wewe uliyesoma tuambie, jibu hoja zako kisomi basi. ama lala nyamaza wenye akili waongee.
 
Nakushaur tu jambo.. jaribu kutafuta CV ya kila askofu angalau kwa uchache tu nadhan utarud hapa na kubadili msimamo wako!! Wale jamaa wana elimu ya vyuo vikuu faculty tofaut tofaut!!
Mbona wanamkimbia Mazinge tu kijana wa madrasa kufanya mdahala nao ??
 
Huko kusoma sana ndo kuliwafanya wahamasishe mauaji ya kimbari Rwanda na kula pesa za escrow?
suala la kimbari rwanda haulijui, nyamaza tu. pia, hakuna askofu katoliki anayeweza kuhongwa, kwasababu hahitaji msaada wa pesa, hana mke, hana mtoto, hana nyumba wala biashara, kile kitu amewekewa tayari yeye ni kusalisha tu, wamempa gari wamempa nyumba wamempa kila kitu. ahitaji hiyo pesa yenu ya rushwa ya nini? jaribu tu kufikiri.
 
Waliokula pesa za escrow kina nzigirwa na kilaini walikuwa masheikh wale?
 
Waliokula pesa za escrow kina nzigirwa na kilaini walikuwa masheikh wale?
hebu tueleze, walikulaje, na kama waliokula hao wangapi ndio limekula kanisa zime la katoliki. hizo pesa walikuwa wanaweka kwenye kapu la kanisa au mifuko yao? pia, kama fisali linakuja kuleta pesa kanisani, wewe utajuaje kama limeiba? si utapokea? shida ni wivu ambao haujawahi kuwasaidia na hautawasaidia milele. mashule,mahospitali nk vinawafanya muone wivu na kutamani sote tungekuwa nyuma kama ninyi ili tufanane, si tungekuwa nyuma sana kimaendeleo? na tungetegemea tu matibabu ya kisuna?
 
Tena sio hao tu hadi benki yao ya Mkombozi ilihusishwa na ukwapuaji wa fedha za escrow.

Mnajifanya hatuwajui hawa maaskofu wetu?
 
Umeandika pumba tupu😕

Udini muulete nyie waislam na inferiority complex zenu halafu mtusingizie sisi.
 
Tena sio hao tu hadi benki yao ya Mkombozi ilihusishwa na ukwapuaji wa fedha za escrow.

Mnajifanya hatuwajui hawa maaskofu wetu?
benki haikuhusishwa na ukwapuaji, ila pesa ziliwekwa kule. au basi tuseme walikwapua, ndio mkataba mbovu kama huu upie kwasababu walikwapua?
 
Ni kama mashehe tu wanavyopokea kwa Bakhresa haina tatizo!

WIZI BARAZA LA MAASKOFU

➡️Ukisoma kitabu cha Dkt Slaa kiltwacho Nyuma ya Pazia, utagundua mauchafu na madudu mengi sana ya ndani ya baraza la maaskofu.

➡️Ukurusa wa 26 ibara ya 4 ya kitabu hicho, Dkt Sláa anaeleza kwa kina kwanini alimua kuachana na Upadre
1991. Kikubwa ikiwa ni wizi uliotamalaki ndani ya TEC.

➡️Kupitia Dkt Slaa mwenyewe, inatufanya tusiwaamini
TEC hata kidogo, TEC ni wezi na wala rushwa, Slaa mwenyewe kwenye kitabu chake ameeleza.

➡️Kwenye hili la waraka wao walioutoa jana, tutawezaje kuamini kwamba nyuma yao hakuna mashinikizo ya rushwa na ulaghai? Historia haiwabebi, wana uchafu mwingi sana ndani yake. Na haya sio maneno yangu, ni maneno ya Dkt Slaa Mwenyewe ndani ya kitabu chake.
 
Binafsi nimewaelewa kwenye vipengele walivyosema vinakasoro na ninaungamkono viangaliwe upya visije kutuumiza mbeleni, lakini wameniacha njia panda na hoja ya kupinga uwekezaji kutoka nje kwamba tusubiri wazalendo wapewe uwezo kuendesha bandari, seriously?
 
kwahiyo unataka kutuambia nini? hakuna mwanadamu mkamilifu, TEC kuna wezi, na kokote kule kuna wezi. ila hauwezi kupinga ukwelikwamba TEC wana wasomi wengi na huwa hawakurupuki na walichokisema kuhusu waraka wa dp world serikali au wewe hauna akili ya kuujibu. ni ngumi ya pua.
 
Kama mungu anakemea wanaume wasiwaoe wanaume wenzao na huku kanisa katoliki linahalalisha wanaume Kwa wanaume sasa hapo tamko la TEC linawezaje kua tamko la kimungu??


Au unamaanisha mungu LUCIFER??

Na wewe ni askofu mwenye PHD ??,kama ndio basi inasikitisha sana
 
Sijaandika hakuna mwanadamu mkamilifu , tunaongelea hawa tunaoambiwa ni watu wa mungu na tukaambiwa maneno haya

Nakushaur tu jambo.. jaribu kutafuta CV ya kila askofu angalau kwa uchache tu nadhan utarud hapa na kubadili msimamo wako!! Wale jamaa wana elimu ya vyuo vikuu faculty tofaut tofaut!!

Kumbe ni mitapeli mijizi tu
 
Sasa unajiita kalamu kisha unaandika km umekunywa mapuya.
Nani kailalamikia IGA humu?

Yaani hii JF mi nashauri ipime watu IQ kabisa kabla ya kuwaruhusu humu au tutapata shida sana wazee km mimi kutoa elimu za bure humu.

Dah.....
Angalia ulivyo chizi.
Kwani mijadala yote humu inahusu kitu gani?

Uchafu ulioweka hapo juu unahusu jambo gani?

Halafu unazungumzia IQ, mlevi kama wewe anacho chochote kichwani cha kuonyesha juu ya IQ?

Ni hivi 'mlevi', ukitaka tukabiliane humu humu kama vichaa, nipo tayari kabisa kukukabili.
Ninakufahamu sana historia yako toka huko nyuma, kwa hiyo ukija na ulevi wako wa siku zote, nitakufuata huko huko kama mlevi tuyamalize.

Umenieleewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…