Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Mimi ni pia nikiri ni mwislam, ukisoma hilo andiko limenyooka na inaonyesha kabisa limechambuliwa na watu waliosom wakaelimika sio wale wakushamgilia kuwa mama ametuletea neema ukiwaambia kwenye mkataba imeandikwa wapi hawawezi kukuambia
Wewe uwe muislamu usiwe muislamu hilo andiko liwe limenyooka ima iwe limepinda hiyo Bandari ndio hivo tena tayari imeenda poleni sana
 
Binafsi sikuwa nimesoma huu waraka na nilikuwa mfuasi wa kuupinga huu waraka ila leo nikasema niutafute.

Nilichojifunza na sasa nauunga mkono huo waraka na Hakuna baya wala jambo la kidini lililoandikwa humo kama baadhi ya waislam wenye upeo mdogo wanavyodai. Jamaa wameandika facts tu na sio hiki msemacho nyie. Hawajataja Ukristo wala uislam. Sasa hili la kusema udini sijui limetokea wapi? Mapendekezo yao yametokana na kuupitia mkataba na kuonesha vifungu vyenye mapungufu ndani ya mkataba ambapo pia wadau wengi waliyasema.

Bro, ebu acheni blah blah.
Poleni sana Bandari ndio hiyo imeenda
 
Baraza lenyewe la mchongo. Mbona wakati wa magufuli hawakuwahi kutoka tamko lolote au wapo kwaajili ya kukosoa uongozi wa kiislamu Tu?
Hawa viumbe ni km panyabuku.
Wakiona hamna mwewe wanatola mashimoni.
Magufuli alikuwa hataki ujinga, we km unajiita mtume au nabii malizana na kondoo wako waliopotea huko huko paroko.
Ukitoka nje kaa kimya au utapotea ghafla km mawingu ya kiangazi.
Mama Samia mpole sana ndo maana Kila kona Panyabuku wanaibuka.
 
Hahaaaaa, hajawahi kuwagusa hao mitume wala maaskofu. Acha uongo wewe.
 
Hahaaaaa, hajawahi kuwagusa hao mitume wala maaskofu. Acha uongo wewe.
Nani mzee magu?
Mzee magu alikuwa hataki ujinga.
Hao mitume bandia walikuwa kimya km paroko ziko likizo. Kaondoka mzee wanaanza kujamba ovyo
 
Nani mzee magu?
Mzee magu alikuwa hataki ujinga.
Hao mitume bandia walikuwa kimya km paroko ziko likizo. Kaondoka mzee wanaanza kujamba ovyo
Nafikiri wakati wa Waraka wa Pasaka wa TEC na mzee wetu askofu Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki Iringa ulikuwa hajazaliwa au bado ulikuwa Mtipindi unakamua maziwa ya Nguruwe.
 
Nafikiri wakati wa Waraka wa Pasaka wa TEC na mzee wetu askofu Ngalalekumtwa wa Jimbo Katoliki Iringa ulikuwa hajazaliwa au bado ulikuwa Mtipindi unakamua maziwa ya Nguruwe.
Teh teh teh
Unatukana nyama takatifu ya madhabahu?
We una laana ya Pengo
 
Tunamuomba Rais wetu pamoja na Serikali yetu kwa ujumla kamwe isibabishwe wala kuyumbiswa na kauli na waraka wa TEC.

Kilichopo kwenye waraka na unafiki na uzandiki ambao umekuwapo kwenye Baraza hilo kwa muda mrefu, nia na lengo la kukwamisha jitihada za Rais katika kufikia malengo.

Tunamuomba Rais afanye kwa masilahi ya wananchi sio maoni ya TEC.
Huku mbele ni wapi au mbele kuelekea gizani
 
Tunamuomba Rais wetu pamoja na Serikali yetu kwa ujumla kamwe isibabishwe wala kuyumbiswa na kauli na waraka wa TEC.

Kilichopo kwenye waraka na unafiki na uzandiki ambao umekuwapo kwenye Baraza hilo kwa muda mrefu, nia na lengo la kukwamisha jitihada za Rais katika kufikia malengo.

Tunamuomba Rais afanye kwa masilahi ya wananchi sio maoni ya TEC.
Msabato masalia mwenyewe kutoka Tarime amesema
 
Rais kasema amekaa kimya.
Ni kuwa mchakato uko palepale sie tupige kelele yeye yupo kimya na hakuna mwenye mabavu ya kuuza nchi au kuvuruga amani ya nchi.
 
Back
Top Bottom