Baraza la Maaskofu Katoliki (TEC): Hatuungi mkono Mkataba wa Bandari. Sauti ya Watu ni sauti ya Mungu
Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"

Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.

1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?

2.
Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"

3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?

4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?

5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu

Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"

Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.

Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,

Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
Wavaa makobazi wameanza.
 
Usikute hata mkataba wenyewe hawajausoma wala hawahujui cha ajabu eti nao wanatoa tamko. ila dini hizi...mmmh!! Basi tu
Acha ufala wewe, kwa points alizoziainisha hapo unadhani mkataba hawajausoma? Mpaka anakwambia walishirikisha wadau mbalimbali mpaka watu kutoka wizarani na kufikia hayo maamuzi. Labda wewe ndio umekimbilia kukoment bila kupitia hoja zake na kujiridhisha😩
 
Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"

Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.

1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?

2.
Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"

3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?

4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?

5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu

Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"

Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.

Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,

Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?
Awamu ya 5 kulikuwa na jaribio la kuuza bandari urithi wetu?

Usisahau pia, Mwamakula alimpinga wazi Magu bila kujali ni mkristo mwenzie!

Huna HOJA upuuzwe!!!

Mchumba aliyeposwa Imegundulika ni mke wa mtu, mchumbiaji AMETAPELIWA!!¡!😃😃😳😳
 
Wajingaa hawa walidhani bado tuko Tanzania ya miaka ileeeeeeeeee Mamaeee!!.
Walishakula 10% kutoka kwa Waarabu, Waarabu wakihakikishiwa Biashara wanaipata bila Wasi...

Ghafla wabongo ndiyo kama hivi Wamekaza...Wanafikiria wataambia nini DPW.
 
Hapa ni vita tu, shime waislamu wote, hii ni nafasi tukufu tumeipata, hawa wametuonea sana
Wakati ni sasa, tumwage damu kwa ajili ya dini na vizazi vyetu, waliotayari tukutane sasa
Hakuna muislamu aliye tayari kugombana na wapumbavu.
Mtu mjinga bakora yake ni Elimu sio kumwaga damu.
Hata hao wagalatia wengi wao hawajui kuwa wanatumika tu kwa maslahi ya wachache.
Kwahio kauli hio ya kutaka vita ktk nchi yetu haituhusu sisi waislamu kabisa.
Tafadhali sana usitumie jina la Uislamu kwenye kauli km hii.
 
Hakika kwa tamko lile Mama anayo machaguo Matatu tu:

1. Aachane na DP World

2. Afanye marekebisho ya mkataba kwa kuurudisha Bungeni

3. Ashupaze shingo.
Kanisa halitaki malekebisha heti utupwe mbali atafutwe muwekezaji kutoka kokote duniani shariti hasiwe muarabu wazungu sawa
 
Hakuna muislamu aliye tayari kugombana na wapumbavu.
Mtu mjinga bakora yake ni Elimu sio kumwaga damu.
Hata hao wagalatia wengi wao hawajui kuwa wanatumika tu kwa maslahi ya wachache.
Kwahio kauli hio ya kutaka vita ktk nchi yetu haituhusu sisi waislamu kabisa.
Tafadhali sana usitumie jina la Uislamu kwenye kauli km hii.
Naona unamuelimisha Mbumbumbu mwenzako
 
Lipumba ni Kiongozi wa dini?
Dini inahusiani vip kila kitu kina ubobezi wake ili uwe kiongozi wa dini lazima uwe na elimu ya sharia ,hadithi&sunnah na Qur an nikikuambia shekhe fulani ana ngazi fulani katika elimu hyo unaijua ?

Hao wengi wa kwenu wamesoma elimu ya kikristo.

Weka elimu ya dini pembeni ,uislamu haufungamani na mambo ya demokrasia maana kuna sharia.
Lipumba ni shekhe na kila muislamu wa kiume ni kiongozi ,dini ya uislamu haiendeshwi kwa matamko ya mtu fulani basi ni elimu na dalili za kisheria ,na si ruhusu kutukuza mtu kama nyie mna vyeo sijui nan kama jeshi.

Nimekuuliza hao waaskofu wako kuna mwenye elimu ya kumzidi lipumba .

Nina maan hata lipumba awe na elimu suala la kukosolewa lipo pale pale ,elimu yake huko kweny familia yake.
 
Usilolijua: Walishirikiana na kijana wao wa Lupaso kumuweka Mseminari Yohana ila akawageuka.

