Ingekuwa na Nia ovu kama kweli 5H ONE wangekuw wameikamata, Lakini G. Msigwa kasema ipo kwetu salama salimini!
 
Ingekuwa na Nia ovu kama kweli 5H ONE wangekuw wameikamata, Lakini G. Msigwa kasema ipo kwetu salama salimini!
Nia ovu inaonekana kwa kukamata Gulf? Wanakamatake wakati mkataba bado haujavunjwa? Hawajaenda mahakamani n.k? Mbona nilikuwa na kuamini sana ktk kupambanua mambo lakini ktk hili unataka kutereza?
 
Kama walikuwa na nia ya kweli basi wangeomba wapewe nafasi kuonana na viogozi ili watoe ushauri wao, sio kutoa waraka na kusambaza nchi nzima. Mapandri siku zote ni watu wasio na papara lakini wa siku hizi ni kama kina Shehe Ponda tu.
Uwe makini kidogo hujamwajili mtu hapa akusomee maandiko, hapo juu wameandika kuwa walikutana na viongozi wakuu ila maoni yao hayakusikilizwa sasa ulitaka wafanye nini?

6 Kwa kurejea jitihada tulizofanya kuelewa Mkataba huu na kutoa ushauri wetu ambao haujazaa matunda mpaka sasa,na tukirejea mikutano yetu na Serikali katika ngazi za juu, ya tarehe 12 na 26 Juni mwaka huu 2023:
 
Jambo lililopigiwa kelele kikileta shida badaye ndio ccm bye bye

Na subilia kuona wabunge wakikataa marekebisho ya sheria ndio utajua hali ni ngumu
 
Sheria ya manunuzi ya umma iko wazi kabisa kwenye hili, mzabuni anayefanya ushawishi wa aina yoyote ile ikiwemo kutoa rushwa ili zabuni yake iweze kupitishwa anatakiwa awe blacklisted kabisa, nashangaa kwa nini bado tuanendelea na mjadala wa hili swala hadi leo.........​
 
unao huo ushahidi wa rushwa??
 
Habarini wakuu! Naomba nihitimishe kwa kusema kuwa dp world hatuitaki, kwa kuwa tiyari wameonyesha nia ovu kwenye mkataba, kivyovyote vile hatutawakubalia kuwekeza kwetu, watafute kwingine
Tutajie kampuni mbadala ambayo itaweza kufanya kazi kwa ufanisi zaidi ukitupa na analysis ya benefits tutakazopata kwa comparison kati ya hiyo yako na DP ili twende sawa usiwe kama watoa matamko wengine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…