukuu. Maana yake, baadaye aliuona ubovu wa katiba hii
 
Missile of the Nation na Kimsboy kuna muda huwa mnashangaza 'mnapo weka kando joho la uislamu kwa baadhi ya mambo' tofauti na Faiza mbweha, The Boss, Ritz, and the like
Na wewe lini utaweka joho la uaskofu na ukabila na ukazungumza ukweli.Wacha hoja za kidini na kichadema.
 
Sina uhakika kama hili tamko lao nilakwanza kulitoa, matamko Yao hayana jino hata moja, kibogoyo kwakuwa inafahamika kuwa ni maoni TU ya watu wachache waliogusiwa maslahi yao binafsi. Kwakuwa hata kwenye serikali na bunge wamo wakatoliki wengi TU walioshiriki kwenye uwandishi wa mkataba wa bandari.
Kuna uzi umo humu unasema hivi.. SERIKALI HAIKUJIANDAA KUKABILIANA NA YANAYOTOKEA KUHUSU MKATABA HUU.. na ndiyo maana kila mmoja huko serikalini na CCM anajitahidi kueleza lakini hakuna anachokieleza kinachoeleweka.. Pumba tupu

BAHATI MBAYA, UKIWEMO WEWE, SIKU SAMIA AKIONA ASITISHE MKATABA HUU, MTASEMA RAIS NI MSIKIVU SANA..!! Time will tell
 
Wewe km sio mpenda ukweli lzm unichukie.
We kwa akili yako mimi nina chuki na WAKRISTO. na wengi wa namna yako wamo humu wanaodhani hivyo lkn ukweli ni kuwa Sina tatizo na wakristo haya kidogo.
Shida yangu kubwa ni UKRISTO unavyotumika kuonea watu na kudhulumu haki za watu hapo nchini kwa kutumia andiko la Biblia.

MAPADRI, WACHUNGAJI NA MAASKOFU wanatumia andiko km walivyotumia andiko Wakoloni Kunyanyasa na kuwatumia Raia wa nchi kwa maslahi yao binafsi.
Mfano hai tazama huo waraka wao mbuzi.
Wanadai hio ni sauti ya WANANCHI .
Lini Maskofu waliomba ushauri kwa wananchi mpk kufikia kutoa kauli hio?
Juzi mmoja ktk hao hao viongozi wenu pale uwanja wa taifa kaenda kuwauzia wananchi MCHANGA. alidai kapewa na Yesu.
Wananchi wengi hawana elimu wanapigwa kila siku.
We ulitaka tunyamaze tu sio.

Basi kwa dhana hio lzm utanichukia sana kijana.
Hizi takataka ndizo unazoziita ukweli?

Ukishalewa na imani yako, unaona huo ndio ukweli kwa watu wengine wote?

Kwa nini wewe peke yako ndiye uwe na ukweli na wengine wasiwe na ukweli tofauti na wako.
 
Huna ukweli wowote, unaeneza tu chuki ndani ya jamii kwa upumbavu tu wa kulewa imani yako.

Kaa na huo unaouita ukweli wako kama mlevi yeyote
Kwa kuniita mimi mjinga andiko la BIBLIA linasema wewe ni mtu wa JAHANAMU..

Matayo 5:21-48

22 Lakini mimi nawaambia kwamba, ye yote atakayemkasirikia ndugu yake atasta hili hukumu; na ye yote atakayemtukana ndugu yake, atashtakiwa katika baraza; na ye yote atakayemwambia ndugu yake, ‘Wewe mjinga,’ atastahili hukumu ya moto wa Jehenamu..

NIOMBE RADHI AU UMEANGAMIA.
 
Hayayote unayoweka hapa ni takataka kwangu, ndiyo maana ninakuona wewe kuwa mtu mpuuzi sana.

Ulikutana lini nami huko kanisani? Umeona mahali popote nikiandika kuhusu dini?
 
kwahiyo unataka kutuambia nini? hakuna mwanadamu mkamilifu, TEC kuna wezi, na kokote kule kuna wezi. ila hauwezi kupinga ukwelikwamba TEC wana wasomi wengi na huwa hawakurupuki na walichokisema kuhusu waraka wa dp world serikali au wewe hauna akili ya kuujibu. ni ngumi ya pua.
USOMI WAO hao watu wa TEC una faida gani na WaTanzania?
Mnatetea MAJAMBAZI?
Kweli nyie viumbe ovyo kabisa.
Yaani nyie ndio mnaokuta Mchungaji anatafuna Kondoo nyuma ya madhabahu kisha mnaambiana " ahh nadhani baba mchungaji anamtoa pepo magdalena , tumpe nafasi afanye kazi ya bwana kwa raha zake".

Taifa langu linaangamia.
 
Hayayote unayoweka hapa ni takataka kwangu, ndiyo maana ninakuona wewe kuwa mtu mpuuzi sana.

Ulikutana lini nami huko kanisani? Umeona mahali popote nikiandika kuhusu dini?
Kumbe we pagani?
Pole sana kijana.
Ukielimika utaona muhimu wa kuamini Mungu.
La ukifa bila imani hio wewe ni Jahanamu tu.
Hutoki tena humo.
Shauri yako.
 
Hulijui Kanisa la Roma wewe, hao hata wakiamua leo huyo mama abduli kesho asepe atasepa ila hekima wanayo
Kwahio unasifia kuwa KANISA LA ROMA ni magaidi na freemason wenye uwezo wa kumpoteza mtu saa yyt au sio?
Bora umesema ukweli ili na sisi tutambue kuwa kumbe PENGO ni hatari kuliko wahaini km kina Dr Slaa na kundi lake la majambazi.

Ahsanta
 
Kumbe we pagani?
Pole sana kijana.
Ukielimika utaona muhimu wa kuamini Mungu.
La ukifa bila imani hio wewe ni Jahanamu tu.
Hutoki tena humo.
Shauri yako.
Elimu niliyo nayo wewe huna, hilo ninakuhakikishia kabisa hapa hapa. Kwa hiyo usiende huko.

Na wewe kung'ang'ania kujua "ujana" wangu ni akili ile ile ya kipumbavu kabisa.

Hiyo dini, kaa nayo mwenyewe, ni kwa manufaa yako, usitake kulazimisha kila mtu awe nayo, na zaidi, hasa inapokufanya kuwa 'mlevi' kiasi hiki unachoonyesha kila sehemu.

Na nikwambie hapa waziwazi, watu wa aina yako ndio mnaosubirwa kwa hamu kubwa huko unakokuita wewe jehenamu.
 
Ha ha ha..
We kweli msomi hatari sana
Ahsanta
 
Kwahio unasifia kuwa KANISA LA ROMA ni magaidi na freemason wenye uwezo wa kumpoteza mtu saa yyt au sio?
Bora umesema ukweli ili na sisi tutambue kuwa kumbe PENGO ni hatari kuliko wahaini km kina Dr Slaa na kundi lake la majambazi.

Ahsanta
Mategemeo yako makubwa ni kuwa haya ndiyo yatakayokufikisha peponi!
 
Back
Top Bottom