Kila jambo lina mwanzo, tumeamua kuanza na Sadala na wengine watafuata baadaye!Hawa watu wanatuchanganya mkuu, Wako bungeni miaka kibao leo wanataka mapishi yaliyowashinda wao wakati wako jikoni wamtwishe Diamond.
Yani Diamond leo ndo kawa sababu ya chama fulani kutofanikiwa katika mambo fulani.
Diamond kakwamisha democracy kwa kusimama na wakandamiza democracy, sie watetez wa democracy lazima tusimame againstOkay, kwa mantiki iyo wananchi wote Tz ni chadema na diamond kawazarau?
Naona umezunguka zunguka tu, kapitie vizuri ujibu nilichokiuliza. Diamond amemkwamisha nani na kwanamna ipi?
Saga kunguni shwain! Hili litakuwa leson learned kwo MondiHabari za wakati huu wakuu.
Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu.
Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki.
Mi naomba mnifafanulie kidogo kwanini mnafanya hivi kwa uyu kijana mtafutaji kama ninyi mlivyo watafutaji ila mlijioficha kwenye pazia la siasa.
Hivi ni kweli diamond ndo kikwazo cha nyinyi kufikia malengo mliojiwekea kama chama?
Hivi nikweli diamond ndo chanzo cha ninyi kuanguka katika chaguzi zilizopita?
Hivi ni kweli diamond ndo anawakwamisha kufanya siasa zenu na wananchi wakazipokea?
Lakini pia kama sijakosea wasanii wengi tu walifanya biashara ya kuuza burudani kwenye kampeni, kwanini Ninyi mmemuona diamond tu?
Tafadhali naomba mje mtoe ufafanuzi ni kiasi gani huyu Kijana muuza burudani ya muziki anawakwamisha katika siasa zenu.
Bila kusahau ni ninyi mnatuambia uongozi uliokwepo ulikuwa uongozi wa upendeleo na visasi, ulipendelea kichama kidini na hata kikabila, sasa Hiki mnachokifanya ninyi kinautofauti gani na hayo mliyotuaminisha yalikuwa yakitendeka.
Sawa mkuu kila lakheriKila jambo lina mwanzo, tumeamua kuanza na Sadala na wengine watafuata baadaye!
Yeye alimtukuza Magufuli ambaye alikuwa jambazi la kisiasa na muuaji kuwa ni baba lao na sisi tunataka kumuonyesha kuwa ni baba lao katika sanaa zake!
Mkuu unataka kusema Abood Mabasi yake hayana wateja, Mwana FA mziki wake hausikilizwi pia gwajima kanisa lake sasa ivi halina waumini.
Au nataka kutuambia kuwa wanaccm wasi support mziki wa professor J kwa sababu ni wa upande wa pili
Hujafanya utafiti!Hatarii me nshasema,, hakuna kipindi ambacho watu watauwawa openly kama siku chadema akichukua nchi,, yaan they hate openly,, na walivyo wajanja hawajawah kukosa sababu ya kumchukia au kumkwamisha mtu
Hakuna swali la kujibu hapo mkuuHujajibu maswali ya msingi umeanza kutapika vitu vingine
👇
1. Unaushahidi wa unachokiongea hapa
2. Wa Chadema na kiongozi gani ametamka?
3. Nccr, cuf, Act, tlp nk wapo kundi lipi na kwa ushahidi upi?
4. Alipokuwa anapanda majukwa ya ccm lini alipanda majukwa ya Nccr, cuf, Act, tlp nk ili kuwapa watanzania wa itikadi zote haki ya usawa? Nini kinakufanya usiyaone hayo makundi mengine?
Hayo ya nyuma ya pazia ndo yanahitajika mkuu, yaweke wazi tu tuyafahamuNikushauri
Hapa humsaidii msanii wako ndio unamaliza kabisa.
Debate za aina hii zinawafunguwa watu kutambua mengi yaliyojificha nyuma ya pazia
Hivi vithread ndio mnamzika kabisaa
Wewe ni mpumbavu, wapi hao wapinzani wamegusia kususia kazi za wasanii.Mkuu unataka kusema Abood Mabasi yake hayana wateja, Mwana FA mziki wake hausikilizwi pia gwajima kanisa lake sasa ivi halina waumini.
Au nataka kutuambia kuwa wanaccm wasi support mziki wa professor J kwa sababu ni wa upande wa pili
Unaweza kutusaidia hao wauwaji aliowasaidia ni kina nani ili nasisi tuwajue, bila kusahau aliwasaidia nini hao wauajiWewe ni mpumbavu, wapi hao wapinzani wamegusia kususia kazi za wasanii.
Tuzo sio kazi ya mziki .
Tuzo ni heshima!
Tuzo ni kutambua mchango wa contestant.
Diamond jamii imeshindwa kuutambua mchango wa mafanikio yake katika eneo la haki zao za msingi za kuishi kwa kuwasaidia wauwaji kunawiri.
Hafai kutuzwa tuzo ya hishma kama BET
Haki haina kificho ndugu ukiona unashindwa kuitambua haki,just una matatizo tena sii magodo,ila makubwa.𝚄𝚙𝚊𝚗𝚍𝚎 𝚞𝚜𝚒𝚘 𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚔𝚠𝚊 𝚖𝚊𝚘𝚗𝚘 𝚢𝚊𝚔𝚘 𝚋𝚘𝚝𝚑𝚎𝚛..! 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊 𝙸𝚜𝚛𝚊𝚎𝚕 𝚗𝚒 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚢𝚊𝚘 𝚔𝚞𝚛𝚞𝚜𝚑𝚊 𝚖𝚊𝚔𝚘𝚖𝚋𝚘𝚛𝚊 𝙶𝚊𝚣𝚊 𝚔𝚞𝚠𝚊𝚞𝚊 𝚆𝚊𝚙𝚎𝚕𝚎𝚜𝚑𝚒𝚗𝚊 𝚕𝚊𝚔𝚒𝚗𝚒 𝚠𝚊𝚙𝚘 𝚠𝚊𝚗𝚊𝚘𝚗𝚊 𝚆𝚊𝚙𝚊𝚕𝚎𝚜𝚝𝚒𝚗𝚊 𝚠𝚊𝚗𝚊 𝚑𝚊𝚔𝚒 𝚔𝚞𝚕𝚒𝚙𝚒𝚐𝚊𝚗𝚒𝚊 𝚃𝚊𝚒𝚏𝚊 𝚕𝚊𝚘.
Wewe ni mpuumbavu kabisa.Unaweza kutusaidia hao wauwaji aliowasaidia ni kina nani ili nasisi tuwajue, bila kusahau aliwasaidia nini hao wauaji
Unajua sasa unaonyesha ulivyo mjinga au wewe ni mmoja wao!Unaweza kutusaidia hao wauwaji aliowasaidia ni kina nani ili nasisi tuwajue, bila kusahau aliwasaidia nini hao wauaji