Kuna mapadri waliondolewa hapa nchini kwa mgongo wa kwenda kusoma nje ya nchi ili waukwepe mkono wa Yohana. Kijana wao wa Seminari alivuka mpaka pale alipomtishia Muhashamu fulani maarufu kutoka jimbo la nyanda za juu kusini.

Walimuweka kwa njia ya hila na Yohana alipoanza kuanzisha taharuki, wenyewe wakakaa kimya kwasababu walidhani hatawagusa. Bwana bwanaa, hata wao walibatizwa ubatizo mzito. Kipindi cha UVIKO uvumilivu ukawashinda wakaanza kumshambulia hadharani.
 
Baraza la Maaskofu Tanzania kupitia kwa Katibu wa Baraza hilo Padri Charles Kitima wametoa tamko waliloliita Sauti ya Watu ni Sauti ya Mungu, ambapo kwa mujibu wa maelezo ya Padri Kitima Baraza hilo yaani Maaskofu kwa sauti moja wamekubaliana kutounga mkono uwekezaji wa Bandari akieleza kuwa "wanannchi wengi" hawaungi mkono hivyo wanamuomba Rais Samia kuingilia kati kwani Bunge limeshindwa kusimama na wananchi"

Binafsi nina mambo kadhaa yanayonipa mgagasiko na maswali mengi bila majibu.

1. TEC Wanasema kuwa wanasimama na wananchi walio wengi kupinga mkataba huu, HAWA WANANCHI WENGI WAMEWAPATA KWA NJIA GANI, WAMEFANYA WAPI UTAFITI, NA NI LINI WAMEFANYA UTAFITI HUO?

2.
Awamu iliyopita ilishuhudia uvunjifu mkubwa wa haki za binadamu, chembechembe za Udikteta hata kufikia watu kuokotwa kwenye viroba LAKINI HAKUONEKANA YEYOTE Katika TEC KUSIMAMA NA "WANANCHI WALIO WENGI" KUKEMEA YALIYOKUWA YAKIENDELEA, JE TEC WALIKUWA VIPOFU, AU NI KWA SABABU ALIYEKUWA AKIONGOZA NCHI WANASALI PAMOJA "SALA YA BABA YETU"

3. Nini kimewafanya TEC Waamini kwamba Waumini wao wote au wengi wanapinga Mkataba wa Bandari? Vipi wale wanaounga mkono watawaweka kundi gani?

4. Dkt Slaa amewahi kunukuliwa akisema kuwa wakati akiwa TEC baadhi ya wasio waaminifu walitumia jina la Kanisa/TEC kuingiza magendo nchini, je kupinga Teknolojia ya kisasa na uwekezaji unaotaka kufanywa bandarini hauotoshi kutufanya tuhoji TEC wananufaika vipi na Bandari?

5. TEC wanaosimamia maadili walitoa Tamko gani pale ambapo Hospitali ya Kanisa ilipopeperusha bendera ya ya upinde inayotumiwa na wanaounga mkono vitendo vya usagaji na ushoga. Au ndio yaleyale ya wakala wa mabeberu

Mwisho: Kumekuwa na maneno yasiyo rasmi kuwa pale nchi inapoongozwa na asiyeswali sala ya "Baba Yetu" hawa Ti i Sii wamekuwa mstari wa mbele sana kutoa matamko tofauti na pale ambapo namba moja anapokuwa ni "mwenzao"

Wito wangu ni kuwa: Taasisi za Kidini zibaki katika kazi zake kwani ni rahisi sana kufarakanisha na kuigawa nchi kuliko wanavyodhani, nimewaza vipi kesho BAKWATA wakitoka hadharani na kusema wanaunga mkono mkataba, si tayari tunakuwa tumeigawa nchi kwa uzembeuzembe tu.

Kama TEC walikuwa kimya wakati nchi inapitishwa kwenye tanuru la moto na Chuma basi sidhani kama wana moral authority ya kusimama na kupinga miradi itakayoleta mageuzi makubwa kwa maendeleo ya nchi hii,

Au na wao TEC kuna mahali maslahi yao YAMEGUSWA?

Kwa hiyo watu walisema sababu ya swami ya 5
 
We dada tafadhali mimi ni mume wa mtu.
Kaa mbali kabisa au ntakuitia Padri akutoe pepo fasta.
Chukuana na Mambumbumbu wenzio huko wewe Mbumbumbu alafu chunga domo lako huongei na dada utachezea za mbavu
 
Back
Top Bottom